Kim Jong Jr
JF-Expert Member
- Mar 15, 2014
- 11,074
- 20,608
Weka hiyo clip Minaj akijib hivyoUsioonee Bongo fleva tu, muziki wa kisasa hata huko Marekani ndio wanavyoimba hivyo. Unamsikiliza tu Chris Brown lakini maneno ya kwenye nyimbo zake huyaelewi. Au umeshawahi kusikiliza WAP ya Cardi B?
Nicki Minaj aliwahi kuulizwa anajisikiaje nyimbo zake zikisikilizwa na watoto? Akajibu kwa ufupi tu, akasema, mimi sio mama yao.
Kwa kifupi endelea kumsikiliza Rose Muhando tu, haya mambo mengine waachie wengine. Period.
Marekani ni toka zamani..kwahiyo kisa marekani wanafanya hivyo na hapo Bongo waachwe tu,ambapo miziki inapigwa pigwa hovyo kwenye bodaboda na watoto wanasikia mitaani?.Usioonee Bongo fleva tu, muziki wa kisasa hata huko Marekani ndio wanavyoimba hivyo. Unamsikiliza tu Chris Brown lakini maneno ya kwenye nyimbo zake huyaelewi. Au umeshawahi kusikiliza WAP ya Cardi B?
Nicki Minaj aliwahi kuulizwa anajisikiaje nyimbo zake zikisikilizwa na watoto? Akajibu kwa ufupi tu, akasema, mimi sio mama yao.
Kwa kifupi endelea kumsikiliza Rose Muhando tu, haya mambo mengine waachie wengine. Period.
Yes na naenjoy haswaaaah.Mziki wa matusi ni haki yako ya msingi?.
Tunaongelea maadili ya bongo,kuhusu USA wanafanya nyimbo za aina hiyo kutokana na ugumu wanao pitia pia parental guidance inazingitiwa kwa kiwango cha juu, tokea enzi za NWA wanaimba matusi tu, ila apa bongo mziki wa matusi umeibuka ghafla bila usimamizi wa kiwango cha juu.Hapo kwa mtogolee unataka mambo yawe kama lasvegas kweli?.Usioonee Bongo fleva tu, muziki wa kisasa hata huko Marekani ndio wanavyoimba hivyo. Unamsikiliza tu Chris Brown lakini maneno ya kwenye nyimbo zake huyaelewi. Au umeshawahi kusikiliza WAP ya Cardi B?
Nicki Minaj aliwahi kuulizwa anajisikiaje nyimbo zake zikisikilizwa na watoto? Akajibu kwa ufupi tu, akasema, mimi sio mama yao.
Kwa kifupi endelea kumsikiliza Rose Muhando tu, haya mambo mengine waachie wengine. Period.
🤣🤣🤣🤣🤣Kuna wimbo mpya Unaitwa NIMETOA KITU maanake kaachia ushuzi kujamba nmecheka sana.
Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
Hawa jamaa wanazingua..mitaani bodaboda na vibanda vya kubani miziki vinapiga hizo nyimbo hovyo na watoto wanazikariri na kuziimbaTunaongelea maadili ya bongo,kuhusu USA wanafanya nyimbo za aina hiyo kutokana na ugumu wanao pitia pia parental guidance inazingitiwa kwa kiwango cha juu, tokea enzi za NWA wanaimba matusi tu, ila apa bongo mziki wa matusi umeibuka ghafla bila usimamizi wa kiwango cha juu.Hapo kwa mtogolee unataka mambo yawe kama lasvegas kweli?.
Inasikitisha sana, mbaya zaidi hizo nyimbo zinapigwa kwa public kwenye daladala, mitaani, radio stations na TV 24 hrs.Wamarekani wakiimba matusi na sisi tuimbe, wajitembea uchi na sisi tutembee uchi,
Haiwezekani lazima tuwe na mipaka, uhuru ukizidi sana ni fujo.
Tunaongelea maadili ya bongo,kuhusu USA wanafanya nyimbo za aina hiyo kutokana na ugumu wanao pitia pia parental guidance inazingitiwa kwa kiwango cha juu, tokea enzi za NWA wanaimba matusi tu, ila apa bongo mziki wa matusi umeibuka ghafla bila usimamizi wa kiwango cha juu.Hapo kwa mtogolee unataka mambo yawe kama lasvegas kweli?.
Basata ni jipu, wasanii wameiweka mfukoni wanafanya wanavyotaka.Inasikitisha sana, mbaya zaidi hizo nyimbo zinapigwa kwa public kwenye daladala, mitaani, radio stations na TV 24 hrs.
Weka hiyo clip Minaj akijib hivyo
Tutaona mengiKuna wimbo mpya Unaitwa NIMETOA KITU maanake kaachia ushuzi kujamba nmecheka sana.
Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
Kuna wimbo mpya Unaitwa NIMETOA KITU maanake kaachia ushuzi kujamba nmecheka sana.
Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
Wewe unajulikana ni team moja na kina Pete Butigieg.Hizi ni zama na wakati wa miziki aina ya matusi, nyie wazee muda wenu umepita, mtupishe bhanaaah lol.