Bongo aliyenunua gari na kujenga nyumba anajiona ametoboa maisha

Nikakope ili niishi kwa msoto? Hivi unaelewa ninachozungumza au unachukulia juu juu? Ushawahi kufilisiwa kwa kushindwa kuilipa bank? Ushawahi pigwa mnada kijumba chako ulichojenga kwa pesa za bank?
Sijawahi. Lakini sio wote wanaokopa mikopo hufilisiwa sio kweli. Nina watu ninao wajua wefanikiwa kupitia mikopo na wengine wengi wamefilisiwa.
 
Huku Bongo (TZ) ukijenga nyumba ya 30mil kisha ukinunua gari la kutembelea (i.e: Carina, IST, Mazda, wish, Rav4, Dualis, Spacio, Crown Athlete, Vitz, Runnex, n.k) tayari unaonekana umetoboa maisha. Pengine hata wewe mwenyewe utajiona una akili ya maisha kuliko kiumbe chochote hapa nchini ambacho hakikufanya hivyo.

Ukisimama mbele ya masikini wenzako wanakuita TAJIRI. Hata kama haikuwa desturi yako kuvaa mkanda nje (kuchomekea sharti), sasa utaanza kuvaa hivyo ili watu waone ufunguo wa gari ukiwa umeuning'iniza kwenye suruali.

Right Marker
Dar es salaam​

Hata afande sele kwenye karata dume aliweka mstari "Uliona wapi msanii afanikiwe pasipo haki miliki? Labda utajiri wa kibongo kuwa na gari ndogo na vyumba viwili uswahilini kwangu havinipi jeuri".
 
Huku Bongo (TZ) ukijenga nyumba ya 30mil kisha ukinunua gari la kutembelea (i.e: Carina, IST, Mazda, wish, Rav4, Dualis, Spacio, Crown Athlete, Vitz, Runnex, n.k) tayari unaonekana umetoboa maisha. Pengine hata wewe mwenyewe utajiona una akili ya maisha kuliko kiumbe chochote hapa nchini ambacho hakikufanya hivyo.

Ukisimama mbele ya masikini wenzako wanakuita TAJIRI. Hata kama haikuwa desturi yako kuvaa mkanda nje (kuchomekea sharti), sasa utaanza kuvaa hivyo ili watu waone ufunguo wa gari ukiwa umeuning'iniza kwenye suruali.

Right Marker
Dar es salaam​
Mafanikio kila mtu na anavyoyatafsirii kutokana na ndoto zake mfano mtu mwingine ndoto yake kubwa ilikuwa kujenga na kununua garii akishavitimiza hivyo basi huyo kafinikiwa ni same pia hata kwamweny ndoto yakumiliki baskelii vilevile akimilk basi kafanikiwa kutokana na ndoto zake
 
Kwa kujitakia au? Kuna mtu anajitakia nyumba au shule au hospitali iungue moto? Ila kuna watu wanajitakia kulimbikiza madeni bank ili nao waonekane wanaishi maisha ya kifahari copy that?
I copy. Lakini mfano wa jamaa kuwa alipaya ajari ya gari aliyonunua Kwa mkopo ndo nilkuwa na jibu la mifano hiyo. Siyo kujitakia hiyo. Mtu yeyeto yule anayekopa mkopo Kwa ajili ya Bata lazima ajute tu.

Nasema Hivi Mimi mwenyew nilikopa kiasi nikajengea na nyingine nikawekeza Sasahivi faida nayopata hata mshahara sigusi nawaza hata kuacha kazi!

Wapo walio pata mkopo na kununua magari wengi wameacha kazi Kwa sababu ya madeni ya kausha damu.
 
Mafanikio kila mtu na anavyoyatafsirii kutokana na ndoto zake mfano mtu mwingine ndoto yake kubwa ilikuwa kujenga na kununua garii akishavitimiza hivyo basi huyo kafinikiwa ni same pia hata kwamweny ndoto yakumiliki baskelii vilevile akimilk basi kafanikiwa kutokana na ndoto zake
Nishawahi ishi na mtu ana kila kitu unachokihitaji wewe to infinity anaenda popote kwenye dunia hii katembea nchi nyingi mno ila kitu kimoja tu hana furaha hana furaha sababu vyooote hivyo anavyo ila hana mtoto wa kumzaa na hana uwezo wa kuzaa ana magari anamiliki mahotel ya kifahari na majumba ya kifahari mpaka ulaya ila hana furaha pesa anazo bwelele ila hana furaha amani ipo ila furaha haipo mda mwingi baada ya kazi analewa sana kukata mawazo ya huzuni iliyomjaa
 
Nishawahi ishi na mtu ana kila kitu unachokihitaji wewe to infinity anaenda popote kwenye dunia hii katembea nchi nyingi mno ila kitu kimoja tu hana furaha hana furaha sababu vyooote hivyo anavyo ila hana mtoto wa kumzaa na hana uwezo wa kuzaa ana magari anamiliki mahotel ya kifahari na majumba ya kifahari mpaka ulaya ila hana furaha pesa anazo bwelele ila hana furaha amani ipo ila faraha haipo mda mwingi baada ya kazi analewa sana kukata mawazo ya huzuni iliyomjaa
Mke anaye lakinii
 
Huku Bongo (TZ) ukijenga nyumba ya 30mil kisha ukinunua gari la kutembelea (i.e: Carina, IST, Mazda, wish, Rav4, Dualis, Spacio, Crown Athlete, Vitz, Runnex, n.k) tayari unaonekana umetoboa maisha. Pengine hata wewe mwenyewe utajiona una akili ya maisha kuliko kiumbe chochote hapa nchini ambacho hakikufanya hivyo.

Ukisimama mbele ya masikini wenzako wanakuita TAJIRI. Hata kama haikuwa desturi yako kuvaa mkanda nje (kuchomekea sharti), sasa utaanza kuvaa hivyo ili watu waone ufunguo wa gari ukiwa umeuning'iniza kwenye suruali.

Right Marker
Dar es salaam​
"kutoboa" ndiyo nini?
 
Asikwambie mtu dunia hii pesa zote hizi tunatafuta kwa ajirii ya wanawake naiman kusingekuwa nawanawake cjui tungeish vp
 
Huku Bongo (TZ) ukijenga nyumba ya 30mil kisha ukinunua gari la kutembelea (i.e: Carina, IST, Mazda, wish, Rav4, Dualis, Spacio, Crown Athlete, Vitz, Runnex, n.k) tayari unaonekana umetoboa maisha. Pengine hata wewe mwenyewe utajiona una akili ya maisha kuliko kiumbe chochote hapa nchini ambacho hakikufanya hivyo.

Ukisimama mbele ya masikini wenzako wanakuita TAJIRI. Hata kama haikuwa desturi yako kuvaa mkanda nje (kuchomekea sharti), sasa utaanza kuvaa hivyo ili watu waone ufunguo wa gari ukiwa umeuning'iniza kwenye suruali.

Right Marker
Dar es salaam​
Kwani uongo?
 
Mke anaye lakinii
Ni mwanamke sio mwanaume hajaolewa hana mtoto ila huo uchafu mnaodiscuss hapa anaona km ujinga tu sababu kwake yeye sio vitu vya ajabu ni vitu vya kawaida kwake kununua nyumba au gari ni sawa na kwenda sokoni kununua kitunguu au nyanya ila furaha hana, kuna kitu hujanielewa bado
 
Hii ndiyo inatulemaza wengi wakishapata hayo yote basi hawazi sanaa namna ya kuendelea juu zaidi, ni pombe na madem na jamii inaona sawa tu vile amejenga na ana gari.

Mkuu kwa uchumi huu wa ccm kufika tu hapo ni mbinde, una hiari ya kuchagua

1. Uchawa
2. Madili haramu
3. Upididi
4. Haso ya jasho la kufa na kupona
 
Back
Top Bottom