Bongo aliyenunua gari na kujenga nyumba anajiona ametoboa maisha

Bongo aliyenunua gari na kujenga nyumba anajiona ametoboa maisha

Maisha ni hatua kama hatua za ukuwaji huwezi kuzuia kukaa, kutambaa, kusimama na kutembea

Hivyo hivyo katika vitu vya maendeleo, mfano mimi kuna muda sikuwahi kupenda kutumia smartphone kwa kigezo kuwa vocha na ela ya kununulia ni bora nifanyie kitu kingine ila mwisho wa siku kutumia smartphone hakukwepeki katika mishe zangu kwa sasa

Sikuwahi kuwaza kuhusu kujenga kwa mida hii ukizingatia na umri na mambo mengine nilijiona bado ila kuna kipindi unaenda home town unakuta dada na mashemeji wamejazana nyumbani hamna hata sehemu ya kulala hadi ugongee mageto na hayo mageto yenyewe madogo wanaoa balaa kila siku mageto yanapungua nikaamua kujenga asaivi nikienda home fuleshi tu

Hivyo hivyo kwenye inshu za kununua gari na makaburasha mengine huja kwa style hiyo huwezi kuzuia some of development ni lazima udevelop hata kama hutaki sasa wewe endelea kuwaona watu wanalinga sijui ni maboss it is up to you
 
Kununua Gari MTU unaayetegemea mshahara pekee ni kupunguza umaskini au kuongeza umaskini mkuu
Inategemea Mkuu

Kuna baadhi ya watu, gari hutumika kwenye shughuli zao za Kila Siku za kuzalisha Uchumi.

Hata hivyo sishauri mtu anayetegemea mshahara pekee kununua gari la kutembelea.

Hela ya kununulia gari, bora ukafanye Mradi wa kufuga nguruwe hapo Morogoro ama Bagamoyo, Kwa maana gari muda wote linatumia hela tu
 
People should just mind the business that pays them!

Kwa nini mnapenda kujishughulisha na mambo ya watu wasiowahusu?
Nashangaa unashangaa lakini una kila sababu ya kushangaa.Ndio hulka za watanzania walio wengi hawawezi ku mind their own business.Haitakaa itokee.Ni hulka ya watanzania kujiingiza kwenye mambo yasiyo na tija kwao na yasiyowahusu.
 
Maisha ni hatua kama hatua za ukuwaji huwezi kuzuia kukaa, kutambaa, kusimama na kutembea

Hivyo hivyo katika vitu vya maendeleo, mfano mimi kuna muda sikuwahi kupenda kutumia smartphone kwa kigezo kuwa vocha na ela ya kununulia ni bora nifanyie kitu kingine ila mwisho wa siku kutumia smartphone hakukwepeki katika mishe zangu kwa sasa

Sikuwahi kuwaza kuhusu kujenga kwa mida hii ukizingatia na umri na mambo mengine nilijiona bado ila kuna kipindi unaenda home town unakuta dada na mashemeji wamejazana nyumbani hamna hata sehemu ya kulala hadi ugongee mageto na hayo mageto yenyewe madogo wanaoa balaa kila siku mageto yanapungua nikaamua kujenga asaivi nikienda home fuleshi tu

Hivyo hivyo kwenye inshu za kununua gari na makaburasha mengine huja kwa style hiyo huwezi kuzuia some of development ni lazima udevelop hata kama hutaki sasa wewe endelea kuwaona watu wanalinga sijui ni maboss it is up to you
Point ingawa ya utetezi sana
 
Mkuu huyu ni tajiri nyumba ya 30m na gari ya 20m huyu ni class apart wa Tanzania wanao weza kumiliki mali ya 50m hawafiki 10% plz mkuu heshimu juhudi za watu, sio kila mtu anaweza kumiliki gari na nyumba.
Bado tuna safari ndefu sana kama kweli Watanzania wanaoweza kumiliki mali ya mil 50 hawafiki 10%?!!
 
Ubaya wake kila mwenye gari na nyumba anaonekana analinga ila wengine hatulingi ni vile tu wanavyotufikiria wao
Nimependa point yako utetezi ila mengine ni upuuzi kwa hio inatosha kusema kwa kiasi fulani sema unajitetea sana
 
Nimependa point yako utetezi ila mengine ni upuuzi kwa hio inatosha kusema kwa kiasi fulani sema unajitetea sana
Mkuu hata wewe kuna vitu umevielezea hapo juu nimevikubali na mifano ninayo ya kutosha

Kuna mtu yeye kununua gari ni ndoto yake basi anafirisi mitaji na kuuza baadhi ya vitu vya muhimu anunue gari ya kutembelea mwisho wa siku ofisi kafunga mtaji umekata anabaki kupambana kama alivyoanza

Ndoto za wengine ni mateso
 
Huku Bongo (TZ) ukijenga nyumba ya 30mil kisha ukinunua gari la kutembelea (i.e: Carina, IST, Mazda, wish, Rav4, Dualis, Spacio, Crown Athlete, Vitz, Runnex, n.k) tayari unaonekana umetoboa maisha. Pengine hata wewe mwenyewe utajiona una akili ya maisha kuliko kiumbe chochote hapa nchini ambacho hakikufanya hivyo.

Ukisimama mbele ya masikini wenzako wanakuita TAJIRI. Hata kama haikuwa desturi yako kuvaa mkanda nje (kuchomekea sharti), sasa utaanza kuvaa hivyo ili watu waone ufunguo wa gari ukiwa umeuning'iniza kwenye suruali.

Right Marker
Dar es salaam​
Utawnaa kunyoa kipara na kufuga ndevu nyimgi
 
Wewe umetoka nyumba ya tope unaambiwa kuna M200 pale ambayo itakuchukua miaka 15 mpaka 20 kuilipa uchukue ujenge nyumba ya kisasa na usafiri mzuri na uwe na kibiashara cha kuzugia maisha wewe utaacha au utachukua?
Kwamba utoke nyumba ya tope halafu upate mkopo wa 200m?

Hii sijaelewa.
 
Kuna wenzio kua na kidemu tu anachokipiga miti kila siku ni mafanikio makubwa mno, kwa hio inategemea na limitation ya mafanikio ulivyoyaweka wewe km kua na kisabufa kimoja na kupigia watu makelele kwenye kighetto chako chenye hadhi ya stoo ya magunia ya mkaa au kordo ni mafanikio basi wewe una definition yako ya mafanikio
Tatizo unaongea kwa nadharia ngoja uanze jihudumia ndio utaelewa nachoimanisha wewe inaonekana bado unahudumiwa kula yako maisha yako bado ni majukumu ya watu wengine siku ukimiiki gheto tu ukalipa kodi Bill za umee na maji ndio utajua hata kumiki sabufa ni mafnikio katika maisha
 
Back
Top Bottom