Dabil
JF-Expert Member
- Sep 30, 2021
- 6,823
- 15,293
Baada ya kupigwa anasema " kushindwa kwake kapanga mwenyenzi Mungu , Mwenyenzi Mungu akipanga siwezi kubisha"Mandonga mtu kazi
Cha msingi brand imekua juu zaidi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Baada ya kupigwa anasema " kushindwa kwake kapanga mwenyenzi Mungu , Mwenyenzi Mungu akipanga siwezi kubisha"Mandonga mtu kazi
Cha msingi brand imekua juu zaidi
Yes kapigana na analipwa kwa kupigana.mkataba sio kujaza ukumbi, ni kupigana
hahaaaaaaBaada ya kupigwa anasema " kushindwa kwake kapanga mwenyenzi Mungu , Mwenyenzi Mungu akipanga siwezi kubisha"
Yule kakosea fani, alitakiwa awe kubwa la maadui kwenye movieJicho lake tu mandonga huwezi kupanda ulingoni
Hapo anajiuliza "nini hi tena"?
Aingie Bongo movie, maana amekuwa maarufu sanaYule kakosea fani ,alitakiwa awe kubwa la maadui kwenye movie
Watambeba kwa vile wanazipiga hapa labda apigwe knockoutHuyu kidunda sawa na mandonga tuu,, subirini muone aibu kwa nchi