Bongo Movies kumshitaki DJ Mark (Anayetafsiri movies za nje)

Bongo Movies kumshitaki DJ Mark (Anayetafsiri movies za nje)

Wawafungulie mashitaka na wenye ma-bus hasa ya safari ndefu kwa kuonyesha bongo movie bila ridhaa yao,watusaidie maana kuangalia ushuzi wa Bongo movie kutoka Dar–Mwanza ni zaidi ya kero nishagombana sana na makondakta.
Da hapo umenena kaka
 
Ata wakimshitaki hatutaangalia movie zao kwa upumbavu kama huu
6a5253fc4b1a254e6890064148e33f55.jpg
A hahahah watu mnachunguza
 
Sasa wamshtaki wao kama nani?
Wana hati miliki ya movie za nje?
 
Kujua wa wapi wala haitakusaidia maana ww ni mchanga kwenywe hii tasnia ya..........
Mwambie asiwe mbishi Dj Mark ni noma. Muulize kama anamfaham na Dj Afro au ni mgeni kwenye movie??
 
Nchini Kenya yupo DJ flani hivi jamaa anajiita 'DJ Afro'.Ukitazama movies zilizotafsiriwa na huyu DJ hautakuja kuangalia bongo movies milele,jamaa ametafsir movie nyingi sana kama vle Brothers Grimsby, Viral factor,fast and furious zote,movies zote za Dolph Lundgren,Movies za Michael Dudikoff,Prisoners of war the escape (P.O.W),Escape from Surbibor, Many ways to die in the west, movies za Keny Koshugi (mtoto wa Shokoshugi),Yankee the Zulu.Pia ukifuatilia kpind cha Churchill show huwa wanapenda kumualika,huyu DJ yuko very talented na huwa napenda movies zake kwa kuwa huwa anatafsiri tukio na cyo maneno.Kwa fikra hizi wanazokujanazo ndugu zetu wa bongo movies wanapaswa kujipanga.
Jamaa anafanya vizur kinoma ila nimuongo sana aisee sema kinacho mbeba ni kwavile anafurahisha. Mi pia namkubali sana aisee
 
Nchini Kenya yupo DJ flani hivi jamaa anajiita 'DJ Afro'.Ukitazama movies zilizotafsiriwa na huyu DJ hautakuja kuangalia bongo movies milele,jamaa ametafsir movie nyingi sana kama vle Brothers Grimsby, Viral factor,fast and furious zote,movies zote za Dolph Lundgren,Movies za Michael Dudikoff,Prisoners of war the escape (P.O.W),Escape from Surbibor, Many ways to die in the west, movies za Keny Koshugi (mtoto wa Shokoshugi),Yankee the Zulu.Pia ukifuatilia kpind cha Churchill show huwa wanapenda kumualika,huyu DJ yuko very talented na huwa napenda movies zake kwa kuwa huwa anatafsiri tukio na cyo maneno.Kwa fikra hizi wanazokujanazo ndugu zetu wa bongo movies wanapaswa kujipanga.
Ukifika mkoa wa Mara hasa wilaya ya Tarime huko ndio kapata umarufu kinoma yaani kule huwaambii kitu kwa Dj Afro
 
waache kulialia hao bongo muvie wafanye kazi zenye ubora mbona wakati marehem kanumba yupo tulikua tunaziangalia izo bongo muvie
 
WAACHE UJINGA BHANA WAMEKALIA UJINGA MAVAZI YA KIJINGA , UJINGA TU
 
Leo nachoma moto cd za bongo move zote nilizokawa nazo na marufuku kuingia kwangu kitu hapa ni wakorea tu zina maadili hatari hujuti kuangalia na familia
 
hii kesi itakufa kifo cha mende kwa P.O moja matata sana
 
Hatukulazimishiwa kusikiliza bongo flavour alikuja diamond akatoa changamoto kina kiba wakaamka wakafanya kaz kwa bidiii zote mpaka wakasimamia kucha kikaeleweka! Bongo movie hamna jipya labda kanumba afufuke au atokee mmoja kama diamond wa bongomovie ndio kitaeleweka mimi niliacha kuangalia siku nying sana kwakwl
 
wanahangaika tu kweli mfa maji haishi kutapatapa,maandamano hayakuleta changes zozote eeh si waliandamana hawa jaman,hahahaaa..[emoji12][emoji12][emoji13][emoji13]

Sent from my HUAWEI Y530-U00 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom