Bongo Movies kumshitaki DJ Mark (Anayetafsiri movies za nje)

Bongo Movies kumshitaki DJ Mark (Anayetafsiri movies za nje)

Kwa hiyo bongo movie nyie mnavyowakomalia walipe kodi nyie mmekua TRA? acheni kuingilia kazi ya TRA, miaka yote hiyo kwani TRA walikua hawawaoni?
Tra kupitia wizara ya Sanaa wamekubaliana hivyo na wakapewa muda wa mwisho wauza CD za nje wawe wamekamilisha bongo movie wanalalamika implemation tu lkn ni maagizo kutoka serikalini
 
Kwanza cc huwa hatumsikilizi dj maf cc tunasoma substitute iliyopo chini kwendeni uko ..
 
MTU ANAAMKA ASUBUHI WIGI KM NDIO LIMETOKA SALON VILE [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Haki ya soko maana yake wote mlipe kodi sawa
Kwani Mr ikifanywa kama unavyodai unadhani bongo movie ndio itapendwa? kumbuka hiyo shughuli ipo hata kabla ya bongomovie lakini filamu zenu mbona zilianza kuteka soko na kufanya watz kupunguza kuangalia filamu za wanigeria? Hili swala la "kodi" ni kama kiini macho nyie mnaona kama filamu za nje ndio mchawi wa soko lenu na mnatamani zipigwe ban jumla.
 
Wakishindwa kesi watakua na pesa ya kulipa sasa.......kweli bongo movie ni mapopoma kama ya lumumba

Wanashindwa hata kuiga tamthiliya ya SIRI YA MTUNGI tu.
 
kwan isipo tafsiriwa movie tutashindwa kuangalia labda ikiwa movie ya audio ila kam ni vdeo naangalia hata pcha
So ndo hapo tutatafsiri wenyewe na tutadownload wasipoziingiza bongo
 
Siku hizi wanaisaidia TRA kukusanya mapato
 
Wawafungulie mashitaka na wenye ma-bus hasa ya safari ndefu kwa kuonyesha bongo movie bila ridhaa yao,watusaidie maana kuangalia ushuzi wa Bongo movie kutoka Dar–Mwanza ni zaidi ya kero nishagombana sana na makondakta.


Panda ndege mkuu
 
Kila bongo muvi inavyoanza, ndan ya dakika tano nakua nimeshajua kisa kizima..sasa nikiendelea nakua natazama marudio....zinakereketa sana hizo muvi zao
 
Back
Top Bottom