Bongo Nyoso mtu ana Certificate ya Clinical Officer anajiita Daktari (MD)

Bongo Nyoso mtu ana Certificate ya Clinical Officer anajiita Daktari (MD)

Nje ya miji au vijijini hao wanaitwa daktari tena Kwa mbwembwe zote.
 
Siku hizi hadi wa famasia wana vaa hizi
Screenshot_20250623_182654_Google.jpg
 
Usipojua tofauti zao utafanyiwa malpractice uanze kulialia madaktari wabaya, kumbe nesi au mtu wa maabara kaharibu. Mnaishi kama sokwe nyani tu.
Nipo Hospital kwa miaka 14 sasa.Nimeandika kirahisi rahisi mno ili ieleweke.
 
Ukistaajabu ya mussa utayoona ya firauni.

Yani hapa Tz unakuta mtu anajiita na kujimwambafy dokta na anapata heshima kubwa Kwa watu kama mtu aliesoma sana lakini ukijafatilia kwa undani unakuta ni certificate holder wa clinical medicine au nursing.

Mtu huyohuyo hata majukumu Yake ya msingi yanamshinda hata utu hana, anaweza kubali mtu afe uku anamuangalia kisa elf 30, loh!!!!!.

Kazi kubwa anayoweza ni kutukana wajawazito tu na kupiga umbea.

USHAURI: ukiona elimu ya kuunga unga basi kuwa ata muungwana usiruhusu watu wakijaji kupitia upeo mdogo wa kukariri na kuelewa madesa tu, Kuna MUDa utu na heshima ni bora kuliko vyeti.

Moderator Cookie Principled Payge Naomba hyo image itokee Kwa ukubwa hapo mbele

Mfano ukiulizwa, clinical officer, assistant clinical officer, assistant medical officer utawaitaje kwa kiswahili? ( Nadhani kiswahili hakina maneno mengi hivyo tunawaita wote ni madokta tu)

Pia watu wa maabara na wafamasia sijui kwa nini ili imekaa kushoto kuwaita ( mfamasia, mtaalamu wa maabara) mwisho tunawaita madaktari tu

Kimsingi mazoea ndio yanatufanya tuwaite hivyo
 
Wanaitwa sio wanajiita ndugu, Rabies ni pale ule ufafanuzi kuwa huyu ni Tabibu na huyu Daktari wakati wote wanafanya kazi ile ile ya consultation and treatment,, wagonjwa na walimwengu hawana huo muda wao wanawaita wote madaktari na dawa zinazoandikwa ni zile zile na watu wanapona tu.
 
Wanaitwa sio wanajiita ndugu, Rabies ni pale ule ufafanuzi kuwa huyu ni Tabibu na huyu Daktari wakati wote wanafanya kazi ile ile ya consultation and treatment,, wagonjwa na walimwengu hawana huo muda wao wanawaita wote madaktari na dawa zinazoandikwa ni zile zile na watu wanapona tu.
Sio nchi zilizoendelea au zenye mipango endelevu. Huo ujinga wa kucheza kamari sio kila mtu anaweza. Mtabaki kila siku kusema kazi yake Mungu pale mochwari. Yani operation ya jicho, lazima nijiridhishe na qualifications za huyo mtu. Madaktari wanakuwa smart , wana business cards, ata ukigoogle tu unampata. Ndio nije nijikabidhi kwa mtu ata form 4* tu misukosuko. Nyie ndio maana mnapiga ramli bado. Kamari hiyo siwezi milele.
 
Ukute nesi mwanaume au wale wa maabara sehemu za starehe, wao ndio madokta wenyewe sasa. Na raia watanzania walivo mazuzu hawawezi kuhoji maana nao elimu nehi. Sisi tuliosoma hadi vyuo vikuu huwezi nidanganya, nakulipua hapohapo. Kuna kajamaa kalikuwa kana kunywa beer za bure kanajiita dokta na wazee wanadhani kweli ni dokta kumbe ka nesi bana. Nikamuuliza degree yako inaitwaje? Kakaniambia physician!! Nikarudia unsema? Kakasema kamesoma degree inaitwa physician , i rested my case nikamchana live wewe sio daktari. Mtu hujui ata degree yako inaitwaje. Kalinimind hatari ila kakanisanua baadae oh sisi ni walewale tu kazi ndo hizohizo blahblah. Tanzania elimu haiheshimiki ndio maana hatuna ufumbuzi, tafiti za maana wala nini.
Nimechekaa, 😂😂😂😂
 
baba wa taifa alikua na makorokoro kibaaaao ya heshima lakini hakuwahi kujiita daktari hata siku moja kwa ma nchi ya ajabu ajabu kama haya yaliyojaa machawa na wavivu ndio utasikia sijui dokita sijui dokta sijui takataka gani hata Obama ni Phd holder tena ya darasani lakini hakuwahi kutukuzwa kama dokta kama hao wa kwetu wa feki , na ukiachilia hayo hospitalini mtu akivaa minguo mieupe tu naye dokta hata kama ni mpima mikojo tu na vinyesi. Bado tuna taifa mbumbumbu sana ndiomana akili ndogo inatawala kubwa kwa kutumia dola.
😂😂😂😂
 
Siiti bwege yeyote daktari kama sio daktari. Akasome tena. Tembea nchi za watu hakuna upuuzi kama huu. Mipaka ya kila mtu ya kazi inaeleweka. Daktari mtu mkubwa wa maana , noble profession alafu kenge tu nimuite kirahisirahisi. Ndio maana mnapata UTI sugu kutibiwa na hao vishoka.🤣
😂😂😂😂
 
Hata madaktari wanajiita waganga wafawidhi au waganga wa mikoa

Kila anayetibu ni dokta
 
Daktari ni Daktari tuu awe na cheti(astashahada), Diploma(stashahada) au Degree(shahada)

Ni sawa na Mwalimu, awe wa chekechea, msingi, secondary, au chuo. Mwalimu ni Mwalimu. Hizo za kusema sijui mhadhiri, sijui mkufunzi ni Mbwembwe.

Halikadhalika na fani zingine
 
Kwani mganga mwenye diploma yeye anatakiwa aitweje? Ni kosa kumuita Daktari? Je, Kwa kawaida anapaswa aitweje?
Kwa mfano, kwenye ualimu, mwalimu wa shahada na mwalimu wa diploma wote huitwa Walimu. Tofauti ipo kwenye vyeo. Utakuta mwingine ni mwalimu mwandamizi daraja la pili. Mwingine mwalimu daraja la pili n.k japo wote wanatambulika kama Walimu. Sasa huko kwenye udaktari pakoje???
 
Mfano ukiulizwa, clinical officer, assistant clinical officer, assistant medical officer utawaitaje kwa kiswahili? ( Nadhani kiswahili hakina maneno mengi hivyo tunawaita wote ni madokta tu)

Pia watu wa maabara na wafamasia sijui kwa nini ili imekaa kushoto kuwaita ( mfamasia, mtaalamu wa maabara) mwisho tunawaita madaktari tu

Kimsingi mazoea ndio yanatufanya tuwaite hivyo
Sahihi mkuu ni issue ya mazoea ya kimatamshi..lakini Haina haja kuwa attack sababu kwenye issue ya majukumu wanatekeleza yanayowahusu kwa professional zao tu.
 
Back
Top Bottom