Bongo Fleva ya miaka ya 2000 mpaka 2009 hatuna deni nayo maana si kwa Wasanii hawa

Sijamuona dada yangu K~lynn,Jay moe,Langa kileo Dah RIP…..Back in those Days…mimi nipo kizaz cha kati nimewaskia wq 2000s na nimewa enjoy sana wa2010s had 2020s.
 
Hakuna mashaka hawa waliimba nyimbo zinaishi kuna mwamba anaitwa D knob ongezea jina lake
Ngoma zake
Ingewezekana ungekua wangu
Sauti gharama
Kitu gani
Bad man nk
Kuna bwana misosi najiuliza nitoke vipi
Pia roma mkatoliki
Aiseee dah Dknob ile sautiiii basi tu😍

🎶Sikiza mjomba waiter
Fanya kama unapita
Baada ya round ya sita
Ili Nikutume kwa yule sister
Mwenye tabasamu la picha
Na kiuno cha kuficha
Nishaona wake mzuka
Uuh ahhh..
 
Aiseee dah Dknob ile sautiiii basi tu😍

🎶Sikiza mjomba waiter
Fanya kama unapita
Baada ya round ya sita
Ili Nikutume kwa yule sister
Mwenye tabasamu la picha
Na kiuno cha kuficha
Nishaona wake mzuka
Uuh ahhh..
Hapo anaingia q jay na chorus noma
 
Enzi hizo ndo muziki uliku mziki...njoo zama hizi sasa za Mondi na vijana wake, mtusi na fujo tupu!
 
Piko anaitwa!!
 
Aiseee dah Dknob ile sautiiii basi tu😍

🎶Sikiza mjomba waiter
Fanya kama unapita
Baada ya round ya sita
Ili Nikutume kwa yule sister
Mwenye tabasamu la picha
Na kiuno cha kuficha
Nishaona wake mzuka
Uuh ahhh..
Kaokoka now hataki kusikia habari za mziki tena!!!
 
Aiseee dah Dknob ile sautiiii basi tu😍

🎶Sikiza mjomba waiter
Fanya kama unapita
Baada ya round ya sita
Ili Nikutume kwa yule sister
Mwenye tabasamu la picha
Na kiuno cha kuficha
Nishaona wake mzuka
Uuh ahhh..
D knob ft mwasiti. NISHIKE MKONO. Kuna mahali anasema "kichwa kwenye bega langu, Ndinga tuki cruise down, Ni mshiko juu ya dashboard, traffic kuwa cool down......" Dah ! Kile kichwa nakielewa
 
Dudubaya umemsahau
 
Izo business 2000-2009 hakua kwenye mziki, nadhani mziki kaanza 2009 kuja huku juu.

Wapi Mr Ebo, Dudu baya na saida karoli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…