Ukistaajabu ya mussa utayoona ya firauni.
Yani hapa Tz unakuta mtu anajiita na kujimwambafy dokta na anapata heshima kubwa Kwa watu kama mtu aliesoma sana lakini ukijafatilia kwa undani unakuta ni certificate holder wa clinical medicine au nursing.
Mtu huyohuyo hata majukumu Yake ya msingi yanamshinda hata utu hana, anaweza kubali mtu afe uku anamuangalia kisa elf 30, loh!!!!!.
Kazi kubwa anayoweza ni kutukana wajawazito tu na kupiga umbea.
USHAURI: ukiona elimu ya kuunga unga basi kuwa ata muungwana usiruhusu watu wakijaji kupitia upeo mdogo wa kukariri na kuelewa madesa tu, Kuna MUDa utu na heshima ni bora kuliko vyeti.
Moderator Cookie Principled Payge Naomba hyo image itokee Kwa ukubwa hapo mbele