DJ SEPETU
JF-Expert Member
- Apr 17, 2017
- 8,413
- 12,336
Labda nitoe advice ndogo tu,achaneni Na siasa za majukwaani,boresheni kazi,kuweni wabunifu,jifunzeni zaidi,ajirini professional directors Na pia heshima kwa Wateja wenu.Vyovyote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda nitoe advice ndogo tu,achaneni Na siasa za majukwaani,boresheni kazi,kuweni wabunifu,jifunzeni zaidi,ajirini professional directors Na pia heshima kwa Wateja wenu.Vyovyote
Siasa haiusiki kila mtanzania ana haki ya kuwa mwanasiasa. Tumeshuhudia dunia nzima watu maarufu wakijihusisha na siasa katika hatua mbali na wakiendelea kuprosper na Sanaa zaoLabda nitoe advice ndogo tu,achaneni Na siasa za majukwaani,boresheni kazi,kuweni wabunifu,jifunzeni zaidi,ajirini professional directors Na pia heshima kwa Wateja wenu.
Akiongea kwenye E-News ya East Africa Yusuph Mlela amesema Bongo Movies wameanza taratibu za kumshitaki jamaa maarufu anaetafsiri movies za nje maarufu kama Dj Mark na wengine wote wanaotafsiri movies za nje na kuwaharibia soko la Bongo Movies.
Mlela, "Tumeanza taratibu za kumshtaki jamaa sisi tunataka movies za nje zifuate taratibu kama sisi tunavyofuata ili kuwe sawa".
Bongo movies wameamua.
Ni kwa nini wasiushitaki huo mfumo?Na mfumo
Mkuu mimi professional yangu ni shilawadu!![emoji53][emoji53][emoji53][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu mbona na wewe professional yako hauizungumzii?
Visingizio mfu hivyo maigizo yenu vimeoHaki ya soko maana yake usawa sio kuuza peke yake kwanini wengine walipe wengine wasilipe kodi wakati soko ni moja?
Mfumo unavunjwa vunjwa kwa kudeal hao wasiolipa kodi wala kufuata utaratubuNi kwa nini wasiushitaki huo mfumo?
Ni kweli lkn lazima haki ipatikaneVisingizio mfu hivyo maigizo yenu vimeo
Kuna Dj mack mzee wa mzombi na Dj mafy mzee wa series watu wawili hao Dj mafy A town Dj mack Dar cillDj Murphy sio dj mark
Kuna Dj mack mzee wa mzombi na Dj mafy mzee wa series watu wawili hao Dj mafy A town Dj mack Dar cillDj Murphy sio dj mark
Mi mwanangu ukitaka aende kucheza nje weka movie za kibongo kama ni usiku basi atalala mapema lakini ukiweka series mnakesha naeHahaa aisee ni kichekesho cha mwaka. Bongo movie wamejiharibia wenyewe hasa baada ya kuikurupukia insta kwa pupa,wana majibu ya dharau sana mitandaoni,nyodo nyingi,kujionesha wana hela sana bila kusahau movie zao chini ya kiwango wakwendree tu.
Dj mark ni wa Dar humjui duh utakuwa mwoga kuangalia mapicha ya kutisha kama mazombi mavampire na etc tena nimaarufu sana kuliko huyo Dj mafy anapenda kupiga mrusi na kusema wanakujaHuyo Dj mark ni wa wapi mkuu
Mi mwanangu ukitaka aende kucheza nje weka movie za kibongo kama ni usiku basi atalala mapema lakini ukiweka series mnakesha nae
Nime [emoji23] [emoji23] [emoji23] sana mkuu!..Kuna season inaitwa Merlin hivi utaniambia niache kuingalia Merlin niangalie jini anavuka barabara anaangalia kushoto Na kulia kisha ndo avuke barabara...hahahaha
Halafu huyu jamaa ana moyo wa kujitolea kwelikweli na ni mtu asiyekata tamaa, kwa jinsi hii series ilivyo na episodes nyingi!...DJ Murphy alivyoitendea haki udaaan wamshitakije jamii haitakuelewa
Asee...za kutisha siku hizi siangalii sana series za kizungu/kikorea zimenitekaDj mark ni wa Dar humjui duh utakuwa mwoga kuangalia mapicha ya kutisha kama mazombi mavampire na etc tena nimaarufu sana kuliko huyo Dj mafy anapenda kupiga mrusi na kusema wanakuja
Dj mark ushuzi tu kama bongo move Dj ni Murphy na wenzake kutoka arusha anatafsiri ukweliKwan huyo mark sio Dj,na ndio Dj anaefahamika kuliko huyo murphy