Bondia Mwakinyo ni Mfano halisi wa Watanzania walio wengi katika nyanja mbalimbali!

viatu hadi interview ya kufeki kulia alikuwa kavivaa, intervuiew ya kwanza alikuwa anacheka kabisa baada ya kujua reaction hadi ya mshindi ni mbaya na mashabiki wamekasirika ikabidi ahojiwe huku anajiliza
sasa begi lilipotea siku 4 nyuma walishindwa kununua vingine? kwamba waliambiwa wasubiri masaa 5 airport ikahsindikana kurudia hata kesho yake, mazoezi hizo siku alifanyaje?
BETTINGS ZA ASIA Ni noma sana unaweza ukapewa hata billion ya kibongo unaambiwa anguka round ya 4
Kwa hio Jamaa kauza mechi?
 
Muda mfupi uliopita nimetoka kuangalia pambano la ngumi kati ya Bondia Mwakinyo na Smith,pambano ambalo limeniudhi na hata kunitoa machozi!

Kama kawaida Mwakinyo ameonyesha tabia halisi ya Watanzania walio wengi!

Watu wasiokuwa na confidence,malengo wala ndoto kubwa (big dreams)!

Watu wanaoridhika na vitu vya viwango vya chini kabisa au hali ya kawaida sana.

Mtu aliyeangalia pambano round 2 kwa makini ange-conclude tu kwamba hii game ilikuwa ya Mwakinyo.
Alipata Bondia "Mzee" na mchovu, fursa ambayo angetumia kuionyesha Dunia who is Mwakinyo na Tanzania ni wapi!,lakini kwa ujinga, lack of confidence na kuridhika mapema akaanza kufanya pretence kwamba mara kaumia mguu mara kateleza! UJINGA MTUPU!

Watanzania wengi tuna tatizo kubwa sana kwenye international arena,iwe ni kwenye uongozi wa kisiasa, Uchumi au michezo, watu wetu hawana Confidence kabisa!

Sisi ni mabingwa wa umbea, udaku na mambo mengine ya hovyo hovyo basi!

Kauza pambano
 
KAUZA GEMU KWA WATU WA BETTING ILA COMMENTS ZILIZOKO SKY SPORTS BOXING SIDHANI KAMA KUNA PROMOTER ATAMUITA TENA UK, HATA HUYO MZUNGU ALIBAKI AMEDUWAA.
Uongo huu, sio rahisi kuuza mchezo kama unavyofikiri.
 
unawajua wa asia wewe ndugu yangu, unakuta mtu kaweka fulani ataapoigwa round ya 4 ka place usd millions 5 anajua navuna usd millions 10, wewe kupewa usd 300,000 anaona shida gani
Sikubariani na wewe Mwakinyo hawezi kuuza pambano kifala hivyo

Mwakinyo msimchukulie km lofa kiasi hicho hata km kapoteza, heshima yake ibaki kua pale pale pambano lijalo naamini atatutoa kimasomaso

Ni sehemu ya mchezo tu
 
Umeandika utopolo.

Kama alionyesha kumudu pambano kwanini a-pretend kuumia? Mwakinyo hataki ushinidi?

Wewe ambae umejua waTZ wana lack of confidence umefika wapi? Umefanya nini kama hata mtaani kwako hujulikani? Una hata robo ya mafanikio ya Mwakinyo?

Huwa mnakuwa wa kwanza pindi watu kama Mwakinyo na Dayamondi wanapoteleza wakati wamepambana kwa juhudi zao binafsi bila mbeleko yeyote si serikali wala nani. They don't owe anybody nothing. Kila jambo lao ni juhudi zao binafsi. Kama unadhani ni rahidi fanya na wewe tukujue but until then hata kwenye ukoo wenu hujulikani. STFU.
Unamtetea tu lakini ukweli ni kwamba amezingua
 
Sikubariani na wewe Mwakinyo hawezi kuuza pambano kifala hivyo

Mwakinyo msimchukulie km lofa kiasi hicho hata km kapoteza, heshima yake ibaki kua pale pale pambano lijalo naamini atatutoa kimasomaso

Ni sehemu ya mchezo tu
Nashagaa huwezi ona vitu simple kama hivyo
 
Boxing kama michezo mingine ikiwemo football haiko predictable, kutumia kigezo cha hizo round mbili za mwanzo alizofanya vizuri ndio amshinde mpinzani wake mwisho wa pambano unakosea.

Boxing iko kama inaendana na upepo, inawezekana round ya kwanza ukapata points nyingi, round ya pili mpinzani wako nae akapata points nyingi kutegemeana na vile alivyorekebisha makosa yake.

Mwakinyo amesema viatu vilikuwa vinamuumiza enka, pia namlaumu kwanini hakuvijaribisha hivyo viatu mapema ili aone kama vingemfaa mchezoni, hapa alifanya uzembe, but in life lazima wakati mwingine upitie njia ngumu ili zikufunze uendako.

Muhimu amesema kuna uwezekano wa kuwepo pambano la marudiano, tusubiri tuone, lakini unaposema watanzania wanapenda kubweteka nakataa; hakuna mtanzania asiyetaka ushindi popote duniani, kwani kushindwa sio sifa.
Michezo esp. boxing ina mambo mengi. Kuna ndugu mmoja humu ameandika kama utani, ... "Mdhamini alipanga asishide"!
Hassan alikuwa fit kuliko Liam. Na Liam alijua hilo. Liam anaonekana alikwishachoka, bila shaka umri unaonekana kumtupa mkono.
Wazungu (waingereza) siyo kama sisi wabongo. Wako serious na mambo yao. Wana strategies na Liam atimize tena ndoto yake ya kutwaa mkanda. Ni heshima kwa Queen Elizabeth. Hassan alitumiwa kumwaandaa Liam, hivyo, alicheza kwa maelekezo. Hata body language yake ilionesha wazi.
Watanzania wazalendo na wapenda michezo msihuzunike kupita kiasi. Haya ndiyo moja ya madhara ya umaskini:
-unafiki, uongo, wizi, dhuluma, n.k. Mtu yuko tayari kusaliti. Hata hivyo, namsifu, anayepigana ni yeye. Umepewa 100m/= uachie pambano (mfano)! Ndiyo uzuri wa kucheza na matajiri bwana. Tanzanians, still have a very long way to go.
 
Sikubariani na wewe Mwakinyo hawezi kuuza pambano kifala hivyo

Mwakinyo msimchukulie km lofa kiasi hicho hata km kapoteza, heshima yake ibaki kua pale pale pambano lijalo naamini atatutoa kimasomaso

Ni sehemu ya mchezo tu
Nani atamdhamini tena kwa hali ile isiyependa hela yake? Shame!
 
Muda mfupi uliopita nimetoka kuangalia pambano la ngumi kati ya Bondia Mwakinyo na Smith,pambano ambalo limeniudhi na hata kunitoa machozi!

Kama kawaida Mwakinyo ameonyesha tabia halisi ya Watanzania walio wengi!

Watu wasiokuwa na confidence,malengo wala ndoto kubwa (big dreams)!

Watu wanaoridhika na vitu vya viwango vya chini kabisa au hali ya kawaida sana.

Mtu aliyeangalia pambano round 2 kwa makini ange-conclude tu kwamba hii game ilikuwa ya Mwakinyo.
Alipata Bondia "Mzee" na mchovu, fursa ambayo angetumia kuionyesha Dunia who is Mwakinyo na Tanzania ni wapi!,lakini kwa ujinga, lack of confidence na kuridhika mapema akaanza kufanya pretence kwamba mara kaumia mguu mara kateleza! UJINGA MTUPU!

Watanzania wengi tuna tatizo kubwa sana kwenye international arena,iwe ni kwenye uongozi wa kisiasa, Uchumi au michezo, watu wetu hawana Confidence kabisa!

Sisi ni mabingwa wa umbea, udaku na mambo mengine ya hovyo hovyo basi!
Sina ubishi kabisa,naunga mkono hoja
 
ITAKUWA ALIFANYA BIASHARA NA KAMPUNI YA BETTING. MTANZANIA ANAWEZA KUMUUA HATA MAMA YAKE KWA PESA YA KILA BATA.
 
Sikubariani na wewe Mwakinyo hawezi kuuza pambano kifala hivyo

Mwakinyo msimchukulie km lofa kiasi hicho hata km kapoteza, heshima yake ibaki kua pale pale pambano lijalo naamini atatutoa kimasomaso

Ni sehemu ya mchezo tu
Kwa ujinga ule unasubiri kutolewa kimasomaso pole sana
 
Umeandika utopolo.

Kama alionyesha kumudu pambano kwanini a-pretend kuumia? Mwakinyo hataki ushinidi?

Wewe ambae umejua waTZ wana lack of confidence umefika wapi? Umefanya nini kama hata mtaani kwako hujulikani? Una hata robo ya mafanikio ya Mwakinyo?

Huwa mnakuwa wa kwanza pindi watu kama Mwakinyo na Dayamondi wanapoteleza wakati wamepambana kwa juhudi zao binafsi bila mbeleko yeyote si serikali wala nani. They don't owe anybody nothing. Kila jambo lao ni juhudi zao binafsi. Kama unadhani ni rahidi fanya na wewe tukujue but until then hata kwenye ukoo wenu hujulikani. STFU.
Sure.tunajua kulalamika tu wakati anaanza hawakujua shida alizopitia.
 
Sikubariani na wewe Mwakinyo hawezi kuuza pambano kifala hivyo

Mwakinyo msimchukulie km lofa kiasi hicho hata km kapoteza, heshima yake ibaki kua pale pale pambano lijalo naamini atatutoa kimasomaso

Ni sehemu ya mchezo tu
Hana heshima yeyote.Alishindwaje kununua viatu vingine? Kwa nini hakujaribu viatu kabla ya pambano
 
Back
Top Bottom