Bongo aliyenunua gari na kujenga nyumba anajiona ametoboa maisha

Bongo aliyenunua gari na kujenga nyumba anajiona ametoboa maisha

Chuki na roho mbaya vinaeatesa wanataka kuona mafanikio ya wenzao si chochote wakati suala la mtu kujitegemea tu yani kuwa na gheto na ukamudu gharama za chakula na mavazi nk ni mafanikio makubwa sana kwa binadamu
Kuna wenzio kua na kidemu tu anachokipiga miti kila siku ni mafanikio makubwa mno, kwa hio inategemea na limitation ya mafanikio ulivyoyaweka wewe km kua na kisabufa kimoja na kupigia watu makelele kwenye kighetto chako chenye hadhi ya stoo ya magunia ya mkaa au kordo ni mafanikio basi wewe una definition yako ya mafanikio
 
We mafanikio kwako si ni kuishi kwa shemeji yako na jioni kuzungukazunguka mtaani umevaa malapa na soksi huku umeweka earphones maskioni
Halafu wanajisikia wanaonaga ni wajanja kwa kulishwa bure na dada, akipata 10k ni kutongoza mademu mtaani tu🤣
 
Aendelee Juu zaidi wapi huko!?
Kama unaona hajafika juu unapopataka wewe, basi malizia mwenyewe.
Na huko juu anaendaje mikopo km yote inamuandama madeni kulipa kukata stress kila ukifungua fridge unakutana na pombe kali ni mwendo wa kukata wenge tu
 
We mafanikio kwako si ni kuishi kwa shemeji yako na jioni kuzungukazunguka mtaani umevaa malapa na soksi huku umeweka earphones maskioni
Hapo hakuna mafanikio ila shtuka nyumba gari sio mafanikio ni zaidi ya unavyojua tafuta mtu akupe ABC zake utaelewa jambo
 
We bwege Ili uwe tajiri unatakiwa uwe na nini sio unafokafoka hapa na hauorodheshi vitu vya kukufanya uwe tajiri
We bwege ili uwe tajiri na uwe tajiri kweli jenga kiwanda supply bidhaa kwa watu, jenga hotel, jenga nyumba za kulala watu namaanisha nyumba zaidi ya 1 kuanzia 10 na kuendelea za kulala watu, jenga sehemu ya watu kupata chakula kodisha chukua pesa, hivyo baadhi namaanisha uwe na assets nyingi nyingi sio kinyumba na kigari basi na wewe eti umetoboa nyanoko labda umetoboa acha niishie hapo
 
Sijawahi kusikia mtanzania mwenye gari na nyumba anasema amefanikiwa maishani

Ndio maana hata baada ya kuwa na nyumba na gari/magari bado watu wanapambana kuwa na vyanzo vingine vya mapato

Mara nyingi tu watu wa pembeni wenye wivu ndio huwa wanachonga utasikia jamaa kajiona amemaliza maisha mwenyewe na hako kanyumba na kagari kamkopo...mmojawapo ni huyu mleta uzi
 
Sijawahi kusikia mtanzania mwenye gari na nyumba anasema amefanikiwa maishani

Mara nyingi tu watu wa pembeni wenye wivu ndio huwa wanachonga utasikia jamaa kajiona amemaliza maisha mwenyewe na hako kanyumba na kagari kamkopo...mmojawapo ni huyu mleta uzi
Nyumba gari sio mafanikio ila ulimbukeni wa watu tu na wengine wasioweza maisha hayo uwashinda vyote uishia kuuza na kurudi TZ 11 wengine wanajikunja apate hata bodaboda boxer 1 kuficha aibu baada ya hapo kifuatacho anakijua mwenyewe

Nakwambia kutokana na experience wengi nawajua magari yamepark uwani hayatembei mpaka leo wanatembelea ngoko gari ipo juu ya mawe ukimuuliza vipi jibu unalopewa jiongeze
 
Nyumba gari sio mafanikio ila ulimbukeni wa watu tu na wengine wasioweza maisha hayo uwashinda vyote uishia kuuza na kurudi TZ 11 wengine wanajikunja apate hata bodaboda boxer 1 kuficha aibu baada ya hapo kifuatacho anakijua mwenyewe
Neno mafanikio ni pana sana. Inategemea hasa jamii inayomzunguka mtu

Kwa mfano jamii ya watu wa Ulaya au Marekani (developed countries) kuwa na gari ni kawaida sana. Labda ni aina gani ya gari unayomiliki ndio itawashangaza watu wa nchi hizo

Ukienda baadhi ya vijiji Tanzania kuwa na nyumba ni kawaida ila ukijenga nyumba nzuri yenye paa la Msouth nje una dish la Azam na kageti na pikipiki ya Mchina inakuwa gumzo

Kuwa na umeme kwa mjini ni kawaida sana. Ila kuna maeneo ukienda umeme hakuna mwenye solar anaonekana amefanikiwa

Huyo anayesema gari na nyumba ni mafanikio ni kwa sababu ya umasikini wake. Huenda hiyo nyumba na gari anavyozungumzia kama unaweza kwenda kuvihamishia pale mtaa fulani wa madon Masaki vikaonekana tu kama gari la mfanyakazi na nyumba ya maids au mlinzi (kota)

Mo akikaa na akina Elon Musk na Zuckerberg anajiona bado ana safari ndefu, kibongobongo na Afrika Mashariki na kati ndio billionaire #1

Neno mafanikio ni pana sana. Tuendelee kupambana mpaka wenye wivu waseme tunajiona tumetoboa na tunajisikia
 
Huku Bongo (TZ) ukijenga nyumba ya 30mil kisha ukinunua gari la kutembelea (i.e: Carina, IST, Mazda, wish, Rav4, Dualis, Spacio, Crown Athlete, Vitz, Runnex, n.k) tayari unaonekana umetoboa maisha. Pengine hata wewe mwenyewe utajiona una akili ya maisha kuliko kiumbe chochote hapa nchini ambacho hakikufanya hivyo.

Ukisimama mbele ya masikini wenzako wanakuita TAJIRI. Hata kama haikuwa desturi yako kuvaa mkanda nje (kuchomekea sharti), sasa utaanza kuvaa hivyo ili watu waone ufunguo wa gari ukiwa umeuning'iniza kwenye suruali.

Right Marker
Dar es salaam​
Hoja yako hapo ni nini ?
 
Neno mafanikio ni pana sana. Inategemea hasa jamii inayomzunguka mtu

Kwa mfano jamii ya watu wa Ulaya au Marekani (developed countries) kuwa na gari ni kawaida sana. Labda ni aina gani ya gari unayomiliki ndio itawashangaza watu wa nchi hizo

Ukienda vijijini Tanzania kuwa na nyumba ni kawaida ila ukijenga nyumba nzuri yenye paa la Msouth nje una dish la Azam na kageti na pikipiki ya Mchina inakuwa gumzo

Kuwa na umeme kwa mjini ni kawaida sana. Ila kuna maeneo ukienda umeme hakuna mwenye solar anaonekana amefanikiwa

Huyo anayesema gari na nyumba ni mafanikio ni kwa sababu ya umasikini wake. Huenda hiyo nyumba na gari anavyozungumzia kama unaweza kwenda kuvihamishia pale mtaa fulani wa madon Masaki vikaonekana kama kama gari la mfanyakazi na nyumba ya mlinzi (kota)

Neno mafanikio ni pana sana
Yaan huko mbele watu wanapookota magari ndio usifike kabisa yaan unarudi pale pale kwamba ni ulimbukeni wa watu tu ila hakuna kitu mtu ana kigari cha milioni 4 au 5 basi anaona ana bonge la maisha kumbe ni sifuri zero ulimbukeni
 
Huyo ni wivu tu unamsumbua gari na nyumba kwake ni mafanikio

Ila kihalisi naungana na mzee wa kupambania aliyesema nyumba na gari ni mahitaji muhimu kama vile chakula na mavazi.

Sijui kama ukimwona mtu anakula utasema:
"Jamaa anajiona katoboa maisha kweli cheki anakula chakula."

Huwa hatusemi hivyo kwa sababu tunajua ni hitaji la muhimu maishani

Mtu akijenga nyumba ni kwamba katimiza hitaji la 3 la msingi katika maisha ya binadamu yaani chakula, mavazi na malazi.

Sasa sijui mwanetu anakuwaje na wivu na mtu kama huyo na kusema anajiona katoboa wakati ndio kwanza kajitimiza mojawapo ya hitaji la msingi kibinadamu

Kwa kuongezea maisha ya sasa gari ni muhimu limekuwa kama sehemu ya mahitaji ya binadamu

20231103_141906.jpg
Angalia msimu wa mvua wanavyoteseka
 
We bwege ili uwe tajiri na uwe tajiri kweli jenga kiwanda supply bidhaa kwa watu, jenga hotel, jenga nyumba za kulala watu namaanisha nyumba zaidi ya 1 kuanzia 10 na kuendelea za kulala watu, jenga sehemu ya watu kupata chakula kodisha chukua pesa, hivyo baadhi namaanisha uwe na assets nyingi nyingi sio kinyumba na kigari basi na wewe eti umetoboa nyanoko labda umetoboa acha niishie hapo
Sasa ww unavyo ivo vitu na kutoboa huko n kwa maoni yako ww kila mtu ana jinsi ya kutoaboa usilazimishe eti wote wawe na mtazamo wako kwa wabongo labda asilimia mbili 2% ndo wana ivo vitu ulivotaja au chini ya hapo ss ww kinachokuuma nn mtu akiwa na nyumba na gari halaf akajisemea mwenyew kwamba nimetoboa
 
Huyo ni wivu tu ubamsumbua gari na nyumba kwake ni mafanikio ila kihalisi naungana na mzee wa kupambania aliyesema nyumba ni mahitaji muhimu kama vile chakula na mavazi.

Sijui kama ukimwona mtu anakula utasema jamaa anajiona kafanikiwa kweli cheki anakula chakula.

Huwa hatusemi hivyo kwa sababu tunajua ni hitaji la muhimu maishani

Mtu akijenga nyumba ni kwamba katimiza hitaji la 3 la msingi katika maisha ya binadamu yaani chakula, mavazi na malazi. Sasa sijui mwanetu anakuwaje na wivu na mtu kama huyo

Kwa kuongezea maisha ya sasa gari ni muhimu limekuwa kama sehemu ya mahitaji ya binadamu

View attachment 3115691
Angalia msimu wa mvua wanavyoteseka
Huwezi kuelewa kwa sababu unatumia uwezo wako wa kawaida kufikiri ili uweze kwenda sambamba na mimi inabidi uende extra miles
 
Sasa ww unavyo ivo vitu na kutoboa huko n kwa maoni yako ww kila mtu ana jinsi ya kutoaboa usilazimishe eti wote wawe na mtazamo wako kwa wabongo labda asilimia mbili 2% ndo wana ivo vitu ulivotaja au chini ya hapo ss ww kinachokuuma nn mtu akiwa na nyumba na gari halaf akajisemea mwenyew kwamba nimetoboa
Ndio hujatoboa sasa hapo kaa chini pika vitunguu
 
Back
Top Bottom