James Ritu
Member
- Sep 12, 2024
- 12
- 4
Kwa kweli una memory nzuri sana. Umekumbuka wote hao! Inaelekea darasani ulikuwa mkali sana. Enzi hizo miziki haikuwa imejaa matusi kama ya leo.Daah! Miaka ya elfu mbili muziki ulitendewa haki kweli jamani. Cheki list ya vipaji hivyo – yaani mtaani kulikuwa hakupoi:
Hicho ndo kizazi bora cha muziki cha muda wote tangu Tanzania ipate uhuru. Yaani vipaji vilikuwa halisia – sio haya mandegesule ya sasa hivi!
- Juma Nature
- Q Chillah
- Ferouz
- Lady Jay Dee
- Professor Jay
- Ngwear
- Jay Moe
- Chege
- Dully Sykes
- Ray C
- Stara Thomas
- T.I.D
- Mr Blue
- Fid Q
- Afande Sele
- Mandojo & Domo Kaya
- Banana Zorro
- Daz Baba
- AY & FA
- Mr Nice
- Mez B
- GK
- Noorah
- Biz Man
- Temba
- Madee
- Tunda
- Kassim Mganga
- MB Doggy
- Z Anto
- Matonya
- Joslin
- Q Jay
- Makamua
- Raha P
- Squeezer
- Dataz
- 2 Berry
- Langa
- Geez Mabovu
- Sugu
- Akili Ze Brain
- Tholo Thang
- Inspector Haroun
- John Walker
- Rado
- KR
- Nako 2 Nako
- Kikosi Cha Mizinga
- Chid Benz
- Suma Lee
- Izzo B
Nenda kachungulie mle ndani jamaa alipiga verse flani ivi 😀😀 ila video scene yake inachekeshaLabda ni vile nilikuwa huko Old Moshi mdawi selewii 😂
Nitajitahidi japo naona selewegi nyimbo za kufoka fokaNenda kachungulie mle ndani jamaa alipiga verse flani ivi 😀😀 ila video scene yake inachekesha
Kwani KIGOMA all stars walifoka foka mle?? 😏🙄Nitajitahidi japo naona selewegi nyimbo za kufoka foka
Hahaha hamna mkuuKwani KIGOMA all stars walifoka foka mle?? 😏🙄
Sasa je😁 aya nenda ka review verse ya baba levo utachekaaa sana hasa video yakeHahaha hamna mkuu
🤣🤣🤣Baba levo hana usanii wowote
Hawezi kuwamsliza wote, ametaja hao aliowakumbuka wakati anaandika.Hukamuweka Alikiba ambaye kaanza Mziki Kabla hata ya KR
Nina furaha sana Simba kufungwa kuondoka hapa ni manager aamueSasa je😁 aya nenda ka review verse ya baba levo utachekaaa sana hasa video yake
🥸🥸🥸Nina furaha sana Simba kufungwa kuondoka hapa ni manager aamue
Huyu ni chawa wa Diamond PlatinumzNawajua wachache sana pengine wengi wao vibao vyao nimevisikia nisijue Nan kaimba,
Kina baba levo jee 🤔
Mbn vibox
View: https://youtu.be/i-qPIcfoOwA?si=nf2kFwsy4ygTd_Db
Teknolojia haikuwa kubwa sana lakini kipaji unakiona wazi.
Kwa maoni yangu . Diamond platnumz Ndiye baba wa muziki wa Tanzania (msanii bora wa kiume wa muda wote)