Bongo Kilimo Bado sana tena sana

Uko sahihi mkuu, mwaka 2016 Kama sijakosea nilienda nakumat s/market kuongea na mtu wa manunuzi niwe supplier wa baadhi ya green vegetables. Unajua 1 ya conditions nilizopewa ni kwamba hawataki uwe umetumia mbolea za Kiwandani kwenye uzalishaji wako!
 
Sisi wenyewe tunalishana sumu sana ila ni basi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…