Ukweli utabaki kuwa ukweli, jamaa kazingua saaana, ameleta aibu, viatu hadi kafika round ya nne? Alikuwa yupo vizuri tu, sasa ghafla ana chutama na kunyosha mikono kwenye Angle ya ulingo,, akiwa kachutama anatema Mouth teeth guard, halafu alifanya hivyo mara tatu?
Kisheria yeye mwenyewe alisema alitaka mwamuzi asimamishe pambano - maana awe dissqualified, smith apewe ushindi, kilichotokea ni TKO, na smith kapata ushindi.
Yoote kwa yoote , Smith angepata ushindi tu.
Swali ? Kwa nini alikataa kuendelea kupigana ?
Tena ghafla wakati alikuwa vizuri?
Kusingizia viatu sijui nini huo ni ujinga , amefanya jambo la aibu mno.
Promoter wa maana hawezi kumpa pambano tena, kwangu mimi amefanya jambo la AIBU kwa nchi yake.