Bongo Movies kumshitaki DJ Mark (Anayetafsiri movies za nje)

Bongo Movies kumshitaki DJ Mark (Anayetafsiri movies za nje)

Labda nitoe advice ndogo tu,achaneni Na siasa za majukwaani,boresheni kazi,kuweni wabunifu,jifunzeni zaidi,ajirini professional directors Na pia heshima kwa Wateja wenu.
Siasa haiusiki kila mtanzania ana haki ya kuwa mwanasiasa. Tumeshuhudia dunia nzima watu maarufu wakijihusisha na siasa katika hatua mbali na wakiendelea kuprosper na Sanaa zao
 
Akiongea kwenye E-News ya East Africa Yusuph Mlela amesema Bongo Movies wameanza taratibu za kumshitaki jamaa maarufu anaetafsiri movies za nje maarufu kama Dj Mark na wengine wote wanaotafsiri movies za nje na kuwaharibia soko la Bongo Movies.

Mlela, "Tumeanza taratibu za kumshtaki jamaa sisi tunataka movies za nje zifuate taratibu kama sisi tunavyofuata ili kuwe sawa".



Bongo movies wameamua.

Wamshitaki na dj Afro
 
Kwani kampeni zimeisha mkuu!? Waliamua wenyewe kuachana na sanaa na kujiingiza kwenye kukishabikia chama chenye rangi ya kijani.
Waache waendelee tu kuisoma namba, maana hamna namna.
 
Hahaa aisee ni kichekesho cha mwaka. Bongo movie wamejiharibia wenyewe hasa baada ya kuikurupukia insta kwa pupa,wana majibu ya dharau sana mitandaoni,nyodo nyingi,kujionesha wana hela sana bila kusahau movie zao chini ya kiwango wakwendree tu.
Mi mwanangu ukitaka aende kucheza nje weka movie za kibongo kama ni usiku basi atalala mapema lakini ukiweka series mnakesha nae
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mtoto anajielewa sana
Mi mwanangu ukitaka aende kucheza nje weka movie za kibongo kama ni usiku basi atalala mapema lakini ukiweka series mnakesha nae
 
Kuna season inaitwa Merlin hivi utaniambia niache kuingalia Merlin niangalie jini anavuka barabara anaangalia kushoto Na kulia kisha ndo avuke barabara...hahahaha
Nime [emoji23] [emoji23] [emoji23] sana mkuu!..
 
DJ Murphy alivyoitendea haki udaaan wamshitakije jamii haitakuelewa
Halafu huyu jamaa ana moyo wa kujitolea kwelikweli na ni mtu asiyekata tamaa, kwa jinsi hii series ilivyo na episodes nyingi!...
 
Dj mark ni wa Dar humjui duh utakuwa mwoga kuangalia mapicha ya kutisha kama mazombi mavampire na etc tena nimaarufu sana kuliko huyo Dj mafy anapenda kupiga mrusi na kusema wanakuja
Asee...za kutisha siku hizi siangalii sana series za kizungu/kikorea zimeniteka
 
Back
Top Bottom