Yaani sisi Matajiri/ wasomi/wabobevu ktk jamii husika kuitwa majina ya kila aina ndo zetu! make ukiulizwa kwanini unamuita ivo ''mchonga''au Mzee Rhuksa, huna jibu!
sababu ni umaarufu tu na kujua vingi kunawakereketa watu! make sisi tunajua kuwa tunajua! na mengi tunafanya hatutanii! km watu wengine!
si mbaya, mkituita wajuaji mwake tu bin shega! halafu tunafurahiiiii! mara nyingi tunajibiwaga vijibu rahisi vifupi vya hovyoo hivo utasikia ... chizi, umelewa, mjinga, maskini, yaani ili mradi tu mtu asiyejua maana ajibu kitu!
Ila kusema ukweli usijipendekeze Dukani kwangu kisa Mteja mfalme wkt weye ni chuma ulete aseee!! utaona mbivu na mbichi Live!....sijui eti uni kashfu kwenye biashara yangu na ukurya wako huo weeee!!!
Mfalme njoo! Dukani kwangu kwa adabu zote na heshima utapewa Huduma stahili ili uondoke salama na mie nibaki salama!...lkn ukija kibange bange nakupeleka kibange bange! tena sikutaki na hela zako hizo!
ili wengine wajinga km weye wajifunze!....weye kwangu ni mfalme ni sawa!!..... hata mie ni Mfalme hukoooo nako chukua Bidhaa kukuletea hapo ili uzitumie! kikubwa nidhamu!
Tatizo la wakurya wao wakisikia Mteja ni mfalme eti wanalichukulia ivo vio! ili kupanda watu vichwani!! Banae kaa huko huko na uchizi wako huo!