Kazanazo
JF-Expert Member
- Aug 16, 2023
- 2,582
- 4,554
Maisha ni hatua kama hatua za ukuwaji huwezi kuzuia kukaa, kutambaa, kusimama na kutembea
Hivyo hivyo katika vitu vya maendeleo, mfano mimi kuna muda sikuwahi kupenda kutumia smartphone kwa kigezo kuwa vocha na ela ya kununulia ni bora nifanyie kitu kingine ila mwisho wa siku kutumia smartphone hakukwepeki katika mishe zangu kwa sasa
Sikuwahi kuwaza kuhusu kujenga kwa mida hii ukizingatia na umri na mambo mengine nilijiona bado ila kuna kipindi unaenda home town unakuta dada na mashemeji wamejazana nyumbani hamna hata sehemu ya kulala hadi ugongee mageto na hayo mageto yenyewe madogo wanaoa balaa kila siku mageto yanapungua nikaamua kujenga asaivi nikienda home fuleshi tu
Hivyo hivyo kwenye inshu za kununua gari na makaburasha mengine huja kwa style hiyo huwezi kuzuia some of development ni lazima udevelop hata kama hutaki sasa wewe endelea kuwaona watu wanalinga sijui ni maboss it is up to you