Bongo huduma kwa wateja ni sufuri

kwanza hamjaoga mnategemea dawasco hadi Leo
Tukaoge kwani tunanuka/wachafu?? uliambiwa sisi tunanuka mpaka tuoge siyo??...Nani alikwambia maji mpaka Dawasco?? tatizo hukusoma ukaelewa na st kayumba yako hiyo!

siku hizi wenzako tuna internal jaccuz steam body bath! najua huijui!...uliza uelekezwe unasikia?? siyo unandandia Meli kwa mbere tyuuu
 
Hayo maji yanatokea wapi wapi nahauna maji wote mnategemea dawasco wachace ndio wanavisima vyao wewe na kuunga kwako maisha hapa mjini ujidai unajua hiyo steam body sijui minini kama hamna maji mvuke unatokea wapi??

Acha kuzuga wenzako mie sio wa st Kayumba .
Hili linatumia maji umeelewa so Kaa kwakutulia sio ujishaue eti wewe ni wakimataifa mwone .

Wenzako tunaexperience na hizi usitufanye wajinga na ushamba wako kwendraa kwanza sikujibu Tena .
 

Attachments

  • images.jpeg
    24.3 KB · Views: 2
  • images (1).jpeg
    35.5 KB · Views: 2
Huyo Ni kumsema kwa boss wake
Nikikwambia weye mchawi unapinga!! sasa unamuharibia mwenzio kazi, eti asemwe kwa Boss!! halafu???....afukuzwe kazi akahangaike siyo?? kwani yeye alijye mujibu ni malaika?

weye kwakuangalia hata andiak yako ni mtu mbaya huna hata chembe ya uvumilivu! ,mtu wa visasi, visununu, gubu uchoyo! siyo matusi ila ndo ulivyo? hata hili bandiko lako linaonyesha ivo!
 
Bongo bana bado tu tatizo la customer care yan IPO poor Sio madukani tu hata kwenye mitandao ya simu haswa halotel kiukweli bado tuna safari ndefu ya kujifunza namna ya kumhudumia mteja ili hata kama leo hakuweza kufikia bei uliyoweka basi kesho aweze kurudi tena.
Credit kwa mtoa uzi kwa kuuleta wakati sahihi.
 
Siyo hunijibu!! ila ni kwa sababu hujui kitu umedandia tu traeni kwa mbele, sasa km hujui kuwa hujui utanijibu nini?? hayo unayo tumia weye haya, ya design hiyo ni ya kizamani sana!! poleee sana! hujui kuwa hujui!

ukiuliza maji yanatokea wapi!! kwa akili yako unadhania nivisimani tu!! kwani combination ya maji ni ipi??....kila sehemu ulipo kuna maji hata mwili wako huo ni maji tupi 87%!

Dhahiri kabisaaa weye ni st kayumba, asa sikia za kisasa km nilivotaja hazitumii mimaji unasikia tulia ufahamishwe, umesema kweli mie ni wa kimataifa wala si mchezo! sitanii!

Tena sasa ndo nafanya zaidi kuishi bongo naona km adhabu siku hizi! ukitaka kunijua njoo inbox nikuunganishe najua utaogopa/usiogope!

Lkn pia experience yako na hizo kubali kuwa ni za kizamani mno! out dated jacuz items!..nazo zisema ni za level nyangine kabisa! najua hizi unazo zisema ni za kwenye maonyesho ya hapo sabasaba!

niliwatega tu! nikajua mtanionysha hizo za kizamani na ikawa kweli ivo!...ila kwa sababu umesema hunijibu tena na mie sikuelimishi tena! kaaa! ivo!vivo! na mijacuz ushuzi zako izo!

Lkn afadhali hata weye! umejitahidi kuyajua....lkn mwenzako mleta mada kakimbia mazima, kalia weee!! hapa kuumbe hata jacuz la kizamani halijui......na! kabakia kusema tu ''aaah mental case hii!''

Mbraaaaaa!
 
Upo sahihi sana Smaki, WaTZ na Waafrika wengi wamegeuza ile kauli ya mteja mfalme kama ni fimbo kwa muuzaji, huu ni unyanyasaji na si haki. Binafsi nikija dukani kwako nahitaji huduma nzuri tu, dharau sitaki kwa sababu nami sitokuletea dharau. Hata nikikuta unaongea na simu nitaacha umalize then unihudumie kistaarabu. Salamu siyo muhimu sana kwangu. Nataka tu heshima kwa sababu mimi nami huheshimu mno wauzaji.
 
NAHITIMISHA MJADALA KISOMI SASA KM IFUATAVYO;

Kifupi mkitaka Customer care nzuri na ya kisasa! Msome kwa bidii!,ili muwe na wasomi weengi wenye maarifa! muwe na gunduzi za nguvu muweke bidii huko kuwazidi maadui zenu, wazungu!

Muwe tayari kwa vita za kiuchumi, kisiasa na kiutamaduni na muishinde, mtengeneze mambo yenu, yawe tofauti na ya adui yenu, Mtapata heshima woote! lkn kinyume na hapo mtajambiana na kulia lia kila siku!!

saana mtapewa mali mbovu mbovu tu! mkauziane, na hamzijui hapo mtashikana uchawi kila siku, wao huduma kwa mteja ziko juu sababu jamii zao ziko juu vilevile! eti mnataka kuwaiga wao mteja mflme??

ndo km hivi mnajichetua tyuuu! hamtafikia kwa mipango hii!! saaana makampuni hayo mnayo dai mpatiwe huduma nzuri ni ya hao hao mabwana kubwa zenu mtachomokea wapi?? na mnasatahili make hamtaki kufanya kazi!
 
Bora wewe kuna jamaa kwetu huko linauza viatu vya mtumba .Lenyewe linakuangalia likikuona huna muonekano wa hela hata halijisumbui kuinuka na ukiliuliza uliza linajitajia tu mabei ya kuropoka .Kiatu cha elf hamsini linakwambia laki tatu hicho ,mara laki sita hicho.Utaondoka mwenyewe.Sijaenda siku nyingi sijui bado lipo hilo jamaa lijivuni.December hii ngoja nipite nione kama bado lipo hilo lifanya biashara jeuri na jivuni kweli.
 
weweeee jamaaa umefunga mjadala safi sana! loooooo! likoje hilo jamaaaa
 
Reactions: EEX
Gazeti lote hilo la nini ndgu, mbona una makasiriko sana!??

Wewe ni chizi.
 
Huna hoja bali vioja.
Hauko sawa kichwani mkuu, sikulaumu kwa hilo.
 
Huna hoja bali vioja.
Hauko sawa kichwani mkuu, sikulaumu kwa hilo.
Hata kama ni ivo! sawa! lkn nina stahili kuchangia JF !... sasa naomba nikushauri Mkuu! mambo ya kwenda kufanya wIndow shopping na kusaka Ufalme?? acha Umekua ntu mzima sasa!!

unachafua tu, maduka ya watu! huna hela! ukae tulia! kwani hata mkeo asipokuheshimu kwa sababu ya matusi km haya mvumilie tu! utakula mbivu one day!

Lkn hata hao wauza Duka ni wavumilivu, nawapongeza kwa hilo! make wanakutana na mengi sana km vile , vichaa! wanuka midomo, visrani, walevi km mleta mada! chuma ulete! Doooo!

Mwisho chukua mazuri yangu!! lkn ya ukichaa wangu yaache, naamini itakusaidia maishani na utanikumbuka one day!...mie nakushauri free of charges! hutapata ushauri km huu milele!
 
Usijari mazuri yako nimeyachukua na nitayafanyia kazi. Ondoa hofu juu ya hilo.
Na asante kwa ushauri ndgu.
 
wanafanya biashara wasiyokuwa na elimu nayo.
 
ahahah hilo jamaa kama uliliona miaka 2 iliyopita, kwa mienendo hyo sasahvi haliwezi kuwepo! ukilikuta unitag
 
Reactions: EEX
Hatuwataki bana! sawa walitoka huko kunako umaskini lkn sasa hawapo! huko umaskinini njooo nunua fuata sheria za pale siyo uje eti wewe mteja ni mfalme ulete huo ufalme kwangu nyoooo utakoma nakwambia!
Aisee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…