Bongo Movies kumshitaki DJ Mark (Anayetafsiri movies za nje)


Hamfikii DJ mark na Marphuy
 
Mlela nishaanza kumdharau
 
Bongo muvi wanaanza kumtafuta mchawi nani [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Hatununui ng'ooo mafilamu yao hata wafanye nini.
 
Sasa hapa najiuliza hao bongo muvi wanachukia kwa sababu gani?

Ingekuwa jamaaa anatafsiri mamuvi yao kwa lugha nyingine kweli ,sasa muvi wacheze wengine halafu wao waje kukasirika hii inaingia akilini kweli?

Hapo wenye haki ni hao ni wenye muvi zao kama vile wahindi ,wazungu wakorea nk na sio hao vikaragosi vya bongo muvi.
 
Hao wacha wapigike na bado wataendelea kupigika hadi akili itakavyowarudia maana na laana za watanzania kwa jinsi walivyoegemea ccm kipindi cha uchaguzi
 
Kujipanga ni pamoja na kupambana na soko la haki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…