Truth Matters
JF-Expert Member
- Apr 12, 2013
- 2,302
- 4,603
Wivu, husda bin uchawi!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo kwenye kuchukua mkopo ndo alizingua mm siwezi kuchukua mkopo lazima nijenge na ninunue gari ila mkopo sichukuiNdugu yangu mmoja alikua km wewe na akili za kindezi bi mkubwa akamuita chini akamshauri usiingie kwenye mikopo ndugu alivyo mjinga kasikiliza ushauri wa mkewe kadharau ushauri wa bi mkubwa kaenda bank katia saini M200 miezi 6 imekata yote nyumba kamaliza gari alikua anatembelea Alphard white ndio ilikua gari yake pendwa alienda kula mzinga k/koo gari ikafumuka mbele aliingia chini ya lori, bank kila mwisho wa mwezi wanakomba ½ na ¼ ya mshahara wake mpaka kichwa kikaanza kumuwaka moto watoto anasomeshwa shule za gharama mpaka akaanza kuwarudisha kayumba mmoja mmoja, usiombee yakukute
Sasa ukiangalia kudunduliza itakuchukua miaka ndio hivyo kakutana na mwanamke standard 7 failure kampa ushauri katie saini bank tule maisha jamaa kaingia king kilichofuata ni mtiti imem-cost parefu almost miaka 10 na zaidi ku-recover mateso watoto kurudishwa nyumbani kisa karo haitoshi madeni mpaka anakimbiwa ogopa yasikukuteHapo kwenye kuchukua mkopo ndo alizingua mm siwezi kuchukua mkopo lazima nijenge na ninunue gari ila mkopo sichukui
Hiyo n kwel lakn ukifanikiwa kuwa na nyumba na gari na hauna mikopo mikubwa uta enjoySasa ukiangalia kudunduliza itakuchukua miaka ndio hivyo kakutana na mwanamke standard 7 failure kampa ushauri katie saini bank tule maisha jamaa kaingia king kilichofuata ni mtiti imem-cost parefu almost miaka 10 na zaidi ku-recover mateso watoto kurudishwa nyumbani kisa karo haitoshi madeni mpaka anakimbiwa ogopa yasikukute
Wewe umetoka nyumba ya tope unaambiwa kuna M200 pale ambayo itakuchukua miaka 15 mpaka 20 kuilipa uchukue ujenge nyumba ya kisasa na usafiri mzuri na uwe na kibiashara cha kuzugia maisha wewe utaacha au utachukua?Hiyo n kwel lakn ukifanikiwa kuwa na nyumba na gari na hauna mikopo mikubwa uta enjoy
Kwa east Africa Tz inamzidi Burundi tu,yaani hata Zimbabwe iliyokua kwenye vikwazo kwa miaka mingi inatuzidi mbali sana.........yes,ukiwa na hivo vitu kwenye nchi masikini kama Tz,unakua ni miongoni mwa wa Tz 2M,wenye ahueni na maisha kati ya 60M+Huku Bongo (TZ) ukijenga nyumba ya 30mil kisha ukinunua gari la kutembelea (i.e: Carina, IST, Mazda, wish, Rav4, Dualis, Spacio, Crown Athlete, Vitz, Runnex, n.k) tayari unaonekana umetoboa maisha. Pengine hata wewe mwenyewe utajiona una akili ya maisha kuliko kiumbe chochote hapa nchini ambacho hakikufanya hivyo.
Ukisimama mbele ya masikini wenzako wanakuita TAJIRI. Hata kama haikuwa desturi yako kuvaa mkanda nje (kuchomekea sharti), sasa utaanza kuvaa hivyo ili watu waone ufunguo wa gari ukiwa umeuning'iniza kwenye suruali.
Right Marker
Dar es salaam
Kubwa kivip mkuu.Spacio ni gari kubwa sana itoe hapo..
Sawa,haya sasa na wewe ni mambo gani ukifanya kwako unaona umetoboaHuku Bongo (TZ) ukijenga nyumba ya 30mil kisha ukinunua gari la kutembelea (i.e: Carina, IST, Mazda, wish, Rav4, Dualis, Spacio, Crown Athlete, Vitz, Runnex, n.k) tayari unaonekana umetoboa maisha. Pengine hata wewe mwenyewe utajiona una akili ya maisha kuliko kiumbe chochote hapa nchini ambacho hakikufanya hivyo.
Ukisimama mbele ya masikini wenzako wanakuita TAJIRI. Hata kama haikuwa desturi yako kuvaa mkanda nje (kuchomekea sharti), sasa utaanza kuvaa hivyo ili watu waone ufunguo wa gari ukiwa umeuning'iniza kwenye suruali.
Right Marker
Dar es salaam
Mkuu huwezi kujaliwa kila kitu. Ni mara chache sana kumkuta mtu anausafiri halafu anapendelea kupanda daladala,hali kadhalika anayepanda daladala kila siku anatamani naye awe na gri siku moja. Ni mara chache sana mtu kujinyima kitu anachoweza ku- afford. Na pia huo ndio mtindo wa maisha, lazima tutegemeane ili dunia iendelee.gari ni kitu kizuri sana kwa maisha, linarahisisha kazi, linaharakisha utendaji kazi na utafutaji wako. lakini gari ni kitu hatari sana kwa afya yako. walionielewa wamenielewa. wengi wetu leo hii ukisema tutembee vituo viwili vya basi kwa mguu, au tupande daladala, inatuwia vigumu sana. kilichobaki ni kulipia gym na kuhangaika kujenga afya jambo ambalo yule anayepanda daladala na kutembea kwa mguu alipata bure kabisa. wanaotembea kwa mguu au daladala kwa shida wanapata afya njema sana ila wao tu hawajui.
siyo wote. Halafu mkuu ukiona mtu anakopesheka kwenye Taasisi kubwa mheshimu hyu jua wazi ana sifa na vigezo vyote hivyo anastahili.Wanakopa bank na wanalipa kwa mateso tembea uone
Hayo nimatokeo mtu yeyeto yanaweza kumpata. Tumeona maduka ya watu yakiungua moto nyumba,shule na hospital watu wanarudi moja kabisa. cha msingi ni uzimaNdugu yangu mmoja alikua km wewe na akili za kindezi bi mkubwa akamuita chini akamshauri usiingie kwenye mikopo ndugu alivyo mjinga kasikiliza ushauri wa mkewe kadharau ushauri wa bi mkubwa kaenda bank katia saini M200 miezi 6 imekata yote nyumba kamaliza gari alikua anatembelea Alphard white ndio ilikua gari yake pendwa alienda kula mzinga k/koo gari ikafumuka mbele aliingia chini ya lori, bank kila mwisho wa mwezi wanakomba ½ na ¼ ya mshahara wake mpaka kichwa kikaanza kumuwaka moto watoto anasomeshwa shule za gharama mpaka akaanza kuwarudisha kayumba mmoja mmoja, usiombee yakukute
Hizi ndiyo fikra zetu watz,mambo manyooonge tuayapa nafasigari ni kitu kizuri sana kwa maisha, linarahisisha kazi, linaharakisha utendaji kazi na utafutaji wako. lakini gari ni kitu hatari sana kwa afya yako. walionielewa wamenielewa. wengi wetu leo hii ukisema tutembee vituo viwili vya basi kwa mguu, au tupande daladala, inatuwia vigumu sana. kilichobaki ni kulipia gym na kuhangaika kujenga afya jambo ambalo yule anayepanda daladala na kutembea kwa mguu alipata bure kabisa. wanaotembea kwa mguu au daladala kwa shida wanapata afya njema sana ila wao tu hawajui.
Nchi ya kimasikiniHuku Bongo (TZ) ukijenga nyumba ya 30mil kisha ukinunua gari la kutembelea (i.e: Carina, IST, Mazda, wish, Rav4, Dualis, Spacio, Crown Athlete, Vitz, Runnex, n.k) tayari unaonekana umetoboa maisha. Pengine hata wewe mwenyewe utajiona una akili ya maisha kuliko kiumbe chochote hapa nchini ambacho hakikufanya hivyo.
Ukisimama mbele ya masikini wenzako wanakuita TAJIRI. Hata kama haikuwa desturi yako kuvaa mkanda nje (kuchomekea sharti), sasa utaanza kuvaa hivyo ili watu waone ufunguo wa gari ukiwa umeuning'iniza kwenye suruali.
Right Marker
Dar es salaam
Ingekuwa hivyo hata wewe usingeandika ulichoandika unless JF is the business that pays you.People should just mind the business that pays them!
Kwa nini mnapenda kujishughulisha na mambo ya watu wasiowahusu?