TANZIA Bondia Hassan Mgaya afariki Dunia baada ya kupigwa kwa TKO

Ulaji wenyewe ugogolo halafu wenda kupigana. Siyo kila bondia ni bondia wanangu mchungu sana njaa zenu.
 
Hivi kwenye hali hiyo mgonjwa akikimbizwa Muhimbili hawezi kutibiwa?

Yule mama wa Huba aliishia hapo hapo, haipendezi.

Poleni wote.
 
Mshana Jr hivi hakuna mambo ya uganga hapo? Nahisi zile ngumk zao zinakuwa na uganga labda alizidiwa. Ila pia hapo hospital nahisi atakuwa alikosa huduma kabisa maana hospital zetu bila kufahamiana na kuwa na hela yaani unakufa huku wanakuangalia
 
Wabaroga sana lakini sometimes hali za maisha zinachangia
Kipato duni
Lishe mbovu
Afya dhoofu
Stress za familia, madeni nk
Usaidizi hafifu toka kwa promoter
Na baya zaidi kukamiana. Badala ya kucheza professional boxing wao ni kukamiana kuumizana
 
Waandaji wakamatwe. Wameua bila kukusudia.

Sioni bondia humo , namuona kijana wa mtaani mwenye lishe duni. Anapandaje ulingoni.!?
Jamaa anaonekana alikua na lishe duni sana
Bongo 95% ya mabondia wana lishe duni, mapambano mengi mno unakuta wanalipwa laki mpaka laki mbili unadhani utajimudu lishe nzuri, mana ng'ombe hanenepi siku ya mnada unakuta wiki kabla ndo mtu anaanza kuzingatia mlo wakati ilitakiwa iwe ndo desturi yake kuzingatia mlo.
 
Mshana Jr hivi hakuna mambo ya uganga hapo? Nahisi zile ngumk zao zinakuwa na uganga labda alizidiwa. Ila pia hapo hospital nahisi atakuwa alikosa huduma kabisa maana hospital zetu bila kufahamiana na kuwa na hela yaani unakufa huku wanakuangalia
Kuna kitu inaitwa muku ndo wengi nachanjia uyu akikupiga ngumi moja kabisa ya kuwania lazima uende chini na ukate moto muku ni 🔥
 
Binafsi wanaosema kuhusu lishe nawaunga mkono kabisa haiwezekani bondia kila siku ugali kachumbari kabadili sana kaenda mbagala kununua ming'oko sasa si kutafuta kifo huko ile kazi ngumu
 
Sipati picha huyu bondia aliyesababisha kifo Cha mwenzie yupoje kisaikolojia,ni ujiko kusababisha kifo ulingoni?atakosa mapambano mengine kwamba ngumi zake Zina mikosi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…