Tafuta namna ya kuondoa stress ndugu usije kufa kwa stress siyo sisi tuliofanya uwe na maisha magumukunywa panadol mkuu
hoja hafifu hiyo haina nafasi! wajinga km weye walimuona Yesu ana akili finyu mwisho wao ukawa mbaya sana ni wazi weye ni kizazi chao hao!
Sioni mimi kipofy ukuje PM nna nazungumzo na wewe chamber faraghaweye waonaje mkuu
Kwani hujui stress ndo akili!!...kasome tenaTafuta namna ya kuondoa stress ndugu usije kufa kwa stress siyo sisi tuliofanya uwe na maisha magumu
Yaani kiswahili ni ivi wasiwasi ndo akili sasa weye unakaa mtoto wa mama tyyuuuuu mpka lini ondoka kwenu katafute ujue uchungu wa bundle weweTafuta namna ya kuondoa stress ndugu usije kufa kwa stress siyo sisi tuliofanya uwe na maisha magumu
KaMa Hawa Idd Amin Dada alikuwa anakusanya na kutupia samaki ziwaniMsiokuwa na akili za kutosha ndo mnasoma hayo! trust me. mie nina kipaji cha kuzaliwa nacho humiwezi katu!...mbona unapenda ushuzi kwani unatumiwa mkuu?
nonsense!KaMa Hawa Idd Amin Dada alikuwa anakusanya na kutupia samaki ziwani
Watu kama nyie, ignore button inawafaa, hakuna kuona post yako mpaka kiama.Ndo tatizo la kudandia hovyo! mambo usiyo yajua! wenzako wanadandia magari weye unadandia thread dat's primitive nonsense. thatha! thimu! tangu lini ikaongea weye mbuyuya wa kijijini!! au umeshalewa!!
kalishe mifugo hukooo!
Kuendelea kubishaba na wewe ni kupoteza mdaYaani kiswahili ni ivi wasiwasi ndo akili sasa weye unakaa mtoto wa mama tyyuuuuu mpka lini ondoka kwenu katafute ujue uchungu wa bundle wewe
Acha upuuzi wa kitoto huo!! nani kakukaribisha hapa. by de way huna faida yeyote kwangu! umejileta tu! hunijui sikujui ina huu! .......wanakijiji bana mna shida za Msingi !! tambaa kule na usirudi hapa tena! unasikiaaaaa......Watu kama nyie, ignore button inawafaa, hakuna kuona post yako mpaka kiama.
Rubbish [emoji1005] [emoji706]Maskini sijui mna matatizo gani!! mlipo ambiwa mteja Mfalme Baaaasi mnakuwa na bichwa sana!! sasa weye umemkuta akiongea kitu simuni, unataka amkatize mteja mwingine wa simuni akusikilize weye dats ''rubbish thinking!
Mana mizizi ya wivu sana wabingo nyie hasa mtu akiwa na kishavu dodo mnamuonea wivu wa kichawi chawi sana ....niamaini mimi mwana JF ukikua weye/zeeka utakuwa mchawi lazima!
haya haya!! ukifika Hospital unataka wanaotibiwa waachwe ila usikilizwe weye tu! wakikuacha kwanza, unakimbilia kwa diwani kushtaki! eti dr amenidharau! miafrica sijui mkoje hamana common sense!
ukikuta watu kwa foleni huyo unawavuka unataka kuwa wa kwanza weye!! daladala ndo kabisaaa!! lkn wengine tena nchi ndogo tu km Lesotho wateja wanapanga mstari!!
wa kwanza ndo wa kupewa kipaumbele hata iweje! wateja wenyewe wanajitaja wa kwanza yuleee braza , karibu upate huduma!! maujinga jinga haya yako Bongo/ kwa wabongo msiosoma!
Kitu kidoogo hiko!! unashindwa kuvumilia, by the way si una hela yako mkononi nenda kwingine kwani umelazimishwa kwenda kununua pale??? au ulitaka kumsiliba tu jamaa ajili ya wivu wako wa kukosa??
weye jamaa sidhani km unaweza oa, au kuishi na wasomi waliokuzidi, hela/maarifa.uzuri/urembo/usasa huwezi amini ivo! mnajulikana kirahisi tu! weye mtu humjui unam- cralify kijinga jinga tu! mwee! ndo bongo mlivo!
alikulazimisha kuwa ununue pale tuu??? Neno mteja Mfalme wabongo msiokuwa na akili lina walevya sana mmeshatamani afilisike!!! na kumombea mabaya,
Hafilisiki n'gooo! ndo atazidi kupanda ngazi ya utajiri na hamtakaa mumuone hapo Mazogoroni akisaga Lami kamwe saaana mtamuona akiwa juu na juu zaidi!! Nyau weye!.......ukimshika mkeo ugoni si utakufa kabla!!
Bila kujua kuwa ile ni mali yake! aweza tumia atakavyo!!......hutaki bwaga Manyanga kwani umelazimishwa??? JF ninzuri kwa sababu bila hii tusinge jua wajinga km weye!!......
si umeze sumu tu! km unaona hajakuchekea! mfyuuuuxcxvxnxxmxmxzoo! mjifunzege kuzipunguzia saver za Jf MIZIGO!
Hivi kumbe unabishana??? sikia sasa mie nawaelimisha hasa gumbaru njoo kwa hoja...siyo utopolo hapaKuendelea kubishaba na wewe ni kupoteza mda
to yourselfRubbish [emoji1005] [emoji706]
[emoji3] vitu vingine ni kucheka tuu, maana mtu anakasirika kukosolewa upuuzi wake. Hivi unaona upo sahihi? We ni mfanya biashara? Au umeajiriwa maana mtu kama ni biashara yako huwez fanya huo utumbo .....Acha uswahili Grow up my dearto yourself
Kinyume chake ni sahihi!! ukweli ni upuuzi kwa mpuuzi! niko sahihi sana tu, wala huniwezi kwa lolote na popote! yes mimi ndo mimi! kazi/biashara siyo subject of thread! so what?[emoji3] vitu vingine ni kucheka tuu, maana mtu anakasirika kukosolewa upuuzi wake. Hivi unaona upo sahihi? We ni mfanya biashara? Au umeajiriwa maana mtu kama ni biashara yako huwez fanya huo utumbo .....Acha uswahili Grow up my dear
And pasteMbona misemo ya kizamani sana hii wewe bado unaitumia sasa ngoja nikusaidie kwa walio iona haifai wakaachana nayo sikia....hata weye mwenyewe ukifikiria tu km ivi.....
A flying bird at hand, worthy Infinitesimal than unseen giant Buffaloes dat can feed ma entire villagers!....to value and enjoy a single bird at hand is untold selfishness!
Somethin which is absolutely un measure able, insanitariest! to value un seen poverties! en you're comfortable of it , en use it as your day todays jargon to guide your life!
Above all U're enjoyin' it insignificantly! just b'se it won't satisfy you personal hunger as well as whole family dwellers en friends! hence u' need assistance to move forward!
Nimecheka sanaTafuta namna ya kuondoa stress ndugu usije kufa kwa stress siyo sisi tuliofanya uwe na maisha magumu
Ni kawaida ...toka nizaliwe Sina utaratibu wa kwenda direct na kununua kitu kwanza huwa sitembei na pesa ya kitu husika ili nifanye maamuzi sahihi pindi nikirudi kwangu kesho yake ndo natoka napesa nachagua duka moja lenye customer care nzuri na Bei reasonable ..Hata wateja pia sometimes wanazingua sana,kuna siku mteja amenikuta nakula tena nilikuwa na njaa balaa,nikacha kula ili nimsikilize mara leta ile mara leta hiyo mara hiyo bei gani mara kwanini!,alinihangaisha kama dakika 20 halafu akaondoka hata bila kununua chochote