Bongo Movies kumshitaki DJ Mark (Anayetafsiri movies za nje)

Biashara haigombi na Chema chajiuza kibaya chajitembeza bila kusahau biashara matangazo.
 
Ikishapanda ndio itapandisha mauzo yenu!? Mnaona mnavyojichanganya, hamtaki kuamini kuwa kazi zenu zimechokwa kwa kutokuwa na jipya badala yake mnaamini kuwa kazi za nje zimeua soko lenu. Lakini hapo hapo mnajisahaulisha kuwa ninyi mlizikuta kazi hizo sokoni kabla ya hata hiyo mnayoita Bongo Movie.

Bado mna safari ndefu kwa kuwa hamuelewi tatizo lenu.

Hawana mandate ya kufanya hivyo wanataka walipe kodi ili bei ya CD za nje ipande kama yao
 
Nani mshauri wa hawa Bongo movie.?
 
Na yule wa kenya nae anaetafsiri nae watamshtaki? R.I.P BongoMovie
 
Kawadanganye wajinga. Kazi ya MTU hata kama ina miaka 100 kama hujaruhusiwa na mwenyewe huna mamlaka ya kuitumia. Na unaweza kuitumia hata kama INA siku moja ila vigezo na masharti lazima vizingatiwe
 
Sasa movie za kurekodi na tecno zinagharama kweli?
Dah...ila ni maajabu sana, wakati movie za nje, kutafuta tu na kutengeneza locations ni mpaka Mwaka mzima, kutafuta watu wanaofit nafasi mbalimbali ni issue nyingine.

Budget nayo ni ya kutosha...usimamizi nao ni wa ki interllectual na unachukua muda
Sasa movie za kurekodi na tecno zinagharama kweli?
 
upuuzi huu wafanye kazi waache blabla
 
Watu wanapenda kujifunza historia na sio mapenzi movie za kibongo zimejaa mapenz na mtu hawez kuchukua na kutazama na familia yake watu wanashikana ovyo kitandan sebulen yuko baba mama na watoto wanaobalehe then unawaambia waendelee kukodelea macho uchaf.muvi zetu huwez shindanisha na season za kikorea hawa watu wajitizame upya na kaz yao
 

Sasa mkuu unataka kuniambia hii kazi ya Ma_Djs wanaotafsiri ndio itakwisha moja kwa moja??
 
Dah...ila ni maajabu sana, wakati movie za nje, kutafuta tu na kutengeneza locations ni mpaka Mwaka mzima, kutafuta watu wanaofit nafasi mbalimbali ni issue nyingine.

Budget nayo ni ya kutosha...usimamizi nao ni wa ki interllectual na unachukua muda
Eti hapo napo wanalalamika movie zao hatuzipendi,tutapendaje vitu ambavyo havina kichwa wala miguu?
 
Unapiganiaje haki ya soko wakati hakuna aliekukataza kufanya biashara?
Haki ya soko maana yake usawa sio kuuza peke yake kwanini wengine walipe wengine wasilipe kodi wakati soko ni moja?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…