Bongo Movies wengi ni vilaza, si ajabu wameilaza sanaa ya uigizaji. Wasomi ingieni huko

Na kuenda kwa babu! 🀣
 
Hawafahamu hayo mambo mkuu. Kuna movies zina very small ratings rotten tomatoes na metacritic lakini zimefanya vizuri kwenye soko na box office.

Hawafahamu haya mambo mkuu

Hivi unadhani mkaazi wa Buza au kwa mfuga mbwa ataanza kushuhulikia critics wanasemaje kuhusu filamu? yeye atakua na vivutio vyake yeye mwenyewe tu kama ni mshabiki wa actor Fulani, au wadada waliokuemo wanavutia, kaona filamu ina action au comedy ambazo yeye ndio anapenda.
 
Wewe ndio huna ujuacho kuhusu filamu, huko Zile zinazowekwaga Youtube Netflix ni nini yako?
Nimeshakuambia wekeni mfumo Youtube wa kurusha matangazo ya filamu zenu, mnazubaa zubaa kwa ukilaza wenu

Bwana wee usinisumbue kama ni rahisi hivo na wewe tengeneza movie kwa bajeti kubwa alafu weka youtube tulia maana unajiona una akili kuliko bongo movie yote combined.

Ukishaweka uje hapa ulete mrejesho kuhusu mauzo
 
Mtu ameshika bastola halafu anasema nitakuchinja
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Hao ndio walengwa wenu na ndio maana hamsongi mbele, Bollywood, Hollywood na Nollywood wanapotengeneza movie hawaangalii India, Marekani au Nigeria bali wanaangalia soko la dunia nyie mnaotafuta wadada wanaovutia soko lenu litaishia buza kwa mpalange lakini hata wao wakiona movie nzuri wataachana na bongo movie
 
Ndio raha ya movie ile, sio mtu apigwe ngumi 'tomato paste' itoke mdomoni, huo ni utopolo! 🀣 🀣 🀣
 
Sidhani kama elimu ya waigizaji ndo tatizo maana kile ni kipaji. Tatizo ni directors na watunga hadithi. Unless mwigizaji ndo awe director.
Director ndio kila kitu katika movie industry anaweza kubadilisha hata script

Hapo ndipo kwenye point wakuu, matatizo ya filamu za bongo yapo kwenye utengenezaji, Directors na crew wao. kuwashutumu ma actors ni kutafuta kichaka cha kutoa matusi tu ila wao ni sehemu ndogo tu ya tatizo.
Mleta mada alikuja na hoja za kuwatolea povu ma actors kuwa hawana elimu hawajafika chou hapo ndipo nilipoanza kumpinga mimi.
 

soko la filamu yoyote lipo nyumbani. nje ni kujalizia tu.
 
Kuna jamaa mmoja ywamtisha mwenzie ati 'ntakupiga bastola wewe, hunijui!!!'... Hapo amejishika kiunoni lakini cha kushangaza hakuitoa sababu hata kiunoni hakuna kitu. πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸƒπŸΎ πŸƒπŸΎ πŸƒπŸΎ
 
Sahihi
 
Dah mkuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unajua kusimanga[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wanabaki funguliana geti,kuendesha vigari huku wakiwaza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
 
Kuna siku nliona Daktari wa bongo movie akisema "presha iko sawa, maleria pia iko sawa...." Nikatoka nje make nlikua kwa watu ningekua kwangu ningezima tv.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mi nilishangazwa marehemu kafa wakamzika na suti eti mzimu wake unakuja na KIPENSI alafu umepakwa masizi na chaki...mama.eee walahi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kaka tuhurumie mbavu zetu ah ah ah ah[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…