Bondia Mwakinyo ni Mfano halisi wa Watanzania walio wengi katika nyanja mbalimbali!

Kwa hio Jamaa kauza mechi?
 
Kauza pambano
 
KAUZA GEMU KWA WATU WA BETTING ILA COMMENTS ZILIZOKO SKY SPORTS BOXING SIDHANI KAMA KUNA PROMOTER ATAMUITA TENA UK, HATA HUYO MZUNGU ALIBAKI AMEDUWAA.
Uongo huu, sio rahisi kuuza mchezo kama unavyofikiri.
 
unawajua wa asia wewe ndugu yangu, unakuta mtu kaweka fulani ataapoigwa round ya 4 ka place usd millions 5 anajua navuna usd millions 10, wewe kupewa usd 300,000 anaona shida gani
Sikubariani na wewe Mwakinyo hawezi kuuza pambano kifala hivyo

Mwakinyo msimchukulie km lofa kiasi hicho hata km kapoteza, heshima yake ibaki kua pale pale pambano lijalo naamini atatutoa kimasomaso

Ni sehemu ya mchezo tu
 
Unamtetea tu lakini ukweli ni kwamba amezingua
 
Sikubariani na wewe Mwakinyo hawezi kuuza pambano kifala hivyo

Mwakinyo msimchukulie km lofa kiasi hicho hata km kapoteza, heshima yake ibaki kua pale pale pambano lijalo naamini atatutoa kimasomaso

Ni sehemu ya mchezo tu
Nashagaa huwezi ona vitu simple kama hivyo
 
Michezo esp. boxing ina mambo mengi. Kuna ndugu mmoja humu ameandika kama utani, ... "Mdhamini alipanga asishide"!
Hassan alikuwa fit kuliko Liam. Na Liam alijua hilo. Liam anaonekana alikwishachoka, bila shaka umri unaonekana kumtupa mkono.
Wazungu (waingereza) siyo kama sisi wabongo. Wako serious na mambo yao. Wana strategies na Liam atimize tena ndoto yake ya kutwaa mkanda. Ni heshima kwa Queen Elizabeth. Hassan alitumiwa kumwaandaa Liam, hivyo, alicheza kwa maelekezo. Hata body language yake ilionesha wazi.
Watanzania wazalendo na wapenda michezo msihuzunike kupita kiasi. Haya ndiyo moja ya madhara ya umaskini:
-unafiki, uongo, wizi, dhuluma, n.k. Mtu yuko tayari kusaliti. Hata hivyo, namsifu, anayepigana ni yeye. Umepewa 100m/= uachie pambano (mfano)! Ndiyo uzuri wa kucheza na matajiri bwana. Tanzanians, still have a very long way to go.
 
Sikubariani na wewe Mwakinyo hawezi kuuza pambano kifala hivyo

Mwakinyo msimchukulie km lofa kiasi hicho hata km kapoteza, heshima yake ibaki kua pale pale pambano lijalo naamini atatutoa kimasomaso

Ni sehemu ya mchezo tu
Nani atamdhamini tena kwa hali ile isiyependa hela yake? Shame!
 
Sina ubishi kabisa,naunga mkono hoja
 
ITAKUWA ALIFANYA BIASHARA NA KAMPUNI YA BETTING. MTANZANIA ANAWEZA KUMUUA HATA MAMA YAKE KWA PESA YA KILA BATA.
 
Sikubariani na wewe Mwakinyo hawezi kuuza pambano kifala hivyo

Mwakinyo msimchukulie km lofa kiasi hicho hata km kapoteza, heshima yake ibaki kua pale pale pambano lijalo naamini atatutoa kimasomaso

Ni sehemu ya mchezo tu
Kwa ujinga ule unasubiri kutolewa kimasomaso pole sana
 
Sure.tunajua kulalamika tu wakati anaanza hawakujua shida alizopitia.
 
Sikubariani na wewe Mwakinyo hawezi kuuza pambano kifala hivyo

Mwakinyo msimchukulie km lofa kiasi hicho hata km kapoteza, heshima yake ibaki kua pale pale pambano lijalo naamini atatutoa kimasomaso

Ni sehemu ya mchezo tu
Hana heshima yeyote.Alishindwaje kununua viatu vingine? Kwa nini hakujaribu viatu kabla ya pambano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…