B-2 STEALTH BOMBER
JF-Expert Member
- Sep 15, 2024
- 4,640
- 6,422
Kuna goma la chindo man ft akon ile sijui waliitengeneza ila iko poa unayo mkuu
Ww mtu sana hii ngoma nimeisaka sana aisee. Every thing change ...View attachment 3378126 Hilo hapo mkuu ishi nalo
Mb doggyKuna Benja wa mambo jambo,
mike tee, mez b wa area C(R.I.P),
YP(Marehemu) na Y-Dash,
Mr. Blue, baby boy,
Dogo Ditto(baadae alibadilisha jina akaitwa Ditto) ,
Gangwe Mobb,
Solid ground family (Hotpot family) wa Bushparty,
Bongo. Com-Tsquard na Ring on it,
Nako 2nako soldiers,
Ay Masta, Mwana FA(binamu),
Hardmad,
Mad ice,
fid q,
Lucci,
C pwaa,
Sugu)(Mr.ii),
Pauline Zongo,
T. I. D,
Mapacha,
ZayB,
Sister P,
Jaffarai
Hajawah kua msanii huyu ni Kiburi tuπBaba levo Msanij wa Zamani Sana Ukitoa Lists Bila ya Kumuweka Halafu ukamuweka Chege na Temba Ntakuona Una Nia Yako Mbaya..
Nyimbo Ya KwNza Ya Baba Levo Ilitoka mwaka 2003 Na Ilirekodiwa na Enriq Inautwa Clara
We Sema tu Na Diamond ilikuwa juz juzKiukweli mm baba levo nimemjua Juzi 2020 alivyo kuwa wasafi FM, na nikaambiwa ni msanii π€
Ndio ile mtu anasahau jina lake kwenye MtihaniAli kiba
Ni kwamba umemsahau au makusudi yako tyuuh?
Mfalme, The King. Ni lazima awepo hapo.
Duh hadi mwaka unakumbukaBaba levo Msanij wa Zamani Sana Ukitoa Lists Bila ya Kumuweka Halafu ukamuweka Chege na Temba Ntakuona Una Nia Yako Mbaya..
Nyimbo Ya KwNza Ya Baba Levo Ilitoka mwaka 2003 Na Ilirekodiwa na Enriq Inautwa Clara
ππππNdio ile mtu anasahau jina lake kwenye Mtihani
Yupo sayar ingineTobaaaa!!
Kiba anatoa kibao cha sindelela, niko la 2 , leo hii niko uraiani napambana na life, afu useme humjui?
Hauko serious wee.
Mleta uzi kamsahau TWENTY PERCENTHao ndio watu naweza kuwasililiza..