Bondia Mandoka achapika, Kidunda ashinda, Mapambano ya ndondi Uwanja wa Majimaji - Songea, Julai 30, 2022

Bondia Mandoka achapika, Kidunda ashinda, Mapambano ya ndondi Uwanja wa Majimaji - Songea, Julai 30, 2022

Sasa hivi imegongwa bado sekunde zaidi ya 15 [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mpango kazi umekamilika hahaha
Na wao kugundua ni ngumu ni watu wanaoangalia tu tv
 
Mandonga sawa na wcb zile kick zo zinaleta mvuto kweny game watu hawajui kabisa leo hapa kitaa mpaka mademu wamejazana kweny bar wengine vibanda umiza hata game ya man city na Liverpool Haina mashabiki watu wanamngoja mandonga nimemkubali
Yes na hii ndio part wengi hawajaishtukia. Mandonga yupo pale strategically. Na wameweza kwa hili.
 
Na wao kugundua ni ngumu ni watu wanaoangalia tu tv
Ngumu sana.. hii ya Muda nimeelewa sana.. hata hivyo Kidunda amestahili japo round ya 7 na 8 ilikuwa ngumu sana.
All in All Erick Katompa ni Bondia mzuri sana. Aliangushwa but akatulia.
 
Mandonga kapigwa lakini anaachwa kutangazwa aliyeshinda(hata sijui jina la mshindi ni nani)baada ya pambano anatajwa Kareem Mandonga[emoji23][emoji28].
huyu mandonga anakipaji na nyota flani hivi kwenye kupromote.

mimi binafsi bado nasimama na Kareem Mandonga kwenye boksing ya leo[emoji123][emoji123]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Nakuunga mkono kwenye kusimama na Mandonga
 
Sasa hivi imegongwa bado sekunde zaidi ya 15 [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mpango kazi umekamilika hahaha
Pambano la Chokolaa pambano lake walimaliza zikiwa zimebaki 50s sikuelewa ilikuwaje
 
Katompa kamwaga ya ndani kwamba walipuliza vitu chumbani kwakwe ndio maana kawa mzito [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sasa kama aligundua haya kwanini kakubali kushindwa?
 
Katompa kamwaga ya ndani kwamba walipuliza vitu chumbani kwakwe ndio maana kawa mzito [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sasa kama aligundua haya kwanini kakubali kushindwa?
Angekataa pambano kabla,mtu ana nguvu round zote 10 halafu aseme kawekewa dawa?
 
mimi ni Mtanzania but tunafanya upendeleo sana kwa mabondia wetu wa ndani hasa pale wapambanapo na mabondia toka nje

kama leo round nyingi zilikuwa zinamalizwa kabla hata ya mchezo kuisha ili mradi tu wapeleke mbele.

kingine ni kocha anatumia mda mrefu kwenye kuwaamua hasa pale wakumbatianapo ili tu muda uende.

cha mwisho wangetumika judge wa nje kabisa ya Tanzania na siyo watanzania ili kuepusha kadhia hii.

Na laziada ni bora mabondia ote wanaokuja toka nje ya Tanzania wangekuwa wanafikia kwenye balozi zao husika,ambao wangekuwa wanahusika na malazi,usafir,chakula humk humo ndank ya ubalozi siku ya kutoka ni ile tu atakayokwenda kwenye pambano
 
Back
Top Bottom