RIGHT MARKER
Senior Member
- Apr 30, 2018
- 129
- 473
Mkuu huyu ni tajiri nyumba ya 30m na gari ya 20m huyu ni class apart wa Tanzania wanao weza kumiliki mali ya 50m hawafiki 10% plz mkuu heshimu juhudi za watu, sio kila mtu anaweza kumiliki gari na nyumba.Huku Bongo (TZ) ukijenga nyumba ya 30mil kisha ukinunua gari la kutembelea (i.e: Carina, IST, Mazda, wish, Rav4, Dualis, Spacio, Crown Athlete, Vitz, Runnex, n.k) tayari unaonekana umetoboa maisha. Pengine hata wewe mwenyewe utajiona una akili ya maisha kuliko kiumbe chochote hapa nchini ambacho hakikufanya hivyo.
Ukisimama mbele ya masikini wenzako wanakuita TAJIRI. Hata kama haikuwa desturi yako kuvaa mkanda nje (kuchomekea sharti), sasa utaanza kuvaa hivyo ili watu waone ufunguo wa gari ukiwa umeuning'iniza kwenye suruali.
Right Marker
Dar es salaam
Nilijua tu, cjui jamaa wakati anaandika alizani nyie wenyewe hampo!!. Pole sana mkuu.People should just mind the business that pays them!
Kwa nini mnapenda kujishughulisha na mambo ya watu wasiowahusu?
Ulitaka wafanye nini ili wewe uwaruhusu wajione kuwa wametoboa?Huku Bongo (TZ) ukijenga nyumba ya 30mil kisha ukinunua gari la kutembelea (i.e: Carina, IST, Mazda, wish, Rav4, Dualis, Spacio, Crown Athlete, Vitz, Runnex, n.k) tayari unaonekana umetoboa maisha. Pengine hata wewe mwenyewe utajiona una akili ya maisha kuliko kiumbe chochote hapa nchini ambacho hakikufanya hivyo.
Ukisimama mbele ya masikini wenzako wanakuita TAJIRI. Hata kama haikuwa desturi yako kuvaa mkanda nje (kuchomekea sharti), sasa utaanza kuvaa hivyo ili watu waone ufunguo wa gari ukiwa umeuning'iniza kwenye suruali.
Right Marker
Dar es salaam
Wewe una nini tukuite Tajili mkuu?.Huku Bongo (TZ) ukijenga nyumba ya 30mil kisha ukinunua gari la kutembelea (i.e: Carina, IST, Mazda, wish, Rav4, Dualis, Spacio, Crown Athlete, Vitz, Runnex, n.k) tayari unaonekana umetoboa maisha. Pengine hata wewe mwenyewe utajiona una akili ya maisha kuliko kiumbe chochote hapa nchini ambacho hakikufanya hivyo.
Ukisimama mbele ya masikini wenzako wanakuita TAJIRI. Hata kama haikuwa desturi yako kuvaa mkanda nje (kuchomekea sharti), sasa utaanza kuvaa hivyo ili watu waone ufunguo wa gari ukiwa umeuning'iniza kwenye suruali.
Right Marker
Dar es salaam
kwa maisha ya kibongo, ukijenga nyumba, na una usafiri, na una kazi ya kudumu au biashara ya kudumu, ndio maisha. wengi wanaoleta news kama hizi huwa wapangaji na hawajui raha ya kuishi kwako.Huku Bongo (TZ) ukijenga nyumba ya 30mil kisha ukinunua gari la kutembelea (i.e: Carina, IST, Mazda, wish, Rav4, Dualis, Spacio, Crown Athlete, Vitz, Runnex, n.k) tayari unaonekana umetoboa maisha. Pengine hata wewe mwenyewe utajiona una akili ya maisha kuliko kiumbe chochote hapa nchini ambacho hakikufanya hivyo.
Ukisimama mbele ya masikini wenzako wanakuita TAJIRI. Hata kama haikuwa desturi yako kuvaa mkanda nje (kuchomekea sharti), sasa utaanza kuvaa hivyo ili watu waone ufunguo wa gari ukiwa umeuning'iniza kwenye suruali.
Right Marker
Dar es salaam
Si ni maisha yake!Hii ndiyo inatulemaza wengi wakishapata hayo yote basi hawazi sanaa namna ya kuendelea juu zaidi, ni pombe na madem na jamii inaona sawa tu vile amejenga na ana gari.
Huku Bongo (TZ) ukijenga nyumba ya 30mil kisha ukinunua gari la kutembelea (i.e: Carina, IST, Mazda, wish, Rav4, Dualis, Spacio, Crown Athlete, Vitz, Runnex, n.k) tayari unaonekana umetoboa maisha. Pengine hata wewe mwenyewe utajiona una akili ya maisha kuliko kiumbe chochote hapa nchini ambacho hakikufanya hivyo.
Ukisimama mbele ya masikini wenzako wanakuita TAJIRI. Hata kama haikuwa desturi yako kuvaa mkanda nje (kuchomekea sharti), sasa utaanza kuvaa hivyo ili watu waone ufunguo wa gari ukiwa umeuning'iniza kwenye suruali.
Right Marker
Dar es salaam
Tz ukiwa na kipato Cha ml 1 lazima utaonekana tofauti tu my friend na kuona umefikia hivyo vitu ni umepitia msoto mkali au madili yamejipa ingawa kuwa navyo vyote hivyo bado maisha yanaendelea lazima mkono uende kinywani na ufanye mantainance ya nyumba kila baada ya miaka 3 gari inaitaji service na kadharikaHuku Bongo (TZ) ukijenga nyumba ya 30mil kisha ukinunua gari la kutembelea (i.e: Carina, IST, Mazda, wish, Rav4, Dualis, Spacio, Crown Athlete, Vitz, Runnex, n.k) tayari unaonekana umetoboa maisha. Pengine hata wewe mwenyewe utajiona una akili ya maisha kuliko kiumbe chochote hapa nchini ambacho hakikufanya hivyo.