JAYJAY
JF-Expert Member
- Oct 31, 2008
- 8,191
- 8,490
Huna hiyo Haki. Haki zao zitalindwa na serikali kupitia CoSoTa. Bashite kawaingia chaka.
Wanamshitaki kwa niaba yao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanamshitaki kwa niaba yao
Huyu naye analipwa kuandika subtitles, safari yetu ndefu sana.
Hawana mandate ya kufanya hivyo wanataka walipe kodi ili bei ya CD za nje ipande kama yao
Hawajapata kibali halali wanachakachua kupitia vibali vya kuuza accessories/ stationeries halafu wanatumia kuBurn movies kitu ambacho TRA hawakubali ndio maana kila mara wanakimbizwa na tra. Kupata kibali cha kuuza movie ya mtu ni mpaka movie ifikishe miaka 50.
Dah...ila ni maajabu sana, wakati movie za nje, kutafuta tu na kutengeneza locations ni mpaka Mwaka mzima, kutafuta watu wanaofit nafasi mbalimbali ni issue nyingine.Sasa movie za kurekodi na tecno zinagharama kweli?
Sasa movie za kurekodi na tecno zinagharama kweli?
upuuzi huu wafanye kazi waache blablaAkiongea kwenye E-News ya East Africa Yusuph Mlela amesema Bongo Movies wameanza taratibu za kumshitaki jamaa maarufu anaetafsiri movies za nje maarufu kama Dj Mark na wengine wote wanaotafsiri movies za nje na kuwaharibia soko la Bongo Movies.
Mlela, "Tumeanza taratibu za kumshtaki jamaa sisi tunataka movies za nje zifuate taratibu kama sisi tunavyofuata ili kuwe sawa".
Bongo movies wameamua.
Cabinet ya CCMNani mshauri wa hawa Bongo movie.?
Mtoni mtongani,huyo mafi alicopy kwa jamaa,Huyo Dj mark ni wa wapi mkuu
Hicho ndio cha kufanya na sio KUIBA.
Na usidhani kupata hizo haki ni kazi rahisi....we imagine kazi inayoandaliwa kwa milioni mia tano uende kuomba haki ya kutafsiri hiyo tozo yake itakuwaje? na hawatakubali bila kuhakiki kiwango cha ubora wa kinachotaka kufanyika.....hiyo ni pamoja na kuridhika na studio inayofanyia kazi hiyo pamoja na utaalamu wa 'sound', weledi wa watendaji n.k.
WATU WANAFANYA KAZI KWA BIDII KUPATA WANACHOTAKA...wenzetu Wazungu huwa wanahimiza sana huu ujumbe kwa Watoto ili wasije kufikiria kwamba waendako kuna njia za mkato za kupata mafanikio....sasa sisi Wabongo ni kuendekeza ushabiki tu hata kwenye mambo yanayohitaji kuelimishana.
Eti hapo napo wanalalamika movie zao hatuzipendi,tutapendaje vitu ambavyo havina kichwa wala miguu?Dah...ila ni maajabu sana, wakati movie za nje, kutafuta tu na kutengeneza locations ni mpaka Mwaka mzima, kutafuta watu wanaofit nafasi mbalimbali ni issue nyingine.
Budget nayo ni ya kutosha...usimamizi nao ni wa ki interllectual na unachukua muda
Kwa hiyo bongo movie nyie mnavyowakomalia walipe kodi nyie mmekua TRA? acheni kuingilia kazi ya TRA, miaka yote hiyo kwani TRA walikua hawawaoni?Wanatakiwa walipe kodi
Haki ya soko maana yake usawa sio kuuza peke yake kwanini wengine walipe wengine wasilipe kodi wakati soko ni moja?Unapiganiaje haki ya soko wakati hakuna aliekukataza kufanya biashara?