Mundele Makusu
JF-Expert Member
- Sep 28, 2021
- 2,488
- 3,481
Huu mchezo Kila mech ni kama fainali,... Mungu ampumzishe mahali pema peponi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
DahKuna siku naangalia mapambano ya ufunguzi, mabondia hawana afya kabisa
Mbaya zaidi wanapigana ngumu za hovyo hovyo
Niliishia kusikitika tu
Kwa afya hii unapiganajeBondia Hassan Mgaya amefariki dunia, siku moja baada ya kupigwa TKO katika pambano la raundi sita lililofanyika Tandale kwa Mtogole, Dar es Salaam katika ukumbi wa Dunia Ndogo, na kupoteza fahamu dakika chache baadaye.
Mgaya alicheza pambano hilo lililofanyika Desemba 28, yaani usiku wa kuamkia leo, jijini Dar es Salaam. Pambano hilo, ambalo halikuwa la ubingwa, lilimkutanisha na mpinzani wake, Paulo Elias.
Kwa mujibu wa taarifa za kuaminika Mgaya alidondoka ulingoni na mwamuzi akamhesabia na kumpa mpinzani wake ushindi wa TKO. “Mgaya alipigwa na kwenda chini, mwamuzi akamhesabia, na ikawa TKO kwa sababu marehemu alishindwa kuendelea. Baada ya mwamuzi kumaliza kuhesabu, alitembea hatua kadhaa hapo hapo ulingoni kisha akaanguka na kuzimia,” amesema shuhuda.
Ameongeza; “Baada ya kuzimia, Mgaya alipewa huduma ya kwanza kutoka kwa madaktari waliokuwepo kwenye pambano na akazinduka, kisha akapelekwa Hospitali ya Sinza kwa ajili ya matibabu,” kilisema chanzo hicho.
Baada ya kufikishwa Hospitali ya Sinza, kutokana na hali yake alipatiwa rufaa ya kupelekwa Hospitali ya Mwananyamala ambako umauti umemkuta leo. Pambano hilo liliandaliwa na Golden Gloves wakishirikiana na Ngoswe Uwezo.
Kwa upande wake, bondia Cosmas Cheka, ambaye ni Mweka Hazina wa Chama cha Mabondia nchini Tanzania, amesema suala la msiba wa marehemu Mgaya wanalishughulikia wao kama mabondia kuanzia mwanzo hadi mazishi.
Pia, Cheka amesema chama cha mabondia wapo mbioni kuandaa utaratibu wa kumsimamisha mwandaaji wa pambano hilo, Haji Ngoswe. “Nimemshauri Mwenyekiti wetu wa Chama cha Mabondia Tanzania, Japhet Kaseba, kuandika barua ya kupeleka TPBRC ya kumsimamisha Promota Haji Ngoswe kwa kutoonyesha ushirikiano kwa bondia aliyefariki dunia,” amesema Cosmas Cheka akionesha masikitiko.
View attachment 3188183
Inna lillahi wa inna ilayhi rajiuunBondia Hassan Mgaya amefariki dunia, siku moja baada ya kupigwa TKO katika pambano la raundi sita lililofanyika Tandale kwa Mtogole, Dar es Salaam katika ukumbi wa Dunia Ndogo, na kupoteza fahamu dakika chache baadaye.
Mgaya alicheza pambano hilo lililofanyika Desemba 28, yaani usiku wa kuamkia leo, jijini Dar es Salaam. Pambano hilo, ambalo halikuwa la ubingwa, lilimkutanisha na mpinzani wake, Paulo Elias.
Kwa mujibu wa taarifa za kuaminika Mgaya alidondoka ulingoni na mwamuzi akamhesabia na kumpa mpinzani wake ushindi wa TKO. “Mgaya alipigwa na kwenda chini, mwamuzi akamhesabia, na ikawa TKO kwa sababu marehemu alishindwa kuendelea. Baada ya mwamuzi kumaliza kuhesabu, alitembea hatua kadhaa hapo hapo ulingoni kisha akaanguka na kuzimia,” amesema shuhuda.
Ameongeza; “Baada ya kuzimia, Mgaya alipewa huduma ya kwanza kutoka kwa madaktari waliokuwepo kwenye pambano na akazinduka, kisha akapelekwa Hospitali ya Sinza kwa ajili ya matibabu,” kilisema chanzo hicho.
Baada ya kufikishwa Hospitali ya Sinza, kutokana na hali yake alipatiwa rufaa ya kupelekwa Hospitali ya Mwananyamala ambako umauti umemkuta leo. Pambano hilo liliandaliwa na Golden Gloves wakishirikiana na Ngoswe Uwezo.
Kwa upande wake, bondia Cosmas Cheka, ambaye ni Mweka Hazina wa Chama cha Mabondia nchini Tanzania, amesema suala la msiba wa marehemu Mgaya wanalishughulikia wao kama mabondia kuanzia mwanzo hadi mazishi.
Pia, Cheka amesema chama cha mabondia wapo mbioni kuandaa utaratibu wa kumsimamisha mwandaaji wa pambano hilo, Haji Ngoswe. “Nimemshauri Mwenyekiti wetu wa Chama cha Mabondia Tanzania, Japhet Kaseba, kuandika barua ya kupeleka TPBRC ya kumsimamisha Promota Haji Ngoswe kwa kutoonyesha ushirikiano kwa bondia aliyefariki dunia,” amesema Cosmas Cheka akionesha masikitiko.
View attachment 3188183
Hii Michezo yenu inawaletea familia simanzi na majuto,ndio maana Huwa sishabikii Michezo ya kipuuziBondia Hassan Mgaya amefariki dunia, siku moja baada ya kupigwa TKO katika pambano la raundi sita lililofanyika Tandale kwa Mtogole, Dar es Salaam katika ukumbi wa Dunia Ndogo, na kupoteza fahamu dakika chache baadaye.
Mgaya alicheza pambano hilo lililofanyika Desemba 28, yaani usiku wa kuamkia leo, jijini Dar es Salaam. Pambano hilo, ambalo halikuwa la ubingwa, lilimkutanisha na mpinzani wake, Paulo Elias.
Kwa mujibu wa taarifa za kuaminika Mgaya alidondoka ulingoni na mwamuzi akamhesabia na kumpa mpinzani wake ushindi wa TKO. “Mgaya alipigwa na kwenda chini, mwamuzi akamhesabia, na ikawa TKO kwa sababu marehemu alishindwa kuendelea. Baada ya mwamuzi kumaliza kuhesabu, alitembea hatua kadhaa hapo hapo ulingoni kisha akaanguka na kuzimia,” amesema shuhuda.
Ameongeza; “Baada ya kuzimia, Mgaya alipewa huduma ya kwanza kutoka kwa madaktari waliokuwepo kwenye pambano na akazinduka, kisha akapelekwa Hospitali ya Sinza kwa ajili ya matibabu,” kilisema chanzo hicho.
Baada ya kufikishwa Hospitali ya Sinza, kutokana na hali yake alipatiwa rufaa ya kupelekwa Hospitali ya Mwananyamala ambako umauti umemkuta leo. Pambano hilo liliandaliwa na Golden Gloves wakishirikiana na Ngoswe Uwezo.
Kwa upande wake, bondia Cosmas Cheka, ambaye ni Mweka Hazina wa Chama cha Mabondia nchini Tanzania, amesema suala la msiba wa marehemu Mgaya wanalishughulikia wao kama mabondia kuanzia mwanzo hadi mazishi.
Pia, Cheka amesema chama cha mabondia wapo mbioni kuandaa utaratibu wa kumsimamisha mwandaaji wa pambano hilo, Haji Ngoswe. “Nimemshauri Mwenyekiti wetu wa Chama cha Mabondia Tanzania, Japhet Kaseba, kuandika barua ya kupeleka TPBRC ya kumsimamisha Promota Haji Ngoswe kwa kutoonyesha ushirikiano kwa bondia aliyefariki dunia,” amesema Cosmas Cheka akionesha masikitiko.
View attachment 3188183
Kivipi wakati wanashindanishwa kwa uzito wao wenyewe, kama ana kilo 40 atapambanishwa na mwenzake wa uzito usiopishana.Jamaa anaonekana alikua na lishe duni sana
Dalili moja wapo ni kufumba fumba macho hebu lingalie pambano la Mmarekani Gerald McCLelan na Muingereza Nigel Benn,Mmarekani huyo mwishoni wa pambano aliaza kufunga funga macho mithili ya kuingiwa na pilipili na baadae kuanguka ulingoni na mpaka leo ni mlemavu.Wanazijua basi hata dalili zake?
Ukizingatia hata huduma alizopewa zilikuwa duni mno,ilibidi mwamuzi atoe taarifa kwa kamisheni ya pambano bondia asipelekwe Sinza apelekwe moja kwa moja M/nyamala then M/nyamala wamrufae Muhimbili.
Aisee hii kitu ni deadly,huu siyo mchezo wa kuujaribu.Dalili moja wapo ni kufumba fumba macho hebu lingalie pambano la Mmarekani Gerald McCLelan na Muingereza Nigel Benn,Mmarekani huyo mwishoni wa pambano aliaza kufunga funga macho mithili ya kuingiwa na pilipili na baadae kuanguka ulingoni na mpaka leo ni mlemavu.
View attachment 3188524View attachment 3188525
Tazama anavyofunga funga macho kabla ya kuanguka na kukimbizwa hospitali kufayiwa upasuaji wa kuondoa damu iliyovujia kwenye ubongo.
View attachment 3188526
Baada ya kupata Brain damage.
View attachment 3188527
Akiishi na ulemavu Gerald McCLelan amekuwa ni kipofu na kiziwi, haoni wala hasikii View attachment 3188528
Kama unataka kuliona pambano hilo ingia You Tube.
Ni mzuri kwa kuuangalia tu na unaweza ukajifunza ukiwa kwako kwa kutumia punching bag ili siku ukimfuma mgoni wako uwe na pumzi kidogo.Aisee hii kitu ni deadly,huu siyo mchezo wa kuujaribu.
Valento non fit injuriaWaandaji wakamatwe. Wameua bila kukusudia.
Sioni bondia humo , namuona kijana wa mtaani mwenye lishe duni. Anapandaje ulingoni.!?