PAGAN
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 12,181
- 20,148
Ndo ugonjwa wake uyo bimkubwa ,
Mishangazi yote ya mjini inayoenda hua haipendi watu wazima wenye maamuz kitandani ya what to do and don't.
Wanawachukua madogo wasojiweza kiuchumi. Njaa zitawaua wadogo zetu.