Ulichoongea ni sahihi, na sio kwamba wanaweka hizo TC's kuwabana wakulima, ila ni lazima zao lilimwe kwa utaratibu unaozingatia usalama wa mlaji, mfano mimi ni nimewah fanya kaz shamba moja, walinichukia kwa aina yang ya upigaji wa dawa, aisee wakulima wengi wanapiga dawa bila mpangilio tena kama kaambiwa cc 20 yeye atapiga cc 40 , unategemea hapa utalima cabbage ukauze England , yaan ukinunua zao lichunguze linacontent kubwa za dawa, mbolea wanamwagia tu bila kujua taratibu, yaan Tanzania tunakosea hapa GAP= Good agriculture practice