Bondia Mandoka achapika, Kidunda ashinda, Mapambano ya ndondi Uwanja wa Majimaji - Songea, Julai 30, 2022

Bondia Mandoka achapika, Kidunda ashinda, Mapambano ya ndondi Uwanja wa Majimaji - Songea, Julai 30, 2022

20220730_221809.jpg

Mimi kama shabiki wako damu damu naamini ipo siku shabani kaoneka ataiona bendera ya kuzimu🤣🤣🤣🤣🤣
round ya 4 umetuangusha wadau wako wote mana promo zilikuwa bahari.
 
Licha ya Mandonga kupoteza pambano hili la pili naweza kumpa hongera kwa kuweza kuleta mwamko kwenye mchezo huu wa ngumi.

Kila nchi kuna asili yake ya kinachowafanya wapende mchezo flani a huwezi kulazimisha iwe kama nchi nyingine, mfano kwa hapa bongo mpira umekuwa kwa kiasi kikubwa sana kwa watani wa jadi kutambiana umwamba, maneno mengi, n.k. Yani kelele, Na hapa muasisi mkubwa nadhani kila mtu anamjua.

Kelele ndio wanazozipenda wabongo wengi, maneno ya kujipa umwamba, maneno ya kebehi, n.k.
 
Back
Top Bottom