TANZIA Bondia Hassan Mgaya afariki Dunia baada ya kupigwa kwa TKO

TANZIA Bondia Hassan Mgaya afariki Dunia baada ya kupigwa kwa TKO

Waandaji wakamatwe. Wameua bila kukusudia.

Sioni bondia humo , namuona kijana wa mtaani mwenye lishe duni. Anapandaje ulingoni.!?
😂 Mnatupa dhambi ya kucheka msibani jamani
 
Duuh 60k imeondoka na roho ya mtu 😔
1735896218237.jpg
 
Tyson na Muhammad Ali, katika nyakati tofauti waliwahi kusema kama wangepata elimu bora wasingecheza bondia, mchezo wa hatari sana huo ...
 
Back
Top Bottom