Bongo huduma kwa wateja ni sufuri

Bongo huduma kwa wateja ni sufuri

Nimeenda duka la simu ulizia kitu flani ..mwenye duka ashakua maarufu ndo Mana niliagiziwa pale, nimeshangaa Sana yuko busy na insta hanisikilizi Mara ana screenshot insta anamtumia mfanyakazi wake namuongelesha hanisikilizi

Hivi tutafika kweli kwa style hii? Kwamba duka kujaa vitu ana dharau elf30 yangu hivi wabongo kuwa na ka duka Cha spea za simu, simu mpya /used charger nk unaona Kama dunia yote yako daa...Imeniuma Sana.

Hivi matajiri wenzetu huko mambele na wenyewe wanadharau? Ile kukudharau sababu unanunua labda earphone za elf 5 hajui pesa ndogo na kubwa ndo zimemfanya afikie hapo kwa sasa
Mi kuna siku nilienda kwa wakala wa CRDB kutoa hela, nitakutumia ile njia ya kutoa kwa wakala bila kadi, aisee kwa mshangao yule mwanamama wa makamo aliona eti mi tapeli, yaani akaanza kunisukumizia maneno mengi, dah nikamuelewesha ila hakuelewa ila nikaja kuona hicho kisehemu ni cha muhindi na anafanya kazi kwa muhindi hivyo kazoea kutukanwa na muhindi hivyo akipata upenyo anamalizia hasira zake kwa yeyote
 
Hili zezeta halijalala tu
tena una bahati ungekuja kwangu nakutia vitasa kabisa si vya Dunia hii!! ukome kuingia ingia maduka ya watu! eti unasingiziza unafanya window shopping hujakutana na wamiliki waliopinda weye!!

ufalme wako peleka huko sirari kwenu
 
Kumridhisha kila mtu pia ni uwenda wazimu!! jua ni haiwezekani'' hasa kwa mtu mwenye akili timamu!! kama Yesu mwenyewe hakumrithisha kila mtu weye nani upendwe na kila mtu?? huo ni ujuha!

kubali tu kuwa kuna wengine watakuja na kukupenda, na watapotea na wengine hawatakupenda, ndivo ilivo Mungu alitamka kwa kinywa chake ''siyo kila aniitaye Bwana Bwana ataingia ktk Ufalme wa mbinguni!''

sasa km Mungu wamemfanyia hivo weye nani upendwe na kila ntu??...wengine kubali wapite hivi! na ufalme wao mbuzi huo wa kulazimisha kubali wasikupe hela yao!! na wengine siyo watu halisi kutoka kuzimu!

yamkini hata weye humu Jf siyo Mtu, ila hujijui! kama kweli wewe ni mtu tamka ivi ''Yesu wangu''
Wewe ni chizi.

Unapenda majibizano yasiyo na staha, hupendi amani.
Kaa na ujinga wako.
 
Wewe ni chizi.
weee!! ndo chizi kabisa kwisha kazi ....hoja na refferences !refferences za Biblia hujui km kilaza flani hivi....jibu hoja kwani Mungu kutamka ni uchizi?? Mikurya bana sijui ikoje! inafikiri kila kitu ni ng'ombe!
 
Maskini sijui mna matatizo gani!! mlipo ambiwa mteja Mfalme Baaaasi mnakuwa na bichwa sana!! sasa weye umemkuta akiongea kitu simuni, unataka amkatize mteja mwingine wa simuni akusikilize weye dats ''rubbish thinking!

Mana mizizi ya wivu sana wabingo nyie hasa mtu akiwa na kishavu dodo mnamuonea wivu wa kichawi chawi sana ....niamaini mimi mwana JF ukikua weye/zeeka utakuwa mchawi lazima!

haya haya!! ukifika Hospital unataka wanaotibiwa waachwe ila usikilizwe weye tu! wakikuacha kwanza, unakimbilia kwa diwani kushtaki! eti dr amenidharau! miafrica sijui mkoje hamana common sense!

ukikuta watu kwa foleni huyo unawavuka unataka kuwa wa kwanza weye!! daladala ndo kabisaaa!! lkn wengine tena nchi ndogo tu km Lesotho wateja wanapanga mstari!!

wa kwanza ndo wa kupewa kipaumbele hata iweje! wateja wenyewe wanajitaja wa kwanza yuleee braza , karibu upate huduma!! maujinga jinga haya yako Bongo/ kwa wabongo msiosoma!

Kitu kidoogo hiko!! unashindwa kuvumilia, by the way si una hela yako mkononi nenda kwingine kwani umelazimishwa kwenda kununua pale??? au ulitaka kumsiliba tu jamaa ajili ya wivu wako wa kukosa??

weye jamaa sidhani km unaweza oa, au kuishi na wasomi waliokuzidi, hela/maarifa.uzuri/urembo/usasa huwezi amini ivo! mnajulikana kirahisi tu! weye mtu humjui unam- cralify kijinga jinga tu! mwee! ndo bongo mlivo!

alikulazimisha kuwa ununue pale tuu??? Neno mteja Mfalme wabongo msiokuwa na akili lina walevya sana mmeshatamani afilisike!!! na kumombea mabaya,

Hafilisiki n'gooo! ndo atazidi kupanda ngazi ya utajiri na hamtakaa mumuone hapo Mazogoroni akisaga Lami kamwe saaana mtamuona akiwa juu na juu zaidi!! Nyau weye!.......ukimshika mkeo ugoni si utakufa kabla!!

Bila kujua kuwa ile ni mali yake! aweza tumia atakavyo!!......hutaki bwaga Manyanga kwani umelazimishwa??? JF ninzuri kwa sababu bila hii tusinge jua wajinga km weye!!......

si umeze sumu tu! km unaona hajakuchekea! mfyuuuuxcxvxnxxmxmxzoo! mjifunzege kuzipunguzia saver za Jf MIZIGO!

Ujejibu kijinga sana ila ongera
 
Mbona misemo ya kizamani sana hii wewe bado unaitumia sasa ngoja nikusaidie kwa walio iona haifai wakaachana nayo sikia....hata weye mwenyewe ukifikiria tu km ivi.....

A flying bird at hand, worthy Infinitesimal than unseen giant Buffaloes dat can feed ma entire villagers!....to value and enjoy a single bird at hand is untold selfishness!

Somethin which is absolutely un measure able, insanitariest! to value un seen poverties! en you're comfortable of it , en use it as your day todays jargon to guide your life!

Above all U're enjoyin' it insignificantly! just b'se it won't satisfy you personal hunger as well as whole family dwellers en friends! hence u' need assistance to move forward!

Sasa umepanic nn na kiingereza chako cha ST john bosco
 
weee!! ndo chizi kabisa kwisha kazi ....hoja na refferences !refferences za Biblia hujui km kilaza flani hivi....jibu hoja kwani Mungu kutamka ni uchizi?? Mikurya bana sijui ikoje! inafikiri kila kitu ni ng'ombe!
Reference za biblia ziko wapi hapo!?
Kwa jinsi navokujibu vizuri mpaka unahisi nimequote maneno toka kwenyd biblia!! Hahahahaha

Jifunze ustaarabu, hayo ni maneno ya kawaida tu toka kichwani kwa mstaarabu wala sio biblia.

Mdada kua na hulka kama hiyo haipendezi.

Na mimi sio mkurya acha kuwananga wakurya mkuu, si jambo zuri.
Ni moja ya ubaguzi na ukabila kumsema mtu kwa nia ya kumghadhabisha huku ukilitaja kabila ambalo huna uhakika kama ni lake ama lah.
 
Typically U'r just like kurya gang! ulizia mzazi wako ulitokwa wapi?? en' so u know dat am sneering kurya Right! de same like de way u'r! Ok!

Oooh! well!! Biblical references just review of what u've responded to!
Hakuna maneno toka kwenye kitabu chochote ndgu, ni vile hujazoea maneno yenye staha zaidi ya kuyaona kwenye biblia tu.

Hii inadhihirisha watu wako wa karibu wapo kama wewe. Uchizi uchizi na mcharuko.

Tulia hapo usubiri wafalme wakupe hela, hii yote ni kwa sababu wateja hawalikaribii duka lako hata kwa kuuliza tu, ndio maana uko busy humu jf.
 
Back
Top Bottom