Blueprint 9
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 798
- 1,381
Basi ile surgery ya uturuki imefanyika vizuri. Mabonde mabonde utayaona akishakuwa uchi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Demu akishakua pipiro ata awe na shepu inakua kazi bure anaishia kuwa kama mtungi wa gesitatizo ni kafupi kama kigoda
Og itokee wp hapo na kwa akili hizi huyu sidhani hta km ana uchungu wa kuondokewa na mttHivi ni Og kweli hilo ? mbona kama simuelewi huyu mtumishi😀
Na harufu za ajabu ajabu tuu hakuna Cha maana
Huyu si alikuaga anaongelea mambo ya dini , imekuaje tena? , yule mtoto dah😪Og itokee wp hapo na kwa akili hizi huyu sidhani hta km ana uchungu wa kuondokewa na mtt
Kazi ya waturuki na juzi kati kuna clip yule mdada anaye tikisa maziwa kapewa ubalozi wa kuitangaza hospital inayofanya upasuaji iko Zanzibar.Yes, Kwasasa bongohii sijaona, mwenye umbo zuri lililosimama lisilo na mabonde kama Munalove, anaekula pale anafaidi, goma limetulia sana...
Bora hata michubuko kuliko puto likipasuka kama airbag liishie kukurusha nje ya chumba[emoji23]
Yaani Muna ameona alete uzi wa kujisifia mwenyewe mxxiu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]PAle ambapo unajilengesha unakula plastic unashangaa ndonga imetoka na michubuko as if unaioshea steel wire..