Bongo huduma kwa wateja ni sufuri

Bongo huduma kwa wateja ni sufuri

Tafuta namna ya kuondoa stress ndugu usije kufa kwa stress siyo sisi tuliofanya uwe na maisha magumu
Yaani kiswahili ni ivi wasiwasi ndo akili sasa weye unakaa mtoto wa mama tyyuuuuu mpka lini ondoka kwenu katafute ujue uchungu wa bundle wewe
 
Yaani kiswahili ni ivi wasiwasi ndo akili sasa weye unakaa mtoto wa mama tyyuuuuu mpka lini ondoka kwenu katafute ujue uchungu wa bundle wewe
Kuendelea kubishaba na wewe ni kupoteza mda
 
Hata wateja pia sometimes wanazingua sana,kuna siku mteja amenikuta nakula tena nilikuwa na njaa balaa,nikacha kula ili nimsikilize mara leta ile mara leta hiyo mara hiyo bei gani mara kwanini!,alinihangaisha kama dakika 20 halafu akaondoka hata bila kununua chochote
 
Watu kama nyie, ignore button inawafaa, hakuna kuona post yako mpaka kiama.
Acha upuuzi wa kitoto huo!! nani kakukaribisha hapa. by de way huna faida yeyote kwangu! umejileta tu! hunijui sikujui ina huu! .......wanakijiji bana mna shida za Msingi !! tambaa kule na usirudi hapa tena! unasikiaaaaa......
 
Maskini sijui mna matatizo gani!! mlipo ambiwa mteja Mfalme Baaaasi mnakuwa na bichwa sana!! sasa weye umemkuta akiongea kitu simuni, unataka amkatize mteja mwingine wa simuni akusikilize weye dats ''rubbish thinking!

Mana mizizi ya wivu sana wabingo nyie hasa mtu akiwa na kishavu dodo mnamuonea wivu wa kichawi chawi sana ....niamaini mimi mwana JF ukikua weye/zeeka utakuwa mchawi lazima!

haya haya!! ukifika Hospital unataka wanaotibiwa waachwe ila usikilizwe weye tu! wakikuacha kwanza, unakimbilia kwa diwani kushtaki! eti dr amenidharau! miafrica sijui mkoje hamana common sense!

ukikuta watu kwa foleni huyo unawavuka unataka kuwa wa kwanza weye!! daladala ndo kabisaaa!! lkn wengine tena nchi ndogo tu km Lesotho wateja wanapanga mstari!!

wa kwanza ndo wa kupewa kipaumbele hata iweje! wateja wenyewe wanajitaja wa kwanza yuleee braza , karibu upate huduma!! maujinga jinga haya yako Bongo/ kwa wabongo msiosoma!

Kitu kidoogo hiko!! unashindwa kuvumilia, by the way si una hela yako mkononi nenda kwingine kwani umelazimishwa kwenda kununua pale??? au ulitaka kumsiliba tu jamaa ajili ya wivu wako wa kukosa??

weye jamaa sidhani km unaweza oa, au kuishi na wasomi waliokuzidi, hela/maarifa.uzuri/urembo/usasa huwezi amini ivo! mnajulikana kirahisi tu! weye mtu humjui unam- cralify kijinga jinga tu! mwee! ndo bongo mlivo!

alikulazimisha kuwa ununue pale tuu??? Neno mteja Mfalme wabongo msiokuwa na akili lina walevya sana mmeshatamani afilisike!!! na kumombea mabaya,

Hafilisiki n'gooo! ndo atazidi kupanda ngazi ya utajiri na hamtakaa mumuone hapo Mazogoroni akisaga Lami kamwe saaana mtamuona akiwa juu na juu zaidi!! Nyau weye!.......ukimshika mkeo ugoni si utakufa kabla!!

Bila kujua kuwa ile ni mali yake! aweza tumia atakavyo!!......hutaki bwaga Manyanga kwani umelazimishwa??? JF ninzuri kwa sababu bila hii tusinge jua wajinga km weye!!......

si umeze sumu tu! km unaona hajakuchekea! mfyuuuuxcxvxnxxmxmxzoo! mjifunzege kuzipunguzia saver za Jf MIZIGO!
Rubbish [emoji1005] [emoji706]
 
to yourself
[emoji3] vitu vingine ni kucheka tuu, maana mtu anakasirika kukosolewa upuuzi wake. Hivi unaona upo sahihi? We ni mfanya biashara? Au umeajiriwa maana mtu kama ni biashara yako huwez fanya huo utumbo .....Acha uswahili Grow up my dear
 
[emoji3] vitu vingine ni kucheka tuu, maana mtu anakasirika kukosolewa upuuzi wake. Hivi unaona upo sahihi? We ni mfanya biashara? Au umeajiriwa maana mtu kama ni biashara yako huwez fanya huo utumbo .....Acha uswahili Grow up my dear
Kinyume chake ni sahihi!! ukweli ni upuuzi kwa mpuuzi! niko sahihi sana tu, wala huniwezi kwa lolote na popote! yes mimi ndo mimi! kazi/biashara siyo subject of thread! so what?

kamwe siachi uswahili. mie ni mswahili ngozi nyeusi! uzungu wala sinto!

wao wanatutamani lkn wapi!.......weye unawatamani nenda, mbona wanaoa tu wale!
 
Uzi huu naona vitoto vya s/msingi ni vingi sana!! vinaruka ruka tu! nitashangaa sana km kuna mtu kuanzia miaka 20 kwenda juu huko!........... havina hata chembe ya substance! ona km haka hapa, sijui ndo kamesema nini sijui!

mleta mada kajichanganya weee!! hata alipofia sijui wapi...OK! naondoka sasa naenda kwenye majukumu mengine lkn msihukumu wafanya biashara wetu nyie wachawi ....sawa? sawa??
 
mara nyingi hao wanakua sio owner ,kuna duka moja nilikuwa naenda kununua simu pale moro sasa nikifika pale nilikuwa nakakuta kajamaa fulani na tumiwani kananyodo balaa ila owner mwenyewe anaongea powaa sana na huwa hapendi.kupoteza mteja kwasababu ya kupungukiwa na pesa ndogo basi bwana nikaenda siku moja nilikuwa nahitaji note 8, kajamaa kakanipiga mia 6 bwana nikagoma kakanitupa nikawa natoka naelekea duka la jirani si nikakutana na boss akanipa hi akaniuliza vipi mbona siku hizi huji kuniungisha boss nikamwambia aaa bwana pale mnaua sanaa bei akainuiliza Simu gani nikawambia sumsung note 8 akaniambia twende nikakupe kwa 450 daahh tukarudi akaniuzia kwa 450 badala ya mia 6 ndo nikampa story ya kajamaa aise alikafokea naona alishakafukuza sikaoni siku hizi pale.
 
Mbona misemo ya kizamani sana hii wewe bado unaitumia sasa ngoja nikusaidie kwa walio iona haifai wakaachana nayo sikia....hata weye mwenyewe ukifikiria tu km ivi.....

A flying bird at hand, worthy Infinitesimal than unseen giant Buffaloes dat can feed ma entire villagers!....to value and enjoy a single bird at hand is untold selfishness!

Somethin which is absolutely un measure able, insanitariest! to value un seen poverties! en you're comfortable of it , en use it as your day todays jargon to guide your life!

Above all U're enjoyin' it insignificantly! just b'se it won't satisfy you personal hunger as well as whole family dwellers en friends! hence u' need assistance to move forward!
And paste
 
Hata wateja pia sometimes wanazingua sana,kuna siku mteja amenikuta nakula tena nilikuwa na njaa balaa,nikacha kula ili nimsikilize mara leta ile mara leta hiyo mara hiyo bei gani mara kwanini!,alinihangaisha kama dakika 20 halafu akaondoka hata bila kununua chochote
Ni kawaida ...toka nizaliwe Sina utaratibu wa kwenda direct na kununua kitu kwanza huwa sitembei na pesa ya kitu husika ili nifanye maamuzi sahihi pindi nikirudi kwangu kesho yake ndo natoka napesa nachagua duka moja lenye customer care nzuri na Bei reasonable ..

Nyie utajiri mtausikia tu kwa watu
 
Back
Top Bottom