Bongo aliyenunua gari na kujenga nyumba anajiona ametoboa maisha

Bongo aliyenunua gari na kujenga nyumba anajiona ametoboa maisha

Kwani ni uongo?.Kwa Tz ukijenga nyumba,unabiashara ambayo inakupatia kipato na unausafiri ambao utakusaidia kukupeleka unakotaka ndiyo maisha menyewe.Au wewe mleta mada una Nini Cha ziada ambacho unaona Hivyo havifai kuitwa mtu amefanikiwa?Au wewe mleta mada una mradi wa kwenda kuishi sayari ya mars kama Wa kina Elon musk?
Ovyoo kabisa Huyu Mleta Mada, Sasa Alitakaje? Hivyo ndio Vitu Muhimu, Nyumba, Gari na Vitu vingine vinavyokupatia kipato, Dalili ya Umasikini ni Pamoja na kupanga Chumba kimoja Mbangara au Buguruni au Vingunguti au Kwa Mtogole na Dalili Zingine za Umasikini ni Za kutembelea Baiskeli, Sasa Kwa TANZANIA yetu hii Gari Unayo, Nyumba Nzuri Si umetoboa kimaisha, Wewe Mleta Oja ulitakaje? Punguza Makasiliko na Wivu
 
Mtu akijenga nyumba ni kwamba katimiza hitaji la 3 la msingi katika maisha ya binadamu yaani chakula, mavazi na malazi.

Sasa sijui mwanetu anakuwaje na wivu na mtu kama huyo na kusema anajiona katoboa wakati ndio kwanza kajitimiza mojawapo ya hitaji la msingi kibinadamu
NAKAZIA
 
We bwege ili uwe tajiri na uwe tajiri kweli jenga kiwanda supply bidhaa kwa watu, jenga hotel, jenga nyumba za kulala watu namaanisha nyumba zaidi ya 1 kuanzia 10 na kuendelea za kulala watu, jenga sehemu ya watu kupata chakula kodisha chukua pesa, hivyo baadhi namaanisha uwe na assets nyingi nyingi sio kinyumba na kigari basi na wewe eti umetoboa nyanoko labda umetoboa acha niishie hapo
Kunguni wewe nijenge nyumba za kulala watu kwani Mimi ndio niliowaleta duniani we kweli ngedere nikajua unaandika vitu vya maana kumbe kuwa tajiri ni kujengea watu sehemu za kulala na kujenga hotel watu wapate chakula umesikia Mimi serikali we kweli ngedere hujui kitu
 
Kunguni wewe nijenge nyumba za kulala watu kwani Mimi ndio niliowaleta duniani we kweli ngedere nikajua unaandika vitu vya maana kumbe kuwa tajiri ni kujengea watu sehemu za kulala na kujenga sehemu watu wapate chakula umesikia Mimi serikali we kweli ngedere hujui kitu
Hivi zile milioni 49 nilizokutumia ulizipata?
 
Kwa kiwango chetu ni ndio ulogwe na ndugu ,mchepuko ,kazini ,majirani, kuzungukwa na madeni[emoji1787][emoji24][emoji24][emoji1787][emoji1787][emoji1787] fanyamasihallllaaasnnn
 
Aendelee Juu zaidi wapi huko!?
Kama unaona hajafika juu unapopataka wewe, basi malizia mwenyewe.
Na ndiyo maana familia nyingi zinaendekea kuwa maskini kwasababu ya mtazamo kama huu. Nilichokuwa namaanisha anaendelee kutafuta mafanikio zaidi ili hata yeye akifa watoto wake aendeleze kile baba alicho kianzisha.. Gari na nyumba ni mwanzo wa mafanikio.
 
Mfumo wa maisha na uchumi wa nchi yetu umebanwa sana waendesha nchi .

Tuna lasilimali za asili nyingi sana nchini lakini hazi tusaidii wananchi kwa uiano unao faa. .
Ndiyo maana mtu akifanikiwa kununua gari ya ml30 au 50 na akijenga Nyumba ya 50 ml ataona amefanikiwa na jamii inayo mzunguka itamheshinu kwa hilo na msululu wa waomba misaada ju.

Nchi ninapaswa kubadilika kimifumo kwa kiwango cha ju ili watu wajenge uchumi na utajiri wa kimataifa kwa %walau 40 ya watu wote ,kisha kila mwananchi awe na uwezo wa kununua gari kwaajiri ya shufhuri zake maishani.
 
S
Mafanikio ni swala pana. So inategemea hali uliokua nayo awali na ulipo kwa wakati husika.
Kwa mfano unaweza kuta mtu kwao kakulia kwenye nyumba ya udongo na shule amesomea 2km umbali kutoka nyumbani na anaenda kwa miguu kila siku, sasa mtu kama huyo akijenga nyumba ya milion 30 na kagar ni mafaniko makubwa sana kwake ila kwa mtoto wa mengi au bakhresa kwao mafanikio ni vitu tofauti na hivyo.
Comment yako Iko classic (nimeipenda sana). Kwa mfano, Tanzania tulipotoka Hali ili kuwa ngumu sana, katika miundo mbinu ya Shule, hususani Shule za umma (msingi na Sekondari). Kwa sasa, Serikali imejenga/inajenga Vyumba Vya madasa na vyoo Bora Vya Wanafunzi. Waandamizi na chawa wa Serikali wanagaragara chini kumpongeza Rais Kwamba anaupiga/ameupiga mwingi. Wanatuaminisha kwamba hayo ni mafanikio ya juu kabisa. Lakini nchi kama Japani, German, U.K, n.k wao walishavuka level za kushadadia Ujenzi wa majengo mazuri ya Wanafunzi. Kwao Wako kwenye level za kuhangaika na rocket za kupeleka wanadamu sayari ya Mars.
 
Sikio la kufa haya fanya unavyoona kwako ni sawa ila msimamo wangu upo pale nyumba na gari sio kwamba umejipata ni akili za ulimbukeni tu na mawazo ya kimasikini
Nadhani Pitia maana ya Maneno Maisha; Kujipata, Umasikini na ukishatumbua kwamba watu wapo tofauti ndio utagundua kwamba kuna masikini mwingi kingi na tajiri mwenye vichache..., Na ukishatambua hivyo utaona kwamba mtu aliyeridhika sio limbukeni bali yule asiyeridhika ndio limbukeni....

To each their Own...
 
Back
Top Bottom