Kim Jong Jr
JF-Expert Member
- Mar 15, 2014
- 11,074
- 20,608
Weka hiyo clip Minaj akijib hivyoUsioonee Bongo fleva tu, muziki wa kisasa hata huko Marekani ndio wanavyoimba hivyo. Unamsikiliza tu Chris Brown lakini maneno ya kwenye nyimbo zake huyaelewi. Au umeshawahi kusikiliza WAP ya Cardi B?
Nicki Minaj aliwahi kuulizwa anajisikiaje nyimbo zake zikisikilizwa na watoto? Akajibu kwa ufupi tu, akasema, mimi sio mama yao.
Kwa kifupi endelea kumsikiliza Rose Muhando tu, haya mambo mengine waachie wengine. Period.