Bongo movie wapi mnakwama?

Hahahaha [emoji1787][emoji23] kumbe kuingiza si talent tena. Bongo sihami wallah

talent ndio inayomtofautisha kati ya muigizaji hodari na wakawaida, lakini unaweza ukawa wa kawaida na ukufanya vizuri kwa nafasi yako. Moyo wa filamu ni Directors, pamoja na wasaidizi wake wote kuanzia writers na wengineo.
 
kitendo cha wabongo kuanza kurukia na kuamini ma actors ndio tatizo kuu kwenye filamu zetu ni uthhibitisho wakuwa sisi wenyewe ueleo wetu kwenye haya mambo ya filamu ni mdogo sana.
 
fact
 
MTAJI MKUBWA WA MOVIE UKO KWENYE STORY/SIMULIZI/HADITH
HAPA NDIPO WABONGO TUNAPO FELI.
UNATUNGA NA KUTENGENEZA MOVIE KWA KUANGALIA ZA WENGINE, NA KU UNGANISHA UNGANISHA HADITHI.

KUNA MOVIE INAITWA GOLD (2022),
WAIGIZAJI WAKO 3 TU,
MAZINGIRA NI YA JANGWANI. NA NI ENEO MOJA

SIO MOVIE YA BAJETI KUBWA,
LAKINI TANGU KUTOLEWA 2022, MPAKA SASA IMEONWA NA WATU MILION 500+
NA MAPATO YANAKADILIWA KUWA 2 TRILION!
 
bongo tunakurupuka kila eneo sio watayarishaji waandishi cameraman kote tunafanya comedy tu. Tena bora uangalie movies za wasanii chipukizi hawa wakina ray ramata na wengine wakubwa hamna kitu kabsa. kwenye kuchagua pis kali hapo mko vizuri ila jicho la vipaj kwasasa hamn kitu jaribuni kushirikisha kichwa kwenye kaz zenu itawalipa mnoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…