Bongo Nyoso: Lori la mradi wa SGR lamakatwa likitafutiwa mteja ili liizwe

Kama ccm inatuibia kura miaka nenda! Achilia mbali ufisadi na upigaji wao wa mamilioni ya kodi zetu! Hilo Howo ni kitu gani bhana!

Ni bahati mbaya tu hilo dili limebuma dakika za mwisho. Kwanza hao Wachina wenyewe nao wamekaa kiwizi wizi tu.
 
Tell me this is not true! Yaan hoho imeibwa? Na wale ma bruce lee wanaozunguka na hoho walishukia wap mpaka likaenda kuuzwa tbr?
 
Njaa inaleta ubunifu
 
WaTz kwa wizi! Tangu urais hadi unyapara! Ccm hoyee!
 
Mabama iko wilaya ya Uyui haiko Urambo.

Huo ni uongo wa kwanza
 
MAJITU YA KANDA HIYO NI MAIZI SANA KWA KWELI, YANAIBA HOVYOHOVYO, NI UKANDA WENYE LAANA.
 
Tuseme,nani mratibu wa mambo haya,nani mdhibiti wa haya,nani mzuiaji wa mambo haya,nani kashindwa kufanya jukumu lake, 🤔 Mimi nitasema yote ni mambo ya mwana/wanachukua chako mapema 🤔
Watu wanajifunza tabia hizo kutoka kwa wazazi wao (serikali)
 
Bora wangeshirikiana kutafuta mteja tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…