Bongo huduma kwa wateja ni sufuri

Bongo huduma kwa wateja ni sufuri

Kwani duka ni moja tu mtaani hapo. Hayo maduka yanayotegemea nguvu ya ndumba badala ya nguvu ya wateja huwa tunakalia kushoto.
 
Hakuna maneno toka kwenye kitabu chochote ndgu, ni vile hujazoea maneno yenye staha zaidi ya kuyaona kwenye biblia tu.
Sema hujui reffernces ya hayo maneno ndg! najibu kulingana na mtu alivyo huo siyo ukosefu wa staha, labda hujui maana yake umeamuamua kuongea tu km kawaida yako!
Hii inadhihirisha watu wako wa karibu wapo kama wewe. Uchizi uchizi na mcharuko.
Kwa sababu weye ni mtu huru unaweza tamka lolote! na likaruka hewani mkuu! ndo mlivyo!
Tulia hapo usubiri wafalme wakupe hela,
Labda km hujanielewa! si kila ajiitaye Mfalme ni Mfalme wa kweli, huko Tarime mnadanganywa sana. najua hamchui ghiswahili ndo tatizo lenu kubwa
hii yote ni kwa sababu wateja hawalikaribii duka lako hata kwa kuuliza tu, ndio maana uko busy humu jf.
Mie ni Boss mkuu! nina watu km weye nawalipa kunifanyia kazi zangu! ! na Book la Maombi limejaaa siku Guest house yako ikibuma njoo nikupe kazi! usione aibu najua
 
Kwani duka ni moja tu mtaani hapo. Hayo maduka yanayotegemea nguvu ya ndumba badala ya nguvu ya wateja huwa tunakalia kushoto.
Mkikaa kushoto tunaongeza majini mengine! ya Biashara hamana pa kuchomokea!! acha kuja dukani kwangu ufe maskini!.......na km uki njoo unapata upako wa fedha funguka!
 
Binafsi msinichezee kabisa! nyie walala hoi niko vizuri kwa fedha, kichwani, na kijamiii! unasikia weye mzee wa guest house!
 
Mkikaa kushoto tunaongeza majini mengine! ya Biashara hamana pa kuchomokea!! acha kuja dukani kwangu ufe maskini!.......na km uki njoo unapata upako wa fedha funguka!
Tunanua online siku hizi madukani hatupajui siku hizi
 
safi

Safi sana, popote ulipo tupo, tumedhamiria kuifanya hii bishara, sasa tunauza hata mkaa online! tena mkaa mzuriiii! mtanunua kwangu bila kujua!!
 
Daah watu wa namna hyo ni wengi sana, ukifika dukani kwake hata hakuangalii wala hakwambia karibu wala

hata kama uko bize na mengne, karibisha wateja, kuwa mkarimu sio unakunja ndita kama unauza uchawi mbafu zenu! Kaduka kwa mil 5,10 unajiona wa viwango kweli
 
Wewe ni chizi.
Yaani sisi Matajiri/ wasomi/wabobevu ktk jamii husika kuitwa majina ya kila aina ndo zetu! make ukiulizwa kwanini unamuita ivo ''mchonga''au Mzee Rhuksa, huna jibu!

sababu ni umaarufu tu na kujua vingi kunawakereketa watu! make sisi tunajua kuwa tunajua! na mengi tunafanya hatutanii! km watu wengine!

si mbaya, mkituita wajuaji mwake tu bin shega! halafu tunafurahiiiii! mara nyingi tunajibiwaga vijibu rahisi vifupi vya hovyoo hivo utasikia ... chizi, umelewa, mjinga, maskini, yaani ili mradi tu mtu asiyejua maana ajibu kitu!

Ila kusema ukweli usijipendekeze Dukani kwangu kisa Mteja mfalme wkt weye ni chuma ulete aseee!! utaona mbivu na mbichi Live!....sijui eti uni kashfu kwenye biashara yangu na ukurya wako huo weeee!!!

Mfalme njoo! Dukani kwangu kwa adabu zote na heshima utapewa Huduma stahili ili uondoke salama na mie nibaki salama!...lkn ukija kibange bange nakupeleka kibange bange! tena sikutaki na hela zako hizo!

ili wengine wajinga km weye wajifunze!....weye kwangu ni mfalme ni sawa!!..... hata mie ni Mfalme hukoooo nako chukua Bidhaa kukuletea hapo ili uzitumie! kikubwa nidhamu!

Tatizo la wakurya wao wakisikia Mteja ni mfalme eti wanalichukulia ivo vio! ili kupanda watu vichwani!! Banae kaa huko huko na uchizi wako huo!
 
Daah watu wa namna hyo ni wengi sana, ukifika dukani kwake hata hakuangalii wala hakwambia karibu wala

hata kama uko bize na mengne, karibisha wateja, kuwa mkarimu sio unakunja ndita kama unauza uchawi mbafu zenu! Kaduka kwa mil 5,10 unajiona wa viwango kweli
Jamani Million 10, 5 kidogo hizo? kweli?.......Bana wee! wengine nyie chuma ulete tuu! asa nikukaribishe chuma ulete ili iweje??...yaani wewe ukija kiivo ni ndita/ ngumi tu! mmezoea!

nikuangalie wkt niko kazini??? hutaki si uende kwingine bana?? niache na mali zangu kwani lazima ununue hapa?? ukitaka kuonwa nenda Miss world huko!
 
Nimeenda duka la simu kuulizia kitu fulani, mwenye duka alishakuwa maarufu ndiyo maana niliagiziwa pale, nimeshangaa sana yuko makini na Instagram, hanisikilizi. Mara ana 'screenshot' Instagram anamtumia mfanyakazi wake namuongelesha hanisikilizi.

Hivi tutafika kweli kwa mtindo huu? Kwamba duka kujaa vitu anadharau elfu 30 yangu. Hivi Wabongo kuwa na ka duka ka spea za simu, simu mpya/zilizotumika, chaja n.k unaona kama Dunia yote yako? Dah! Imeniuma sana.

Hivi matajiri wenzetu huko mambele na wenyewe wanadharau? Ile kukudharau sababu unanunua labda 'earphone' za elfu 5, hajui pesa ndogo na kubwa ndiyo zimemfanya afikie hapo kwa sasa.
Kwanza akili hawana
 
Si mali zao heee! jamani wewe unanuna ajili mtu ana duka?? wakifilisika ni wao km hawana akili ni wao weye kinakuuma nini acha uchawi!!
 
wewe sio mfanyabiashara, unafata mkumbo tu
 
Usiwe mwepesi kiasi hicho kutafsiri watu vibaya.Kwamba anaongea na instagram kwa hivyo kakupuuza wewe.Yawezekana kwenye instagram anajibizana na mteja mwenzako.Au wewe ni mshamba hujaanza kutumia vitu hivyo vya kimtandao.Unaishia hapa JF tu.
Zaidi ya hivyo hata huku majuu wako watu wenye tabia tofauti tofauti .Sio wote ni wachangamfu kwa kila mteja.Hizo dharau ziplo kwa baadhi ya watu tu.
Kama ungesema huduma kwa wateja kwa njia ya mtandao ningekuwa pamoja nawe.Na nimewahi kuzungumzia hilo hapa hapa JF.Ukihitaji huduma kwenye shirika lolote iwe la serikali au binafsi bora nenda huko huko ukazungumze nao.Utamalizia shida yako hata ikiwa kwa vishoka.
 
Sasa bongoo umloge nani Kwa hela gani ???

Kwa lipii mmekomaa hivi kwanza hamjaoga mnategemea dawasco hadi Leo mie nikatoe hela zangu nikakuloge wewe kweli??

Ndio akili zako zimefika hapo au ndio kwenu mmezoea kuwa bibi yenu mchawi mama yenu baba yenu kiufupi mmezoea kwenu uchawi ndio dili Sasa kwetu tumezoea kumtumaini bwana ni chanzo Cha maarifa okoka update akili acha kutembea naguvu za Giza
 
Usiwe mwepesi kiasi hicho kutafsiri watu vibaya.Kwamba anaongea na instagram kwa hivyo kakupuuza wewe.Yawezekana kwenye instagram anajibizana na mteja mwenzako.Au wewe ni mshamba hujaanza kutumia vitu hivyo vya kimtandao.Unaishia hapa JF tu.
Zaidi ya hivyo hata huku majuu wako watu wenye tabia tofauti tofauti .Sio wote ni wachangamfu kwa kila mteja.Hizo dharau ziplo kwa baadhi ya watu tu.
Kama ungesema huduma kwa wateja kwa njia ya mtandao ningekuwa pamoja nawe.Na nimewahi kuzungumzia hilo hapa hapa JF.Ukihitaji huduma kwenye shirika lolote iwe la serikali au binafsi bora nenda huko huko ukazungumze nao.Utamalizia shida yako hata ikiwa kwa vishoka.
Unaliwa wewe
 
Daah watu wa namna hyo ni wengi sana, ukifika dukani kwake hata hakuangalii wala hakwambia karibu wala

hata kama uko bize na mengne, karibisha wateja, kuwa mkarimu sio unakunja ndita kama unauza uchawi mbafu zenu! Kaduka kwa mil 5,10 unajiona wa viwango kweli
Jamani Million 10, 5 kidogo hizo? kweli?.......Bana wee! wengine nyie chuma ulete tuu! asa nikukaribishe chuma ulete ili iweje??...yaani wewe ukija kiivo ni ndita/ ngumi tu! mmezoea!

nikuangalie wkt niko kazini??? hutaki si uende kwingine bana?? niache na mali zangu kwani lazima ununue hapa?? ukitaka kuonwa nenda Miss world huko!
bongoo umloge nani Kwa hela gani ???
Jamani nakuroga weye chuma ulete! mbona jambo dogo sana tu!
 
Usiwe mwepesi kiasi hicho kutafsiri watu vibaya.Kwamba anaongea na instagram kwa hivyo kakupuuza wewe.Yawezekana kwenye instagram anajibizana na mteja mwenzako.Au wewe ni mshamba hujaanza kutumia vitu hivyo vya kimtandao.Unaishia hapa JF tu.
Zaidi ya hivyo hata huku majuu wako watu wenye tabia tofauti tofauti .Sio wote ni wachangamfu kwa kila mteja.Hizo dharau ziplo kwa baadhi ya watu tu.
Kama ungesema huduma kwa wateja kwa njia ya mtandao ningekuwa pamoja nawe.Na nimewahi kuzungumzia hilo hapa hapa JF.Ukihitaji huduma kwenye shirika lolote iwe la serikali au binafsi bora nenda huko huko ukazungumze nao.Utamalizia shida yako hata ikiwa kwa vishoka.
Hakuna cha online busness wote tunajua kuwa online b. Ipo isiwe kigezo cha kupuuza wateja. Kama vipi funga duka ufanye online unakoona kuna faida pekee.
kuwa mkarim kwa wateja wote. Wapo watu wanahudumia mteja 1 baada ya mwngne hata muwe 10 kwa wakat mmoja atawakarimu na hamwendi kwngne
 
Jamani Million 10, 5 kidogo hizo? kweli?.......Bana wee! wengine nyie chuma ulete tuu! asa nikukaribishe chuma ulete ili iweje??...yaani wewe ukija kiivo ni ndita/ ngumi tu! mmezoea!

nikuangalie wkt niko kazini??? hutaki si uende kwingine bana?? niache na mali zangu kwani lazima ununue hapa?? ukitaka kuonwa nenda Miss world huko!
Huna duka we kapuku ,, wewe Ni mnuka mnduku mmoja hauna kazi za kufanya
 
Back
Top Bottom