Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Ujue Elon Musk na yeye anajiona hajatoboa maisha haya mpaka awe trillionaire kwa kwanza na apeleke watu kwenda kuishi Mars.Huku Bongo (TZ) ukijenga nyumba ya 30mil kisha ukinunua gari la kutembelea (i.e: Carina, IST, Mazda, wish, Rav4, Dualis, Spacio, Crown Athlete, Vitz, Runnex, n.k) tayari unaonekana umetoboa maisha. Pengine hata wewe mwenyewe utajiona una akili ya maisha kuliko kiumbe chochote hapa nchini ambacho hakikufanya hivyo.
Ukisimama mbele ya masikini wenzako wanakuita TAJIRI. Hata kama haikuwa desturi yako kuvaa mkanda nje (kuchomekea sharti), sasa utaanza kuvaa hivyo ili watu waone ufunguo wa gari ukiwa umeuning'iniza kwenye suruali.
Right Marker
Dar es salaam
It's all relative.