Bondia Mandoka achapika, Kidunda ashinda, Mapambano ya ndondi Uwanja wa Majimaji - Songea, Julai 30, 2022

Bondia Mandoka achapika, Kidunda ashinda, Mapambano ya ndondi Uwanja wa Majimaji - Songea, Julai 30, 2022

Mandonga kapigwa lakini anaachwa kutangazwa aliyeshinda(hata sijui jina la mshindi ni nani)baada ya pambano anatajwa Kareem Mandonga[emoji23][emoji28].
huyu mandonga anakipaji na nyota flani hivi kwenye kupromote.

mimi binafsi bado nasimama na Kareem Mandonga kwenye boksing ya leo[emoji123][emoji123]
Mimi nili lala mchana kabisa ili niwahi hili pambano aisee kateka attention ya watu sana.
 
Bongo bwana ....Sasa Kidunda anayumba yumba kama kalewa shida nini?
 
Screenshot_20220730-235228_WhatsApp~2.jpg

Yaani hapa hata hajielewi yupo wapi.
 
Hii ndo pambano nzuri siyo ile Mandonga anaenda kama helicopter
 
hapo alilewa,kuna muda hapo aliitwa jina na mtu nje ya ulingo akageuka kutizama anaemwita wakati pambano linaendelea,aliporudisha uso kwa mpinzani wake akutana na jeb moja matata sana akakaa[emoji28][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bendera ya kuzimu[emoji23][emoji23]
 
Mkongo kama anaanza kurudi, Kidunda anaongoza round 6 wapo round ya 7. Mkongo sasa hivi anategemea kupiga knockout kwa round mkongo kazidiwa
 
Nilipoiona profile Yake ana miaka 43 Nikajisemea moyoni Kwenye Ndundi Umri huu Unatakiwa uwe umestaafu Zamani..!

Walikuwepo kina Rashid Matumla Lkn Walisarimu amri juu Ya Umri....tuliwaimba midomoni 'Eti Snake boi' wako Waaaapi?

Sasa Kapumzike Mandonga... !
 
Back
Top Bottom