Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Inabidi umkubalie tu, kuendelea kubishana nae ni ujuha uliopitiliza.Hahaaaaaaaaaaaaaa hana mazuri huyu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inabidi umkubalie tu, kuendelea kubishana nae ni ujuha uliopitiliza.Hahaaaaaaaaaaaaaa hana mazuri huyu
Ni kweli hiki kichwa level nyingine mkuu! usikurupuke tena na hoja mfu! inabidi ujipange sana!!Hauko sawa kichwani mkuu,
Ni kwa sababu nakushauri hekima ili uelewe!! .Gazeti lote hilo la nini ndgu,
kwa sababu ni mgumu kuelewa halafu una chuki binafsi kwa wenye nazo, si kipendi fanya kazi upate!nimekupa ufafanuzi lkn huelewi! sasa nani ana makasiriko?? sisi wenye hela Mambo yetu shega tu!mbona una makasiriko sana
Umeona kimya umeanza kufukua reply za nyuma.Ni kweli hiki kichwa level nyingine mkuu! usikurupuke tena na hoja mfu! inabidi ujipange sana!!
Kumbe unabishana Mkuu?? mie naelimisha jF!! Kwa akili zako eti huo ni ujuha?? mweee!kuendelea kubishana nae ni ujuha uliopitiliza.
Sawa.Ni kwa sababu nakushauri hekima ili uelewe!! .
kwa sababu ni mgumu kuelewa halafu una chuki binafsi kwa wenye nazo, si kipendi fanya kazi upate!nimekupa ufafanuzi lkn huelewi! sasa nani ana makasiriko?? sisi wenye hela Mambo yetu shega tu!
kamwe matajiri hatumkasikii maskini! anayewinda ufalme kunako Maduka ya watu! nenda kwako uone unavo nyenyekewa vizuri na mkeo!
ukataliwe Nyapu kwa nkeo hasira kwa muuza Duka! inakujaje hiyo Mkuu sie tuko njema tu!
SawaKumbe unabishana Mkuu?? mie naelimisha jF!! Kwa akili zako eti huo ni ujuha?? mweee!
Naona naimba wimbo usio kuwa na chorus! narudia mimi nakuelimisha sibishani na wewe kwani ulipata Dvn gani mkuu?Hii kubishana jf
SawaNaona naimba wimbo usio kuwa na chorus! narudia mimi nakuelimisha sibishani na wewe kwani ulipata Dvn gani mkuu?
Kwa hiyo weye kuanika biashara ya wenzako ndo uzuri au uchawi ...uchawi mzuri???Hahaaaaaaaaaaaaaa hana mazuri huyu
Kwani kuigiza dhambiii?? kwa sheria ipi? usikariri hovyo dogo!! ...kudadadadeki!!!! jeshi la Mtu mmoja!! macho! kwa macho! wote chali wenzako wamekimbia kusiko julikana!smaki unaonekana una maisha ya kuigiza mno
Ni kawaida ...toka nizaliwe Sina utaratibu wa kwenda direct na kununua kitu kwanza huwa sitembei na pesa ya kitu husika ili nifanye maamuzi sahihi pindi nikirudi kwangu kesho yake ndo natoka napesa nachagua duka moja lenye customer care nzuri na Bei reasonable ..
Nyie utajiri mtausikia tu kwa watu
Daaah mara nyingi wengi wenye customer care mbaya wanakuwa siyo wamiliki ni ndg au jamaa wa mmiliki na wototo .Ishanitokea Mwenge miaka ya 2008-10 duka la nguo barabara ya tra, nilipenda kitu pale ila nilighairi manunuzi. Cha kufanya ni kuahirisha manunuzi aikose pesa yako. Uzuri/ubaya biashara za namna hii hazina maisha endelevu, mtafute miaka 3-5 baadae yupo chali, wachache sana wanaodumu kuvuka kizingiti hiki.
Upo sahihi, naamini hata mie niliowakuta hawakuwa ni wamiliki, kwa umri na tabia zao, ila kama ni wao basi biashara sio fungu lao ama si kitu wanachokitegemea huenda wanatoka familia zenye ukwasi so failure ama loss kwao haiwabughudhiDaaah mara nyingi wengi wenye customer care mbaya wanakuwa siyo wamiliki ni ndg au jamaa wa mmiliki na wototo .
Biashara inahitaji nidhamu na siyo kujiona. Waliosema mteja ni mfalme hawakukosea wapo sahihi.Hatuwataki bana! sawa walitoka huko kunako umaskini lkn sasa hawapo! huko umaskinini njooo nunua fuata sheria za pale siyo uje eti wewe mteja ni mfalme ulete huo ufalme kwangu nyoooo utakoma nakwambia!
Hauna tofauti na fundi mmoja. Jamaa yangu baada ya kutengenezewa meza na huduma yake nzuri basi tukampa hela atutengeneze sturi 5. Zangu 2 na jamaa 3 tukampa hela ikabaki 25,000.Hatuwataki bana! sawa walitoka huko kunako umaskini lkn sasa hawapo! huko umaskinini njooo nunua fuata sheria za pale siyo uje eti wewe mteja ni mfalme ulete huo ufalme kwangu nyoooo utakoma nakwambia!
Usifikiri kila mtu ni mdangaji kama wewe mkuu. Watu wako na mishe zao ndo maana wamekuacha peke yako. We unaona fahari kila mtu kukuacha na ujinga wako?Kwani kuigiza dhambiii?? kwa sheria ipi? usikariri hovyo dogo!! ...kudadadadeki!!!! jeshi la Mtu mmoja!! macho! kwa macho! wote chali wenzako wamekimbia kusiko julikana!
weye bado unaleta vi-point less vyako hapa!!! unatafuta umaarufu au????
yeah ila bhana hamna cha Ukwasi wala nini hii tabia wanayo sana sana watu wa kanda ya ziwa ukute msukuma au myamwezi ana mipesa mengi harafu anabiashara kawaida kabisa kukuta huduma kwa wateja mbovu kabisa ,tena ukute mwarabu msukuma/mnyamwezi balaaa na mwisho wa siku wanauwa biashsara yenyewe. mfano ; MABASI YA MOHAMED TRANS.Upo sahihi, naamini hata mie niliowakuta hawakuwa ni wamiliki, kwa umri na tabia zao, ila kama ni wao basi biashara sio fungu lao ama si kitu wanachokitegemea huenda wanatoka familia zenye ukwasi so failure ama loss kwao haiwabughudhi