[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mabaharia toka Buza tumefika, waweke fence tunarukaga ukuta... kama mafisi hatuachagi hata mifupaaaaa!! MIFUPA
Cha mtu mavi wanashikaga ukuta, bia tatu ila baadae utajuta!!
Gusanisha, nyama kwa nyama.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hii ndio pointi haswaaaβ¦.Likifanyiwa kazi hili kwa kuwatumia BASATA na TCRA β¦. tutatatua changamoto hiyo na kulinda maadili na Sanaa..Big up nduguKuna vitu vikifika level fulani ni ngumu kuvizuia bali kuvitengenezea mazingira na utaratibu mzuri.
Kuna kipindi niliwahi andika uzi humu wa kufanya censorship ya nyimbo kwa utaratibu huu.
1. Mamlaka zinazohusika na kusimamia sanaa ziandae mgawanyo wa kimaudhui. Mfano nyimbo zote zinazotaja mambo ya ngono, vilevi, madawa ya kulevya, matumizi ya silaha ziwekwe kwenye kundi tuliite labda E'rated. Halafu nyingine zenye maudhui ya kawaida ziwe rated kama tuseme labda A'rated. Na mwongozo huu unatakiwa ufuatwe na kila msanii.
2. Msanii anapotaka kutoa wimbo lazima aufanyie tathmini ili ajue unadondokea wapi kati ya E'rated au A'rated na atatakiwa au'lebel kulingana na kundi unapodondokea.
3. Nyimbo zote ambazo ni E'rated hazitatakiwa kuchezwa redioni, kwenye tv, kwenye saluni au eneo lolote la umma. Na yeyote ambaye atabainika itabidi aadhibiwe kulingana na sheria ambayo itakuwa imetungwa (inatakiwa iwe kali sana). Nyimbo ambazo ni E'rated zitapatikana mitandaoni tu sehemu ambapo mtu anainngia kwa ridhaa yake.
4. Kama msanii ana wimbo ambao ni E'rated na anataka uchezwe redioni au kwenye tv, basi anapaswa kutengeneza clean version ambayo itakuwa rated kama A'rated.
Huu ni utaratibu mzuri unaohitajika kwa sasa ila unahitaji usimamizi wa karibu sana ili ufanye kazi. Bora huku kuliko kupiga kelele nyimbo zifungiwe kitu ambacho hakiwezekani.
Kwa upande wa filamu wanafanya hii kitu, tofauti ni kuwa kwa wao ni lazima upeleke filamu yako wanaikagua then wanaipa daraja.
Hahahahahaha umetisha sanaaaaaa,Mabaharia toka Buza tumefika, waweke fence tunarukaga ukuta... kama mafisi hatuachagi hata mifupaaaaa!! MIFUPA
Cha mtu mavi wanashikaga ukuta, bia tatu ila baadae utajuta!!
Gusanisha, nyama kwa nyama.
WoyoooooooooooooohWatu wanaruka majoka huko, aaww!
Viuno vimefungwa mota hivyo, aaww!
Sio kuchafuana boksa huko, aaohww!! [emoji97][emoji97]
Ney WA mitego skuhz amekua kama dudu bayaKuna wimbo unaitwa kwa mpalange
Nilikuwa na maana kwamba, waache watu wafanye kazi zao usiwapangie cha kuimba kisa wewe una watoto. Ndio maana nikakutolea mfano wa Nicki Minaj, kasema mimi sio mama yao. Lea watoto watoto wako kwa hayo maadili unayotaka wewe. Huu ni Ulimwengu wa utandawazi, usitake Young Lunya aimbe unavyotaka wewe kisa unalea watoto. Watoto wako hao.
Mkuu mzee ni nani?, ninavyojua wazee mziki wao ni rhumba za taratibu za akina mbaraka na marijani.
Shida ya wafrika hawajui wanachokitafuta.
Katika maisha kuna aina nyingi ya vitu/mambo kwahiyo unatakiwa uchague kile unachokihitaji. Shida ya wafrika hawana chaguzi, wenyewe chochote kinachokuja mbele yao wanataka kuchukua.
Ulimwengu wa sasa, ni wa pesa mbele. Muziki biashara, nani atasikiliza au kuangalia nyimbo yako umevaa dela? Angalia nyimbo ya Nick Minaj Anaconda au The one ya Dj Khalid.
Kuna nyimbo nyingi zipo lakini umeng'ang'ania mpelekee moto. Hiyo nyimbo ya mpelekee moto unajua inashika namba ngapi kwenye vituo vya radio na televishen? Ukipata jibu ujue tupo kwenye karne ya 21. Sasa hivi ukienda kila mkoa utakuta maeneo maarufu ya wadada wanauza miili yao. Hata haushituki? Si shabikii haya mambo ila ujue kuwa ulimwengu umebadilika na tunapaswa kuchague kile kinachokufaa ww.
Mkuu watu wanataka zile nyimbo za kina feruzi za kipindi za kuhusu ukimwi. Wanataka wawafanye wasanii kuwa baby sitters,
Cha ajabu sasa hata hizo nyimbo za zamani zilikuwa na matusi mengi tu nashangaa wamewakomalia wakina the baddest & whozu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]picha linaanza homeboy wako anakatiza sebleni na kibegi kutoka kwenye school bus anajiimbia "peleka moto,,, mpelekee moto"
π€£π€£π€£πππpicha linaanza homeboy wako anakatiza sebleni na kibegi kutoka kwenye school bus anajiimbia "peleka moto,,, mpelekee moto"
π€£π€£π€£π€£π€£π€£Dah mimi kwa sasa mpk naona aibu,kuna mziki nimeusikia jana eti kiitikio "wazungu hao wazungu hao"