Bongo Nyoso mtu ana Certificate ya Clinical Officer anajiita Daktari (MD)

Ibilisi Mjalaana

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2019
Posts
8,297
Reaction score
16,529
Ukistaajabu ya mussa utayoona ya firauni.

Yani hapa Tz unakuta mtu anajiita na kujimwambafy dokta na anapata heshima kubwa Kwa watu kama mtu aliesoma sana lakini ukijafatilia kwa undani unakuta ni certificate holder wa clinical medicine au nursing.

Mtu huyohuyo hata majukumu Yake ya msingi yanamshinda hata utu hana, anaweza kubali mtu afe uku anamuangalia kisa elf 30, loh!!!!!.

Kazi kubwa anayoweza ni kutukana wajawazito tu na kupiga umbea.

USHAURI: ukiona elimu ya kuunga unga basi kuwa ata muungwana usiruhusu watu wakijaji kupitia upeo mdogo wa kukariri na kuelewa madesa tu, Kuna MUDa utu na heshima ni bora kuliko vyeti.

Moderator Cookie Principled Payge Naomba hyo image itokee Kwa ukubwa hapo mbele

​
 
Ivipi sijaelewa
 
Babu Tale darasa la Saba lakini ana Phd na ni mbunge kilaza kuliko wabunge wote.

Mwaka ni mganga wa kienyeji lakini anajiita MD.

Kuna bibi mmoja ana certificate ya ukatibu uhtasi (secretary) lakini leo hii nae ana title ya Dr na kiongozi mkuu wa li nchi moja lililojaa mazwazwa.
 
Samia Hana diploma, ila anajiita dokta,PHD
 
Nimeenda juzi sehemu, Nikakutana na jamaa ana degree ya u-nurse akaniambia nimsevu daktari, kuna mwingine ni physiotherapy akaniambia nimsevu daktari wa mazoez🤣mwingine ni lab tech naye kaniambia nimsevu Dokta duh Yani kazi kazi kweli kweli
 
Ni kama humu tu mtu anajiita JF expert member ,senior au platinum member halafu anapost ujinga na picha ambazo haziendani na mada yake sijui anataka tushauri nini
 
Mmewazoesha wenyewe kuwaita hivyo tangu wakiwa wadogo.Hapo ndipo huwa watu wanashindwa kuzijua tofauti za maneno na maana zake.K.m:-
-Hospitali itaitwa sibitali au gavamenti.
-Nurse ataitwa dokta.
-Mfungua geti la nyumbani/ofisini/taasisi ataitwa security officer/askari/poti.
-Grocer/Grocery itaitwa baa
 
Ukute nesi mwanaume au wale wa maabara sehemu za starehe, wao ndio madokta wenyewe sasa. Na raia watanzania walivo mazuzu hawawezi kuhoji maana nao elimu nehi. Sisi tuliosoma hadi vyuo vikuu huwezi nidanganya, nakulipua hapohapo. Kuna kajamaa kalikuwa kana kunywa beer za bure kanajiita dokta na wazee wanadhani kweli ni dokta kumbe ka nesi bana. Nikamuuliza degree yako inaitwaje? Kakaniambia physician!! Nikarudia unsema? Kakasema kamesoma degree inaitwa physician , i rested my case nikamchana live wewe sio daktari. Mtu hujui ata degree yako inaitwaje. Kalinimind hatari ila kakanisanua baadae oh sisi ni walewale tu kazi ndo hizohizo blahblah. Tanzania elimu haiheshimiki ndio maana hatuna ufumbuzi, tafiti za maana wala nini.
 
Nimeenda juzi sehemu, Nikakutana na jamaa ana degree ya u-nurse akaniambia nimsevu daktari, kuna mwingine ni physiotherapy akaniambia nimsevu daktari wa mazoez🤣mwingine ni lab tech naye kaniambia nimsevu Dokta duh Yani kazi kazi kweli kweli
Hamna ubaya kumuita Daktari kwanza maana yake ni Mganga au tabibu kwahiyo kufupisha mambo we muite Daktari tu mambo mengine watajuana wao huko ndani kwenye mpango kazi wao wa hospital
 
Na wewe uko busy kumfuatilia na kujaa wizu na chuki???

Tafuta kazi ya kufanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…