Bongo huduma kwa wateja ni sufuri

Bongo huduma kwa wateja ni sufuri

Mchawi ni yule aliye kudanganya yesu ni mzungu ukampigia makofi
Alisema Yesu ni mzungu nani, ama kweli nilikosea kufananisha akili zako na mkia wa mbuzi. Samahani mkuu

Kichwa maji akili zinaelea, wacha kuokoteza vineno kijana.
 
Alisema Yesu ni mzungu nani, ama kweli nilikosea kufananisha akili zako na mkia wa mbuzi. Samahani mkuu

Kichwa maji akili zinaelea, wacha kuokoteza vineno kijana.
Hao ndo wachawi wako!
 
Umeharibu uzi we kiumbe, Nyamboto.
Sijaharibu kitu hapo ila weye ndo umekuja na mi-avatar kibao! na kulazimisha hoja za kishamba za kumsema hovyo tajiri! ambaye anakuzidi kipato! unamuombea mabaya eti ashuke!
 
Acha kutype wenye akili timamu tutoe hoja makini mkuu, nakuomba.
Hapa ndo unapokosea hapa!! ungekuwa na akili timamu usinge ni kashfu kwa neno hili la ''Nyamboto'' hiyo moja!
pili Km Unaona halali mfanya biashara kusimangwa Kweny JF! ulitegemea nini wakae kimya au!

Jf Siyo mali ya kikundi fulani!...ni kwa Dunia yooote siyo watanzania pekee! ukiingia humu ukubali yote sheria zao ziko wazi, natetea na kuelimisha Uuungu wa wafanya biashara, wao ndo wamekufanya weye wende pale!!

kwa nini uwasimange kwa huduma zao nzuri/mbaya wanazo tupatia? kuna sanduku la maoni pale uliogopa nini?? na kuja na avatar tofauti! tofauti! km mchawi wkt sisi wenye uchungu tupo?? ukitaka niache ondoka weye!

huwezi kamwe!! kuni judge mie km unavo dhania ni kujidanganya mchana kweupeee!! najitambua suala ni mteja mfalme na mtoa huduma,,, mengine umeyaleta wewe ili nikutukane nionekane mbaya!!

nakujibu kwa hoja kwa kile ulichokileta humu! twende kazi.....
 
Ndio maana nikasema wewe sio mzima.
Unaibua mambo ambayo wala sikuyaandika.

Unapenda ubishani usio na maana ndio maana unaibua hoja za ajabu na nyingine unajitungia tu.

Mfanyabiashara gani kasimangwa?? Ni wa duka lipi? Unamjua jina au hata sura yake.??
Hii ni kero kama kero kibao zinazoletwa humu, kama kuna mhusika anafanya hicho kitu ajirekebishe, sasa ajabu wewe unaropoka kama vile umetajwa/kunyooshewa kidole.

Yaani mtu atoe pesa apate huduma mbovu halafu asifie. Asifie upuuzi.
Kama unatoa huduma mbovu ama lah wewe ndie ulimletea nyodo mleta uzi mtasimangwa tuu mpaka muache hiyo tabia.

Mteja ni mfalme na itabaki kua hivyo milele. Pinga upingavyo lakini lazima mteja anyenyekewe.
 
Mie siyo mzima'' je? unacheti cha Daktari kuthibitisha hilo Mkuu? au umekusudia kuropoka tu! Mambo Yepi? nimeyaibua!! kkujibu unayo yaibua weye km haya ni kosa la nani? unajipinga??!

Narudia tena!! Binafsi sibishani .......naelimisha mbona huelewi rudia kusoma tena!
Mfanyabiashara gani kasimangwa??
Mfanya Biashara wa simu wa Bongo ndo kasimangwa!
sasa ajabu wewe unaropoka kama vile umetajwa/kunyooshewa kidole.
Kma umeona ni kero kwa muktadha huo na mie nimetoa kero wanazo ziona wafanya biashara kutoka kwa wateja wao! weye umetoa kero kama mteja na mie nimejibu km Mfanya biashara na mtoa huduma husika tatizo liko wapi?
Yaani mtu atoe pesa apate huduma mbovu halafu asifie. Asifie upuuzi.
Kama huduma umeifuata kubalina na yale utakayo yakuta pale km huwezi si uende unako amini ni salama?? tatizo liko wapi?? km siyo uchawi hapo ni nini?
ama unatoa huduma mbovu ama lah wewe ndie ulimletea nyodo mleta uzi mtasimangwa tuu mpaka muache hiyo tabia.
Hata sisi hatuwataki, kaeni huko huko! tutauzia wanao jitambua siyo kulazimisha ufalme kwenye biashara ya mtu! tuna watu wetu maalumu wanao jitambua kutoka nchi jirani, na maduka hatufungi ng'oo!! hapa ni mtakuja! tu!
Mteja ni mfalme na itabaki kua hivyo milele. Pinga upingavyo lakini lazima mteja anyenyekewe.
Mteja ni mfalme lkn ajue mie ndo namuweka kuwa Mfalme! hatabakia hivo nikimuamulia ata shuka tu! na ufalme wake utakuwa historia!
 
Nimeenda duka la simu ulizia kitu flani ..mwenye duka ashakua maarufu ndo Mana niliagiziwa pale, nimeshangaa Sana yuko busy na insta hanisikilizi Mara ana screenshot insta anamtumia mfanyakazi wake namuongelesha hanisikilizi

Hivi tutafika kweli kwa style hii? Kwamba duka kujaa vitu ana dharau elf30 yangu hivi wabongo kuwa na ka duka Cha spea za simu, simu mpya /used charger nk unaona Kama dunia yote yako daa...Imeniuma Sana.

Hivi matajiri wenzetu huko mambele na wenyewe wanadharau? Ile kukudharau sababu unanunua labda earphone za elf 5 hajui pesa ndogo na kubwa ndo zimemfanya afikie hapo kwa sasa
Nakuunga mkono dharau inatuponza Sana sikumoja nikawekasalio naona siku kama sina data kabsa si nikapiga na akapokea Yani nilijuta kupoteza muda wangu
 
Mie siyo mzima'' je? unacheti cha Daktari kuthibitisha hilo Mkuu? au umekusudia kuropoka tu! Mambo Yepi? nimeyaibua!! kkujibu unayo yaibua weye km haya ni kosa la nani? unajipinga??!

Narudia tena!! Binafsi sibishani .......naelimisha mbona huelewi rudia kusoma tena!

Mfanya Biashara wa simu wa Bongo ndo kasimangwa!

Kma umeona ni kero kwa muktadha huo na mie nimetoa kero wanazo ziona wafanya biashara kutoka kwa wateja wao! weye umetoa kero kama mteja na mie nimejibu km Mfanya biashara na mtoa huduma husika tatizo liko wapi?

Kama huduma umeifuata kubalina na yale utakayo yakuta pale km huwezi si uende unako amini ni salama?? tatizo liko wapi?? km siyo uchawi hapo ni nini?

Hata sisi hatuwataki, kaeni huko huko! tutauzia wanao jitambua siyo kulazimisha ufalme kwenye biashara ya mtu! tuna watu wetu maalumu wanao jitambua kutoka nchi jirani, na maduka hatufungi ng'oo!! hapa ni mtakuja! tu!

Mteja ni mfalme lkn ajue mie ndo namuweka kuwa Mfalme! hatabakia hivo nikimuamulia ata shuka tu! na ufalme wake utakuwa historia!
Sawa anzisha hizo harakati ndgu ila kamwe hutoenda tofauti na nature, mteja ni mfalme na itabaki hivyo.

Ndio maana baadhi ya huduma huwa kuna boksi la maoni juu ya huduma, kila siku matangazo mbalimbali hutolewa kumvutia huyo mfalme. Nyie wauza simu kila siku makampuni mnayoyauzia sim zao kutwa kucha kumshawishi huyu mteja kwa maneno matam yenye ushawishi na kubembeleza ili ainunue bidhaa.

Angalia matangazo kwenye Azam tv, panapotokea tatizo huomba radhi mara moja ili asimkwaze mteja wake. Achana na hilo pia wana huduma ya kumtengenezea mfalme wao dishi likizingua buure kabisa.
Kuna kipindi sim za samsung (sikumbuki ni aina gani) zilikua na tatizo la kulipuka. Wateja walilalamika, kampuni ikawalipa vyema kabisa.

Ili kampuni yako ikue ni lazima umridhishe mteja wako, Elon mask na ujeuri wake wote na pesa zake zote lakini anawasikiliza wateja wanataka nini na anatii. Wameomba Trump arudishwe twitter kakubali, anawachezea wafanyakazi wake lakini katu hawachezei wateja wake wala hana lugha mbofu kwa wateja wake.
Mifano ni mingi mno mkuu kuthibitisha jinsi mteja anavoonekana mfalme mbele ya wafanyabiashara.

Wapigie tigo/voda huduma kwa wateja(100) uone wanavonyenyekea hata kama laini yako hujaweka vocha mwezi mzima.
Na hao niliowataja sio kina kajamba nani kama mimi na wewe lah ni makampuni tajiri kwelikweli hayauzi infinix stendi ya makumbusho.
 
kichaa katulia sasa! .......avatar zote kwishne!
 
mteja ni mfalme na itabaki hivyo.
Mfalme ni mteja lkn siyo kila mteja ni mfalme! hilo uliweke akilini!
Kuna kipindi sim za samsung (sikumbuki ni aina gani) zilikua na tatizo la kulipuka. Wateja walilalamika, kampuni ikawalipa vyema kabisa.

Ili kampuni yako ikue ni lazima umridhishe mteja wako, Elon mask na ujeuri wake wote na pesa zake zote lakini anawasikiliza wateja wanataka nini na anatii. Wameomba Trump arudishwe twitter kakubali, anawachezea wafanyakazi wake lakini katu hawachezei wateja wake wala hana lugha mbofu kwa wateja wake.
Mifano ni mingi mno mkuu kuthibitisha jinsi mteja anavoonekana mfalme mbele ya wafanyabiashara.

Wapigie tigo/voda huduma kwa wateja(100) uone wanavonyenyekea hata kama laini yako hujaweka vocha mwezi mzima.
Na hao niliowataja sio kina kajamba nani kama mimi na wewe lah ni makampuni tajiri kwelikweli hayauzi infinix stendi ya makumbusho.
Hao ni wafanya biashara wa nchi zilizo endelea tena wana super profit! siyo wapigaji wa bongo lkn hata hivo jaribu kumzengua kibongo bongo uone moto wake!!!

Makampuni makubwa yooote Duniani yako nyuma ya Wafanya Biashara Mama Duniani amaboa wako juu ya sheria!..miongozo na taarifa majukumu wanachukua kutoka huko!

kina Allan Mask hao ni cha mtoto tu! wanabebwa na Magwiji kamwe mbongo hutawasikia wala kuwajua !...akiharibu tu anatemwa! ndo maana kawekewa limitation!

Na hao makampuni Mama kuna vitu vingi sana visivyo vya kiubinadamu wana tenda, so wanajificha kwenye ukarimu ili muwe manamba wa kudumu!......

wenye nguvu za kuyatikisa hayo makampuni ndo wanafanyiwa hayo! ila kwa sbabu weye bado mtoto unaona ni super customer care! hujui.....
 
Ohooo vichaa tena, wewe vyeti vyao toka hospitali unavyo mkuu au umekusudia kuropoka tu??
Allaaah! nilikuwa nataka nijue je limekuingia au ume skip!!....... kumbe umeliona hilo safi sana! ungepiga kimya hapa ningejua naongea mwenyewe km kichaa!! ...safi sana sasa twende kazi!

basi tunafanyaga ivo ku test zari.....
 
Mfalme ni mteja lkn siyo kila mteja ni mfalme! hilo uliweke akilini!
Somo limeingia safi sana. Ulikua hukubali ufalme wa mteja sasa umekubali walau kwa kiasi kidogo. Ni vyema.
Hao ni wafanya biashara wa nchi zilizo endelea tena wana super profit! siyo wapigaji wa bongo lkn hata hivo jaribu kumzengua
Okay hao wana super profit, siku umsimamishe yule mama anaeuza mihongo, karanga nk utake kununua bidhaa yake uone kama atakuonesha dharau ya aina yoyote haijalishi umeenda na hali gani(maskini/tajiri).
Wana maneno ya kukushawishi ununue bidhaa yao.

Nenda pale karume(kama upo dar) kwa wale machinga uone utavogombaniwa kama mpira wa kona ili uwaungishe.

Nenda maduka ya simu kariakoo, uone mabinti warembo wanavyokuchangamkia, nenda saloon uone vijana wanavyokuchabgamkia ili uache pesa pale. Wadada warembo watakuzunguka huku na huko wakiupapasa uso wako, vipi nao utasema wana super profit!??

Ni wafanyabiashara wachache na viburi wasiokua na lugha nzuri/dharau kwa mteja. Na wengi wao ni wale waliofikia malengo yao hivyo hawaoni haja ya kujipanua zaidi.

Mkuu acha ubishi usio na msingi, mfanyabiashara ni vyema uwe na lugha/na matendo mazuri kwa mteja.

Wewe ni kama daktari, leo utakutana na chizi kesho mtu kavunjika mguu hao wote inabidi uwahudumie. So hata wewe kuna mteja atajiona tajiri, mwingine mbishi, mwingine kisirani so inabidi uwe na akili ya ziada kudeal na situation kama hizo kwa uzuri ili ule pesa yake kirahisi tu.
Wale wanaoanza biashara hasa na mitaji mikubwa ndo huwa na idea kama zako lakini nao kadri siku zinavyozidi kwenda wanabadirika sio kwa kutaka faida kubwa lah ila ni ili asiwe anakwazika kila leo kwa jambo lilelile. Na wengine ndo wale wanaoona wameridhika.

Mpaka hapa tumefikia mwisho mkuu.
 
Back
Top Bottom