Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee yote hayo for what ?😞 Kama hajapewa ni kuridhika tu na jinsi ulivyoAlitengeneza uturuki tena ilimletea shida alirudi akiwa hajapona akaumwaaaa akarudi tena hospital, alieka hadi dimple kwenye shavu moja
Nimetapika magimbi niliyokuwa nakula hapa kha.Yes, Kwasasa bongohii sijaona, mwenye umbo zuri lililosimama lisilo na mabonde kama Munalove, anaekula pale anafaidi, goma limetulia sana.
Hata Kajala wanampaisha tu lakini Muna ana umbo zuri bana
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Bora hata michubuko kuliko puto likipasuka kama airbag liishie kukurusha nje ya chumba[emoji23]
[emoji16][emoji16][emoji16]Hii takataka kuna watu inawanyima usingizi, ama kweli kupanga ni kuchagua